ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini Godbless Lema na wanaomuunga mkono tundu lisu wana hali ya kuchanganyikiwa na kuweweseka kuelekea uchaguzi wa chadema jan.21.2025?

    Leo ni pres conference ya 3 ya Godbless Lema akihaha kujieleza na kumuelezea Tundu Lisu kwa umma ambao hauna kura katika mkutano mkuu wa chadema taifa, watakao piga kura Jan.21.2025, kumchagua mwenyekiti wa chadema Taifa. Lema na wanao muunga mkono Lisu hawaminiki na wala hawakubaliki kwa...
  2. M

    Samia aizika CCM rasmi: Ugonjwa wa mbeleko za kisiasa zaanza kuitafuna CCM yenyewe

    Leo huko DODOMA wametangaza rasmi wagombea wa CCM wa nafasi ya rais wa JMT na rais wa Zanzibar. Kama mnavyojua kwenye siasa hakuna kitu cha bahati mbaya, ni dhahiri huo mpango wa kumpitisha Samia na Hussein Mwinyi kuwa wagombea kwa Kuwashtukiza wanachama ulisukwa mapema. Kwa hiyo hata kikao...
  3. L

    Pre GE2025 Jakaya Kikwete: Ushindi wa CCM 2025 Hauna Mjadala

    Ndugu zangu Watanzania, Jogoo 🐓 limeshawika Dodoma. Makada mbalimbali na wazee maarufu na viongozi mbalimbali mashuhuri wanaendelea kuunguruma na kuzungumza juu ya uimara , ushupavu, umadhubuti na uhodari wa CCM. Lakini kubwa zaidi wote kwa pamoja na umoja wao wanaendelea kummiminia sifa na...
  4. R

    Umejifunza nini kipya mkutano mkuu wa CCM Dodoma?

    Mkutano mkuu wa CCM unaendelea Dodoma. Yapo malengo waliyojiwekea kwa ajili ya umma na ndiyo sababu mkutano ukawa mubashara. Je, wewe kama mwananchi umejifunza nini au kipi unachodhani kimefanyika kwa tija ya umma na ungependa kiwe advocated watu wengi zaidi wakibebe kwa hatma positive ya nchi...
  5. Megalodon

    Mikakati ya Kuitoa CCM madarakani ; muhimu Tundu Lissu awe Mwenyekiti

    REFORMS za Tundu Lissu endapo Atashinda; Moja, kufanya reform ya katiba ya Chadema na kuweka UKOMO wa atmost 5 years. Pili, ni kukirudisha chama kwenye HIMAYA ya wanachama. Ownership iwe kwa wanachama. Tatu, …. ni kuongeza mapato ya chama, chama kiwe na mali zake binafsi na miradi yake...
  6. Waufukweni

    Mwijaku uso kwa uso na Diamond Platnumz leo Dodoma kwenye mkutano wa CCM

    Mwijaku amekutana na Diamond Platnumz kwenye Ukumbi wa Mkutano wa CCM mjini Dodoma.
  7. Sir John Roberts

    Mzee Wasira sisi Wananchi hatuna ugomvi na CCM hayo maridhiano unayosema ni ya Nini?

    Nimekusikia katika hotuba Yako unasema kuwa hautafanya maridhiano na mtu mmoja na kwamba utafanya maridhiano na jamii, asasi za kiraia, jamii za kimataifa n.k Sasa nakuuliza tu Kuna ugomvi gani Kati ya jamii na CCM?
  8. J

    Mkutano mkuu wa CCM - Yanga Africa kutolewa CAF- Mkutano mkuu wa Chadema. Nyota ya Tundu Lisu inang'aa Sana

    Kwa Hesabu za Kimamajusi wa nyota ya Mashariki Tundu Lisu ameshashinda uchaguzi wa Chadema labda tu Polizia wamsaidie Mwamba Kwa kutumia maguvu CCM - Yanga Africa - Chadema Ahsanteni Sana 😃
  9. M

    Kitendo cha CCM kumleta Wassira mzee wa miaka 80 inaonyesha upungufu wa human resource katika chama hicho

    Of all the people ndani ya chama cha mapinduzi eti CCM wanamleta Stephen Wassira. Mzee wa miaka 80 eti awe ndiyo makamu mwenyekiti wa chama hicho. Hili ni jambo la kustaajabisha sana kwa viwango vyovyote vile. Na hii ni kwa sababu zifuatazo. 1. Tulitegemea CCM ijifunze kwa Kujiuzulu Kinana...
  10. Small letter

    WITO: Natoa Wito kwa wanachadema wote Watakaoumizwa na Vitendo vya rushwa Wajiunge na CCM harakà

    CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote, Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa? Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
  11. eden kimario

    Serikali ya CCM: Punguzeni gharama za Mafuta ya Kupikia, bei zinapanda kwa kasi!

