ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM akili zao duni

    Vijana wa CCM akili zao ni duni sana. Yaani wanafikiria tatizo la Tanzania ni upinzani na wanaharakati kumbe tatizo ni familia chache za kifisadi. Nyie wajinga jinga jiulizeni mnajua kuliko Dr Nchimbi au Polepole kwanini hatuko nao leo???
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: wengine wanasema CCM ni chama cha wazee, ila hiki ni chama cha rika zote

    "Wengine wanasema Chama cha Mapinduzi ni chama cha wazee, waambie ndiyo hiki ni chama cha wazee na rika zote na hakibagui mtu yeyote. Hawa wazee walikuwa vijana wa zamani, na walikuwa vijana machachali kuliko hata sisi. Hata mimi baada ya mika 20, 30 nitazeeka, nitaitwa mzee, uzee haukwepeki."...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, Mchengerwa anaandaliwa nafasi ya juu CCM? Na ndio mrithi wa Balozi Migiro kwenye ukatibu Mkuu wa CCM?

    Nimeanza kutafakari kwa jicho la tatu la yajayo katika Siasa za CCM, na kuishia kujiuliza swali hilo juu. Hapo ndio namuona kiongozi mwenye kukemea rushwa na ufisadi ndani ya CCM kwa nafasi ya mtendaji Mkuu wa Chama. Kwa jicho la tatu unaona kauli ya Mchengerwa imekuja wakati sahihi ambapo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kihongosi amesema hakuna mtumishi wa umaa aliye juu ya CCM

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi, amewawashia ‘taa nyekundu’ watumishi wa umma wanaojiona wako juu ya chama hicho tawala, akisema hakitasita kuchukua hatua dhidi yao. Kihongosi ametoa kauli hiyo leo Jumapili, Oktoba 18, 2026, akiwa katika ziara ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammedi Kawaida amtaka Mchengerwa afuate taratibu za CCM badala ya kuwakatisha tamaa vijana

    Ndugu zangu Watanzania, Soma hapa 👉Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida, amemtaka Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, kufuata taratibu na misingi ya chama hicho katika kushughulikia tuhuma zinazohusu rushwa ndani ya jumuiya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Kawaida amtaka Mchengerwa afuate taratibu za CCM badala ya kuwakatisha tamaa vijana

    Ndugu zangu Watanzania, Soma hapa 👉Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida, amemtaka Mbunge wa Rufiji na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, kufuata taratibu na misingi ya chama hicho katika kushughulikia tuhuma zinazohusu rushwa ndani ya jumuiya...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi CCM Kahama huyu mwnachama wenu anayejiita Manala Mbumba anayefanya utapeli ilikuaje mkamruhusu agombee ubunge kura za maoni?

    Huyu jamaa alikuwa anafanya real estate, kuuza viwanja ametapeli watu wengi sana hapa Daressalaam. Na pia ana chuo cha udereva kinaitwa Essence Driving School amekuwa akikitumia kutapeli watu kuanzia wafanyakazi wake , Wanafunzi n.k Mpaka Sasa hapa NIT sisi Wanafunzi ametutapeli pesa za...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hizi ziara za viongozi wa CCM wakitumbua na kutishia watumishi wa umma zitamsaidia rais Samia kupendwa na wananchi?

    Kwa ujumla ameshatambua kuwa hapendwi na wananchi. Lakini inaonekana kuna vuguvugu la viongozi kuwapelekesha mputa watumishi waonekane ni wazembe kwa wananchi ili serikali ikubalike kwa wananchi na rais apendwe. Tumbua tumbua, makalio ya hapa na pale yanafanywa na wakuu wa mikoa,makamu wa rais...
  9. 4

    JamiiForums Tanzania Nafikiri kama tunaenda kwenye uchaguzi huru na haki Ccm wampe Makongoro awe Mgombea wao

    Sina mengi ,wana jf amani ya Mungu iwe juu yenu , mtamuona kama mtu flani ila siasa anajua . Wekeni mazingira sawa then Mpe Bendera kitaumana sana Thanks
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: CCM Haitishwi na ninadhibitisha hapa chama hiki hakitatoka madarakani

