ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. K

    Nchi hii itaendelea endapo uchaguzi wa CCM utaendeshwa kama CHADEMA walivyoendesha uchaguzi wao

    1. Uhuru wa kujieleza na kuchagua kambi 2. Uhuru wa kuunga mkono kambi uipendayo 3. Utayari wa kukubali matokeo kwa wagombea 4. Uhuru wa kuchagua na kugombea 5. Wasimamizi wa uchaguzi kusimamia uhesabuji wa kura halali 6. Kuruhusu wanachama, wananchi kumchagua kiongozi wampendaye Haya...
  2. Siasa sio ugomvi bali ni ujenzi wa hoja.. Je ccm wamempongeza LISSU?

    Tofauti za kimitazamo zisitufanye tufikie ccm inapotaka kutupeleka.. Kuna mwanachama mmoja hapa jukwaani katamka wazi kwamba Anamchukia sana Tundu Lissu Mwenyekiti mpya CHADEMA Wote tunafahamu ccm walipenda nani apite na tunajua kwa hakika waliwekeza nguvu kubwa kiasi gani, muda, nyenzo na...
  3. Niliacha kumuunga mkono magufuli na kujitenga na CCM baada ya jaribio na kumuua Tundu Lissu

    Amani iwe nanyi wanabodi. Mwaka huu naenda kutimiza miaka 10 ya membership kwenye jukwaa hili kwa Id hii. Hata hivyo, kwa ujumla nina miaka mingine 4 nyuma ya 2015 ya membership nikiwa na id nyingine ambayo kwa sasa siitumii. Mimi ni mwanachama wa CHAMA CHA MAPINDUZI ninayependa Demokrasia...
  4. CHADEMA tuheshimu Watangulizi wetu; Tusiwe kama CCM wanavyomnanga Hayati Magufuli

    Uchaguzi Umeisha; ni wakati wa kumpa USHIRIKIANO Lissu. Tuweke tofauti zetu kando na tujenge chama chenye TIJA na Chenye UWEZO wa kushika Dola. Kwa mabadiliko haya, ipo siku Chadema inakwenda kushika DOLA, I swear. You may think i am crazy……. But i am not the only one. Kubwa zaid, Mbowe ni...
  5. Lissu: CHADEMA ni kubwa kuliko CCM

    Hii ndio kauli aliyoitoa mara baada ya kutangazwa Mshindi wa nafasi ya Uenyekiti wa Chadema Je unadhani kauli yake ina ukweli wowote? hapa chini angalia wageni waalikwa wa Mikutano ya ccm na Chadema ili uongeze maarifa ya kujibu nilichouliza. Toa Maoni yako
  6. Wana CCM wapewe nafasi ya kuwania kiti cha Urais kisha Kura zipigwe. Kile kilichofanyika ni dhulma

    Mpo Salama! Wapo watu walitaka na wanatamani kuwa sehemu ya watakaotumia Haki Yao ya kikatiba kuwania Tiketi ya Urais kwa Njia ya CCM. Hata kama Wana CCM hao ni wawili au Mmoja. Wanahaki ya kufanya hivyo. Watu wote waungwana, watu wote wenye AKILI, watu wote wenye kupenda haki, watu wote wenye...
  7. Pre GE2025 CCM ina Mengi ya kujifunza kwa CHADEMA Kwenye Uchaguzi

    Wote mmeona namna huu uchaguzi ulivyo kuwa wa wazi, Tofauti na Ndio za CCm na Hapana zao
  8. Kwa kuwa viongozi wa chadema wameahidi siasa za mapambano, CCM irudi kwenye siasa za jino kwa jino, nginja nginja, na mapambano

    CCM ni chama kinachobadilika kutokana na wakati na mazingira. Sasa ni wakati sahihi kurudi katika siasa za awamu ya tano. Ni wakati sahihi Sabaya na wenzake warudi ili watakaoleta ubabe wanyooshwe barabara. Inatakiwa ku-fine tuneand sharpen the instruments/tools
  9. Mbowe akili kubwa! Kajua kutuchezesha Taifa na CCM muziki wake

    Huu mchezo wa mtalaamu wa siasa Mbowe nimuelewa sana kwanza ame-expose wapambe nuksi kwake na kwa Tundu Lissu lakini pia kajua kuteka attantion ya Taifa kwenye uchaguzi wa CHADEMA. Ni dhahiri shairi mpango ulikuwa akae kando aingie Lissu ila kwa namna gani?Unadhani Lissu angegombea na Odero...
  10. D

    CCM wana cha kujifunza kutoka CHADEMA kwa hii Demokrasia iliyokomaa wanayoionesha

    CCM ni udikteta tu kuanzia juu mpaka chini. Ukionesha una mawazo tofauti unaundiwa zengwe nanusipokuwa makinini unaweza kiuawa. CHADEMA imegraduate mpaka kuweza kushika nchi. Ni chama makini sana kinachojari uhuru na mawazo ya kila mmoja. CCM jifunzeni siyo kusomba hawa wasanii mbumbumbu...
  11. A

