Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Kwenu wana CCM mnaojitambua, wenye mapenzi mema na chama na mustakbali mwema wa nchi hii.
Hicho mlichofanyiwa Dodoma ni uhuni mtupu, hakipo ndani ya kanuni, taratibu wala culture ya chama.
Inakuwaje mnakubali genge dogo la watu wachache wanakaa chemba ili waje wawastukize kwa jambo nyeti kama...
Majuma mawili yaliyopita kwenye group letu moja kuna mwenzetu mmoja aliandika maneno hayo hapo chini:
"Jamani historia nzima ya Tanganyika ni Sykes and Sykes and Sykes and Sykes."
Nadhani alikuwa kachoka.
Kila ninapoandika historia ya uhuru wa Tanganyika Sykes hawakosekani.
Kwa hakika...
Kitendo cha CCM kupitisha wagombea wao kabla ya kipenga kupigwa na kinyume na katiba yao, kinatia shaka.
Je kuna mgawanyiko na kutoelewana kwenye chama cha machawa?
Je wamefanya hivyo kuogopa nini wakati tunaambiwa mama anaupiga mwingi?
Je hii inazika ndoto za makada wenye ushawishi mkubwa...
Haki ya kuchagua (au kuomba kuchaguliwa kuwa) kiongozi ni haki ya msingi ya kila mwanachama wa CCM. Haki hii ni ya kikatiba na kikanuni.
Kwa kawaida, watendaji wa chama hutangaza kufunguliwa rasimi kwa dirisha la kuchukua, kujaza na kurudisha fomu za kuomba kugombea nafasi za uongozi (kama vile...
Mimi nilijiandaa na nimejiandaa kugombea urais kupitia CCM 2025 kwa kuwa uwezo ninao na nimekidhi vigezo vya kuwa mgombea halali kupitia CCM !
Nashangaa Leo mkutano unaadhimia tu bila kuuliza ni wangapi wana nia ya kugombea nafasi hiyo ! Sijalizishwa na maamuzi yaliyotolewa hivyo najiandaa...
1. Hongereni CCM kwa Mkutano Mkuu Maalum hapa Dodoma.
2. Yanayofuata yote ni kukamilisha mechi za kwenye ratiba tu a.k.a stand up comedy.
**Sasa naelewa kwann Wasanii wote walialikwa Dodoma
Habari za mwisho wa wiki wadau na kheri ya mwaka mpya.
Lakini kwanza nitie angalizo kwamba mie si mwanachama wa chama chochote bali ni mtaalam tu niliejifunza kufanya chambuzi na mambo mengine khasa ya kimataifa zaidi. Hivyo kuna wakati najikuta naangalia kinoendelea hapahapa nchini mwetu na...
Wanabodi,
Jambo lolote jema ambalo limeleta mabadiliko chanya kwenye maisha ya watu, liwe la serikali au mtu binafsi linahitaji pongezi. Pongezi sio tu katika kuonyesha maisha yaliyoguswa na kitendo hiki bali pia kumpa motisha aliyefanya tendo hilo kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa...
Matokeo ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa yamewatangaza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Pamoja Na Rais Dkt Hussein Ali Mwinyi Kuwa wagombea Urais 2025-2030.
Marais hawa watakuwa wanakamilisha Ngwe zao za Pili za Uongozi katika Ngazi ya Urais Katika Serikali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Ameandika kwenye ukurasa wake wa X.
"Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!!
Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return….Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi...
Kuna vitu vinashangaza mnoo katika siasa za CCM ambapo kile kinachoimbwa majukwaani (kuwawezesha vijana na wanawake) ni tofauti kabisa na kile kinachofanyika. Hili la wazee wastaafu waliochoka na kuchokwa kurejeshwa kinguvu kwenye ulingo wa kisiasa ni miongoni mwa maajabu ya siasa za CCM.
Hizi...
Wajumbe wamempitisha kwa 100% kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi 2025/2030.
Hakika naamini atashinda kwa kishindo mwaka huu.
Mungu amlinde Rais wetu, wenye wivu wanywe sumu kabla ya October.
Ukisikia hekaya za aAbunuwasi ndiyo hizi.
Jana Samia amekataza watu kuanza kampeni kabla ya muda.
Strange enough wao wamechaguana tayari kabla ya Jogoo kuwika.
Ukisikia chama cha kishenzi ndiyo hiki! Total dictatorship/authoritarian = favouring or enforcing strict obedience to authority at...
Sioni cha maana zaidi ya wao kupiga mipicha tu.
Labda kama kuna aliyeelewa hawa wasanii wa sijui bongo fleva na movies kwenye huu mkutano wa ccm kazi yao kubwa ni nini anieleweshe.
Kwa kuwa sasa CCM imeazimia kwa kauli moja kupitia mkutano wake Mkuu maalamu kuwa mgombea wake awe ni Dkt.Samia licha ya kwamba ilikuwa inajulikana muda mrefu atakuwa yeye lakini kwa azimio la Leo ni yeye rasmi na hakuna mjadala zaidi ya hapo.
Ni muda mrefu nimeomba awe ni yeye na kwa kuwa...
Mtindo huu utaitafuna sana CCM na kuna baadhi ya mambo wanayajutia kuyakubali kwa upambe lakini ndiyo hali waliyo iruhusu wenyewe
CCM ya sasa ukiweza ku mobulise wajumbe kwa namna yeyote ya kuwafurahisha basi unaweza kuwa rais hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.