ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. milele amina

    Pre GE2025 Viti Maalum CCM: Sera na Utaratibu wa vipindi viwili miaka 10 ni danganya toto kwa Watanganyika na wanachama wa CCM!

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, masuala ya viti maalum vya ubunge na udiwani yanazungumziwa kwa nguvu, lakini kuna maswali mengi yanayoibuka kuhusu uhalisia wa sera hii. Mimi nikiwa kiongozi na mwanachama wa CCM, Ninatoa mawazo yangu kwa sababu zifuatazo: 1. Muda wa...
  2. Pdidy

    CHADEMA jifunzeni maamuzi ya Leo CCM kwa viti maalum hivi sio viti vya familia ama ukoo flani ama kabila flan tu

    January niliandika sana hapa nkalia sana na haya mambo ya VITI MAALUM Nkaelezewa sana madhara yake kuna watu wako vijana wanazeekea voti MAALUM kiasi cha kwamba WAKIFIKA kule HATA akili aziwazo kusaidia wananchi WANAJUA watachsguliwa Tena wakipitidha mambo yaooo Sio hivyo iliwafanya HATA...
  3. 4

    Pre GE2025 Mtazamo: Kamati ya siasa ya CCM imecollapse ghafula ,Mungu mkubwa

    Yeye ndie na hakuna mwenye mamlaka juu yake na uwepo wake unadhihilika bila shaka wakuu wangu na waungwana sana wana JF ( sio machawa). Wana JF amani ya Bwana na ikawe juu yenu popote mlipo kila mmoja kwa imani yenu . Mada tajwa hapo juu yahusika wakuu. Nimekaa na kutafakari sana juu ya...
  4. Mindyou

    Pre GE2025 CCM waweka ukomo nafasi za ubunge na udiwani viti maalum, waja na kauli mbiu mpya

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imepokea...
  5. Parabolic

    Pre GE2025 Ijue idadi ya wanawake Kamati Kuu za CCM, ACT Wazalendo, CHADEMA na CUF. Uwiano huu ni sababu hawana uwezo?

    Ijue idadi ya wanawake katika Kamati kuu za CCM, Chadema, ACT Wazalendo na CUF ACT WAZALENDO Kamati kuu ya ACT Wazalendo ina wajumbe 55 ambao kati yao 23 ni wanawake. Wajumbe hao ni pamoja na Kiongozi wa chama, Naibu kiongozi wa chama, Mwenyekiti wa Taifa, makamu wenyeviti (Bara na...
  6. chizcom

    Kila awamu zikifika ili neno ccm wanapenda kulitumia la “serikali au awamu iliyopita ….”

    Tokea kupata uhuru hakuna chama chochote cha upinzani kilichoweza kushika hata uraisi wala maamuzi makubwa zaidi ya chama cha ccm. Maamuzi haya yapo ndani ya serikali ya ccm ambayo ndio chama kilichomo. Sasa neno ili la ulaghai linapendwa sana kutumia kila anayeingia iwe...
  7. The Watchman

    Pre GE2025 Kamati ya Siasa CCM Dodoma mjini waigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Nkuhungu

    WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma mjini wameigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Kata ya Nkuhungu mkoani Dodoma kwa kudai ina mapungufu kutokana na hali ya kusuasua kwa mradi huo na hivyo kuagiza kuandaliwa kwa taarifa mpya yenye majibu...
  8. CM 1774858

    Pre GE2025 VIDEO: Ona Vikao vya CCM vinavyoendeshwa utapenda

    == Mwenyekiti wa CCM Taifa, Ndg. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati kuu pamoja na Halmashauri kuu ya CCM , Jijini Dodoma.
  9. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Uteuzi wa Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ziizokuwa wazi ndani ya CCM

    Uteuzi wa Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ziizokuwa wazi ndani ya CCM na jumuiya zake kwa nafasi za Wilaya na Mikoa
  10. Gabeji

    Profesa mwenye akili alie baki ccm, achilia mbali prof.mwandosya

    Wasomi wengi Tanzania wameacha taaluma zao kujifucha ccm kutafuta fusa na uchawa. Madokta, na maprofesa walioko ccm wengi ni machawa, elimu zao na usomi wao wote wameutupa na kuchagua uchawa, maprofesa waliopo ccm ni mmoja tu alie baki ni Anna Tibaijuka, Wengine wote ni machawa. Ccm wanzishe...
  11. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 UVCCM Dodoma: CCM ndicho chama chenye uchungu na maendeleo ya Watanzania

