Kwenu wana CCM mnaojitambua, wenye mapenzi mema na chama na mustakbali mwema wa nchi hii.
Hicho mlichofanyiwa Dodoma ni uhuni mtupu, hakipo ndani ya kanuni, taratibu wala culture ya chama.
Inakuwaje mnakubali genge dogo la watu wachache wanakaa chemba ili waje wawastukize kwa jambo nyeti kama...