ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Kesho mambo makubwa ni mawili tu hapa nchini Tanzania. Mkutano mkuu wa CCM na Mechi ya Yanga kufuzu robo Klabu bingwa

    Bandugu! Kesho Hapa Dar es Salaam jambo kubwa ni mchezo wa Yanga dhidi ya MC Alger katika kufunzu kwenda robo fainali ya klabu bingwa Afrika. Naamini timu yangu ya Yanga itapiga tu na kufuzu. Lakini sambamba na hilo ni Mkutano Mkuu wa CCM pale Dodoma makao makuu ya Nchi. Tutapomfahamu Makamu...
  2. B

    CCM kumnadi Mbowe Dodoma kiaina, kuna nini nyuma ya pazia?

    Labda hii ni katika kumuweka mwamba kwenye ramani? Kwamba mdahalo kala kona. Hali ya uwanja haitamaniki. Kwamba kipi kifanyike? "Ama kweli rafiki wa kweli ni rafiki kwenye dhiki!"
  3. MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM 2025

    #TunazimaZoteTunawashaKijani #TunayeTunatambaNae #HilindioChamaKubwa
  4. Tetesi: Salum Mwalimu kutambulishwa CCM Jumapili

    Katibu msaidizi wa Chadema afahamikaye kwa jina la Salum Mwalimu, anatarajiwa kujiunga na CCM siku ya Jumapili mwishoni mwa Mkutano Mkuu. Logistics za mapokezi kuanzia safari ya yeye kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma usiku wa kuamkia Jumapili, zimesha andaliwa. Gari inayotarajiwa kumbeba kesho...
  5. CCM iache Siasa nyepesi za kubebana na Wasanii kutafuta Justification ya Umati mkubwa, LITERACY RATE Kwa watanzania wa Leo ni Kubwa, hawadanganyiki !

    Mbinu zilezile za miaka ya 1960 ,ndizo zinazotumika hata Leo . 🤣
  6. Uchambuzi:Sifa za wanaotajwa kuwa mmoja atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa.

    Wanaotajwa sana na vyombo vya habari,mitandao na makada wa CCM kuwa mmojawao atateuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM Taifa ni hawa hapa. 1.Paul Kimiti 2.Abdulah Bulembo 3.Mizengo Pinda 4.Dr Bashiru Ally Kakurwa 5.Yusuph Makamba 6.Frederick Sumaye 7..Dr Asharose Migiro 8.Anna Makinda 9.Steven...
  7. Mkutano Mkuu wa CCM mwaka 1997, unamkumbuka nani pichani?

    Hapa ni Dodoma, katika mkutano mkuu wa ccm mwaka 1997. Umemtambua mjumbe gani pichani?
  8. Kama haupo Dodoma kwenye vikao vya ccm weekend hii, na unajufanya ni mwanachama kindakikindaki, basi jua wewe ni mpiga kelele tu

    Wenye chama chao wapo Dodoma, wewe upo hapa unatupigia kelele tu, amka toka usingizini! Punguza uchawa…
  9. Rais Samia anatuonyesha Hakuna Mbadala wa CCM Katika Siasa za Tanzania

    Katika mazingira ya kisiasa ya sasa nchini Tanzania, chama ni kimoja tu kinacho weza ongoza Watanzania: Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kilichozaliwa kwa misingi ya umoja, maendeleo, na mafanikio ya kitaifa, CCM kimekuwa kikiongoza Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977. Kwa miaka mingi...
  10. U

    Dkt Samia Aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kinachoketi leo tarehe 17 Januari 2025, Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika...
  11. Naichukia CCM, ila ukweli nausema kwa miaka 10 iliyopita. CCM wameifanyia mazuri mengi Tanzania. Magufuli na Mama samia wapewe maua yao

    Habari wadau Ukweli CCM siipendi kwa sababu nyingi. Ila nawapa maua yao kwamba wameijenga nchi sana kwenye miaka mitano ya awamu ya 5 iliyoongozwa na Magufuli na miaka mingine mitano ya awamu ya sita iliyoongozwa na Mama Samia. Leo hii Tanzania tunaongoza Africa mashariki kwa kuzalisha...
  12. Pre GE2025 CCM wamefanya mpaka maigizo ya kaole lakini bado mkutano wao umedoda! Watanzania wako bize na CHADEMA