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma Abdulhabib Mwanyemba amewaasa Watanzania kikupigia kura Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mkuu ujao kwa kuwa ndicho chama chenye uchungu na maendeleo ya Watanzania. Pia amesema umoja huo hauko tayari kuona...
  12. Ojuolegbha

    RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  13. J

    PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza kikao Cha Halmashauri Kuu kwa Mafanikio Makubwa

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
  14. Mikopo Consultant

    Serikali ya CCM ikubali kulamba matapishi ya makosa yake; yaani unatumia 5% ya GDP kujenga bwawa la umeme halafu uagize umeme nje? Mnajisikiliza??

    Watu wameng'ang'ania kujadili uhalali wa kuagiza umeme nje ya nchi. Kuna shida ingine kubwa haimulikwi. Tatizo haswa la Tanzania ni kwamba, baada ya ule mradi wa bwawa la umeme kupitishwa na kuanza rasmi, kuna kitu kingine kilipaswa kufanywa sambamba na mradi wa bwawa la Nyerere, nacho ni Power...
  15. Damaso

    TFF yavifungia Viwanja vya Jamhuri (Dodoma), CCM Kirumba (Mwanza) na Liti (Singida)

    Nimekutana na hii barua kutoka kwa Kaka yangu Cliford Ndimbo kuwa imevifungia viwanja vya Jamhuri, Kirumba, pamoja na Liti kwa kukosa vigezo vya ubora wa kuchezesha michezo ya ligi kuu. Ni suala zuri na bora kutoa taarifa kwa umma kuwa kuna viwanja ambavyo vimekosa vigezo muhimu kikanuni ila...
  16. Damaso

    TFF ni kwamba hamfahamu viwanja vingi vya mpira ni viwanja vya chama cha CCM

    Nimekutana na hii barua kutoka kwa Kaka yangu Cliford Ndimbo kuwa imevifungia viwanja vya Jamhuri, Kirumba, pamoja na Liti kwa kukosa vigezo vya ubora wa kuchezesha michezo ya ligi kuu. Ni suala zuri na bora kutoa taarifa kwa umma kuwa kuna viwanja ambavyo vimekosa vigezo muhimu kikanuni ila...
  17. Rozela

    Naipongeza CCM kwa kufanikiwa kuwapangia Watanzania cha kujadili

    Wiki hii tumepangiwa kujadili mambo ya simba na yanga na hii ni sehemu zote si vijiweni si ofisini, barabarani, wala hospitali. Kwenye mikusanyiko yote rasmi na isiyo rasmi story kuu ni hizi timu za CCM. CHADEMA mna safari ndefu sana, hii ndiyo nchi yenu ndiyomaana yule mzee akaona awaruhusu...
  18. Lord denning

    Kama mlikuwa hamjui: CCM imeliongoza hili Taifa kwa uongo tangu ikiwa TANU hadi sasa.

    Ni vile tu Watanzania wengi ni wajinga na sio wasomaji sana wa vitabu na wafuatiliaji wa masuala ya nchi yao. Mlioshtuka leo kuhusu habari ya Tanzania kununua umeme nje kwa ajili ya matumizi ya mikoa ya Kaskazini wakati Serikali imekuwa ikijisifu kuzalisha umeme kuzidi matumizi yetu nawashangaa...
  19. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Aliyehamia CCM akitokea CHADEMA aula kisa mradi wa maji Mwanga

    Kukamilika kwa mradi wa maji Same-Mwanga -Korogwe na kuimarika kwa huduma ya maji katika wilaya ya Mwanga kwamtua kada wa Chadema ndg. Sadi Hemed na kumrudisha chama cha mapinduzi (CCM) na kumpa ushindi wa Uenyekiti wa kitongoji cha lwami katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, wilayani...
  20. Allen Kilewella

    Hivi Yanga ingekuwa ni CHADEMA ndiyo wanazuia CCM kufanya mkutano wao kingetokea nini?

    Nimeangalia Clip Moja inayoonesha jinsi makomando wa Yanga walivyokuwa wanazuia timu ya Simba kuingia uwanja wa Mkapa kufanya mazoezi usiku wa Jana ikanifikirisha Sana. Pale kwenye eneo la tukio kulikuwa na Polisi lakini walikuwa nao kama ni waangaliaji tu wa purukushani ile. Nikawaza ingekuwa...
Back
Top Bottom