    Hivi, serikali inayowajali watu inaowaongoza na kuwasimamia, kweli inakosa mbinu za kuhakikisha bidhaa muhimu kama mafuta ya kupikia inashuka bei ili kupunguza gharama za maisha? Sababu kuu ya kupanda kwa gharama za vyakula mitaani ni mafuta ya kupikia kuwa juu mno. Kwa mfano, maeneo ya mama...
  12. N

    Nitawaambia nini wanachama? Nitajiunga na CCM ya Mzee Wassira endapo kwa namna yoyote Wajumbe wenzangu Watakula rushwa na kumchagua Mbowe

    Wananchi na Wanachama wote huku kwangu wanamuunga mkono sana Tundu Lissu, Wameniambia kama sitamchagua Lissu basi wao hawatakuwa tayari kuendelea na Ujenzi wa Chama, Lakini kwenye huu Uchaguzi Mimi sipigi kura peke yangu nafanyaje? Basi kama Mbowe atashinda Mimi nitajiunga tu na CCM Kwa...
  13. Manyanza

    Huyu Tajiri huko CCM ana nafasi gani?

    Ni Gharib Said Muhammad (GSM) Naomba wana jamvi nisaidie huyu Tajiri ana cheo/nafasi gani kwenye Chama? Saa nane mchana alikuwa Dodoma kwenye mkutano wa CCM saa 10 yupo Dar uwanjani hii inawezekanaje ? Cc Tlaatlaah chiembe ChoiceVariable milele amina Lucas Mwashambwa johnthebaptist
  14. Mohamed Said

    Masahihisho: Historia ya African Association Kama Ilivyoelezwa Katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma

    https://youtu.be/X8aFsrqOgUQ?si=_R7PLruw4fYbQTWK Historia ya African Association imekosewa kidogo. African Association inachanganywa na Tanganyika African Association (TAA). African Association ilibadili jina na kuwa Tanganyika African Association (TAA) mwaka wa 1948 kujitofautisha na African...
  15. Father of All

    Pre GE2025 Bila kura za Kanda ya Ziwa, CCM inaweza kubaki madarakani?

    Baada ya kifo cha Magufuli na Samia Suluhu Hassan kuanza kuachana na yule aliyemtengeneza, kumekuwa na juhudi za makusudi kwake na chama cha Mapinduzi kushikilia dola. Hata hivyo, wawili hawa wanajua kuwa bila ya kura za Kanda ya Ziwa, hakuna anayeweza kushika madaraka nchini. Tokana na...
  16. Mikopo Consultant

    CCM vyeo wanagawiana familia zao na uongozi wanapeana wao kwa wao; je wanachama wengine ni wapagazi wa kubeba nyundo na majembe?

    Tukiwa katikati ya mtanange mkali wa kidemokrasia wa CHADEMA ambao umetoa usawa na fursa kwenye kugombea nafasi mbalimbali hivo kuibua vipaji vipya vya uongozi; CCM waliibuka na wao Dodoma kwenye mchakato wao wa kutafuta makamu mwenyekiti wa chama. Kwa mbwembwe za msururu wa magari mapya...
  17. sifi leo

    Pre GE2025 Wasira ameupata Ubunge akiwa na miaka 23 leo ana miaka 80. Nini hajafanya Tanzania mpaka apewe umakamu?

    Nawauliza CCM Stephen Wassira Nini hajafanya Tanzania kuanzia akiwa mbunge kwa umri wa miaka 23 mpaka Leo ana miaka 80 Bado anakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM? Hizi ni zalau Vijana mlio kusanyika Dodoma kweli mkienda kumchagua Wasira for your future or kwa ajili ya wazee wenzie? Soma Pia...
  18. The Khoisan

    Maridhiano ya nini na CCM Wametukosea nini Watanzania?

    Wakati wa John Pombe Magufuli, Freema Mbowe aliomba marithiano kule Mwanza. JPM akakausha.. Baada ya Mama Samia kuingia Madarakani alikuja na 4R na akaanzishisha maridhiano na Chadema. Leo Wasira kasema kuwa ataendeleza maridhiano stakeholders wote siyo na mtu akitaja taasisi za kidini. NGOs...
  19. Cute Wife

    Pre GE2025 Wassira: Tutaanza kuendeleza maaridhiano. Anayesema hakuna maridhiano haturidhiani na mtu mmoja, tunaridhiana na jamii

    Akiwa anawasilimia wana CCM na wageni waliofika kwenye mkutano mkuu, Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Ndg. Wassira amesema ataanza kushirika na maridhiano, na kwamba hakuna maridhiano na mtu mmoja bali na jamii. Dongo hilo limerishwa kwa Lissu likiwa la moto kabisa! Pia soma: Lissu: Habari ya...
  20. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia: Hakuna Mashaka Kuhusu Ukubwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    “Hakuna mashaka kuhusu ukubwa wa Chama cha Mapinduzi, hiki ndicho Chama kikubwa kuliko chama kingine hapa nchini, sisi ni chama kikubwa kimuundo, kioganaizesheni, kihistoria na hata kwa idadi ya wananchama” Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Back
Top Bottom