    Wakuu, Safari hii CCM imedoda, Watanzania wako bize na mkutano wa CHADEMA. Mlianza na kiki ya mabasi ambayo tunajua ni upigaji, watanzania wamechamba kizungu halafu wamerudi kwenye jambo la maana kwa sasa. :BearLaugh: :KEKLaugh: Hilo limebuma eti mnaigiza kama bongo movie kujipa umuhimu...
  13. M

    CCM na nyie mnalo la kujifunza kwa CHADEMA, muache ule utaratibu wenu wa kutoa fomu moja ya urais, CHADEMA katika hili nawapongeza!

    CHADEMA kwa sasa wapo kwenye kinyang'anyiro kikali cha kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama kati ya Mbowe na Lisu hiyo ndio demokrasia sio kuwatishia watu wasichukue fomu kwenye baadhi ya nafasi iyo sio sawa kidemokrasia! Kama mgombea anajiamini aache apate challenge kutoka kwa washindani wake...
  14. Tetesi: Msigwa ajiandaa kuondoka CCM ikiwa safari hii mkeka wa mama hautamkumbuka?

    Wakati wowote ndani ya wiki chache zijazo huenda mchungaji Peter Msigwa akaamua kuondoka CCM na kurejea Chadema, ambapo rafiki yake mkubwa Lissu akitegemewa kuchukua kiti cha uenyekiti wa Chadema. Tayari kuna tetesi zinasema Msigwa ameweka masharti ya kuendelea kubakia CCM kwa kupewa nafasi ya...
  15. Tabiri nani atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

    Weekend hii kutakuwa na mkutano mkuu wa ccm, lengo ni kumteua makamu mwenyekiti mpya atakayechukua nafasi ya Comrade Kinana. Je unahisi nani atateuliwa kwenye nafasi hiyo? Tupe utabiri wako Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
  16. Makalla: Tutafunga screen kwenye mikoa ili watu wafuatilie uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara

    Sasa kumekucha CCM wanajambo lao! Wanataka wananchi wote waone kitakachoendelea huko Dodoma kwahiyo sitafungwa Screen tv kwenye mikoa! ===================== Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuhusu ufuatiliaji wa uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa Bara Chama cha...
  17. 4

    Ushauri; CCM mleteni mh Mwaniri kama Makamu Mwenyekiti, mtanishukuru baadae

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu. Mzee Mwaniri amekua mkuu wa Mkoa Tabora ila pia ameshika nyadhifa Mbali Mbali ndani ya nchi yetu, Uyu mzee anamapigo ya G z , siasa za nchi hii zinazidi changamka Sana , nami ni ombi langu ziendelee changamka . Mleteni uyu mzee kama makam wa ccm ...
  18. CCM ndicho chama kilicho na Demokrasia bora na yenye nidhamu kubwa kuliko vyama vya upinzani Tanzania

    Hakika nasadiki kusema hivyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza! CCM wanasiasa bora sana na zenye demokrasia nzuri na sio kuchafuana kama walivyo wale wengine kila kukicha wao ni kupakazana matope huyu kafanye lile tena hata bila kuweka ushahidi. Yani siasa zisizo za adabu na zilizokosa...
  19. Pre GE2025 Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media

    Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360, Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi. Yaonekana alikuja na...
  20. Kuna uhaba wa mabasi ya mwendokasi halafu tunaona CCM mnashusha mabasi mapya ya chama, kuweni na aibu

    CCm ndio Serikali yenyewe Kitendo cha awamu hii ndani ya miaka 5 mmeshindwa kuwaletea wananchi mabasi ya mwendokasi watu wanapata mateso alafu nakuja kuona yutong za ccm kma 30 na ushee zimeshuka hapo bandarini kama kutakuwa na tume huru basi huu mkoa wa Dar hata jimbo moja hamuwezi chukua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…