    Kwanini siwezi kuwa mwanachama wa ccm

    1. CCM Haijakidhi Mahitaji ya Wananchi Wengi Kwa muda mrefu, CCM imekuwa madarakani, lakini maisha ya Watanzania wengi bado yamejaa changamoto kubwa: Ukosefu wa Ajira: Vijana wengi, ambao ndio nguvu kazi ya taifa, wanakosa ajira, licha ya ahadi nyingi za chama. Sioni juhudi madhubuti za CCM...
  12. Baada ya Matukio ya CCM ya Samia Kupindua meza za political trajectories huko Dodoma wengine Yunafunga kamdomo ka Siasa

    Wakwanza mimi kunyoosha mikono SSH kapiga pasi ndefu sana, kapiga butua kali sana, kusema ukweli umepigwa mwingi wa ali ya juu, We have been caught up by surprise haieleziki hasira na kicheko vyote kuchukua kaweka waaah, taamu taaamu hahaaa hasira zenye kicheko ndio hii amazing SSH for...
  13. Samia kapitishwa kimakosa kugombea urais. Katiba ya CCM haikufuatwa

    Kwanza tuelezwe na Nchimbi na timu yake zile shilingi millioni Samia alikua anachangiwa kuchukua fomu ya chama kugombea kuteuliwa kugombea urais zimeenda wapi. Hilo ni jambo linaonyesha kuna taratibu za chama ukitaka kugombea uteuliwe kua mgombe urais. Nchimbi ameongoza uhuni kwa kukiuka...
  14. Kwa kinachoendelea CHADEMA muda huu kwenye uchaguzi ni wazi bado hajapatikana mbadala wa CCM

    Mimi ni mpinzani yes naamini kwenye upinzani wa kuiondoa CCM madarakani ila kwa kinachoendelea kwenye uchaguzi wa CHADEMA ni wazi bado Tanzania hatujapata chama ambacho ni mbadala wa CCM CHADEMA wanafanya mambo yale yale CCM wanayofanya tofauti yao hawana dola angalia mambo ya ovyo anayoyafanya...
  15. CCM Zanzibar kusimamisha shughuli mapokezi ya Dkt. Mwinyi

    Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar kimewataka wanachama na wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiket ya chama hicho Dkt Hussein Ali Mwinyi ambae atawasili kesho Januari 22, 2025 mchana katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Katibu wa...
  16. Mbona walinzi wa Samia hawakuvaa sare za chama juzi kwenye Mkutano Mkuu wa CCM?

    Enzi ya awamu ya tano, aliyepata kuwa mwenyekiti wa ccm John Magufuli, walinzi wake walikuwa wakivaa sare za chama hiko kwenye mikutani na shughuli za chama hiko. Lakini kwasasa ni tofauti, kwa siku mbili mtawalia, sikuona walinzi wa Samia wakiwa na sare za chama, je mambo yamerudi kwenye...
  17. R

    Godfrey Malisa: Nitakwenda mahakamani kupinga kuvunjwa kwa katiba ya CCM na ya nchi kwa yaliyotokea Dodoma

    Mwana CCM GODFREY MALISA ameamua kusema ukweli. "Sasa hivi tayari inafahamika kwamba Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wake Mkuu kilipitisha kwa kauli moja na kumtangaza Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, jambo hili nilipolisikia sikuamini kwamba tumefikia hapa...
  18. CCM walienda kufanya "show off" na uvunjifu wa Katiba Yao wenyewe, haukua mkutano!

    Kwa MTU yoyote mwenye akili timamu ambazo haziongozwi na mihemko atakubaliana na habari hii. Mkutano ulijaa "show off" KULIKO maana halisi za mkutano. Walienda kutuonyesha uwezo wao wa kutumia resources Vibaya. Kwa mfano, Nani mwanachama mwandamizi wa CCM anayefahamu mabasi Yale, baskeli, Boda...
  19. Waliokatwa ugombea CDM 2025 poleni; lkn karibuni CCM (Mama atawapokea)

    Nimesikitika sana na vitendo viovu na hujuma mnazosema mmefanyiwa. " Wote mliokatwa majina, Wote mlioenguliwa, Wote mtakaodhihakiwa, Wote mnaopenda demokrasia pana, Kwa mikono miwili na kwa upendo wa hali ya juu mnakaribishwa ktk chama kizuri cha CCM. Ulizeni waliokuja i.e Msigwa, Mtatiro...
  20. Mkutano Mkuu Chadema Kesho Kujibu Mapigo Dhidi ya CCM kwa Kusimka Lissu Mwenyekiti Taifa, Kumtangaza Mgombea Urais 2025 na Kumpatia Mgombea Mwenza?

    Mhe. Tundu Antipas Mughway Lissu, Mwenyekiti Mtarajiwa wa Chadema na Mgombea Urais Mtarajiwa Katika Uchaguzi wa 2025 Kutokana na mikutano mikuu ya Chadema na CCM inayofanyika kwa kufuatana ndani ya Januari 2025 sasa ni wazi kwamba busara kongwe za wanazuoni zitaanza kutimia. Wanazuoni wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…