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, ametoa msimamo mkali dhidi ya viongozi wa vyama vya upinzani, akisisitiza kuwa CCM haitishwi, haitaondoka madarakani kwa matamanio au maneno ya kisiasa, na ipo tayari kushindana kupitia sanduku...
  11. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Kikwete: CCM ipo pale pale mpaka Yesu atakaporudi(Kumbukizi)

    Ni maneno ya Rais Mstaafu awamu ya nne Mh Jakaya Kikwete.
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tunduru:Diwani wa CCM adaiwa kuuwawa kwenye mapigano baina ya wakulima na wafugaji

    Hili tatizo halitaisha👇
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mnaowaza serikali (CCM) kupinduliwa muache kuota ! Jeshi ni mali ya Ccm, Hakuna Backup ya serikali nyingine na hakuna mfumo wa majimbo.

    1. JESHI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA Njia mojawapo ya kawaida ya mapinduzi ya serikali ni jeshi kuingilia siasa na kuiondoa serikali iliyopo madarakani kwa kutumia nguvu. Kwa mfano walichofanya kina Ibrahim Traore wa Burukina Faso. Hata hivyo, katika muktadha wa Tanzania, Baada ya...
  14. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM inatumia mfumo wa Frog boiling effect kuendesha nchi

    Frog boiling effect au boiling frog syndrome ni maelezo ya dhana ya kisaikolojia kuwa binadamu anaweza kuvumilia jambo baya akifanyiwa kwa taratibu (awamu kwa awamu) kuliko jambo hilohilo akifanyiwa kwa ghafla kwa wakati mmoja. Maelezo ya dhana hiyo yanaonesha kuwa kuna chura aliwekwa Kwa...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Dodoma Adai Kuchomewa Duka la Sh Milioni 120, Amtuhumu Mtumishi wa CCM na kumtishia kupotezwa

    Mfanyabiashara wa nguo jijini Dodoma, Essau Andrew maarufu Andrew Fashion, amedai kuchomewa duka lake lenye thamani ya Sh milioni 120 miezi miwili iliyopita, akimtuhumu mtumishi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Raymond Mosi, kuhusika na tukio hilo na baadaye kumtishia kupotezwa anapodai haki yake...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Godfrey Malisa: Kwa nini nilipinga uteuzi wa Samia CCM

    Mwanazuoni, mwandishi wa vitabu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, anasema msimamo wake wa kuhoji uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa chama hicho Januari 2025 ulitokana na kile anachodai kuwa ni ukiukwaji wa Katiba ya CCM na Katiba ya Jamhuri ya...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Godfrey Malisa: Kwa nini nilipinga uteuzi wa Samia CCM

    Mwanazuoni, mwandishi wa vitabu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, anasema msimamo wake wa kuhoji uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa chama hicho Januari 2025 ulitokana na kile anachodai kuwa ni ukiukwaji wa Katiba ya CCM na Katiba ya Jamhuri ya...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Msishangie kila kitu wana CCM . Kuna mpango wa kuvunja mihula kunufaisha wachache. Woga wenu mtaishia pabaya

    Sio kila kitu cha kushangilia wapambe wa Mama wale wale walio mwondoa Nchimbi sasa wameanza taratibu za kutaka kumuongezea muda baada ya 2030. Kwa ufupi wanachama wote wa CCM sasa hawana nguvu hata ya kuongea wamekuwa machawa tu. Kitakachotokea kwaababu ni kwamba humo humo watamaliza Mama na...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania John Bina ni kada wa CCM alimshauri Samia kuua waandamaji hafai kuwa kuwa rais wa Femata

    Wachimbaji wadogo mlisikia John Bina akishauri waandamaji wanaopinga taifa lao kuibia rasilimali zao wauliwe. Leo hii yeye kwa kiburi anajinasibu ni mwenyekiti wa Femata. Shirikisho la wachimbaji wadogo hapa Tanganyika. Wachimbaji wengi waliuliwa na kwa risasi Oktoba 29. John Bina hafai hata...
  20. mirindimo

    JamiiForums Tanzania WALEZI WA MIKOA NI KITU GANI ? Nani anakishauri CCM ?

    Nasikia walikaa NEC wakakubaliana waanzishe kitu kinaitwa walezi wa Mikoa , mshauri wao sijui hua ni nani unaweza fikiri hakuna wasomi kule
Back
Top Bottom