ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mshindi wa mavazi duniani

  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Dar: Vurugu zatokea kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani Jijini Dar cha kuamua hatma ya Meya wa Dar, Isaya Mwita

    Kikao cha Baraza la Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania cha kujadili tuhuma zinazomkabili Meya wa jiji hilo, Isaya Mwita kimesimama kwa muda baada ya jina la mjumbe wa Chama cha Wananchi (CUF) kusainiwa wakati hayupo ukumbini. Kikao hicho kinafanyikia ukumbi wa Karimejee jijini...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na CCM mpya kwa Tanzania imara: Falsafa inayojenga mtazamo chanya kwa watanzania juu ya CCM

    Tukiwa tumeuanza mwaka 2020, mwaka wenye tukio muhimu la uchaguzi mkuu , uchaguzi unaotazamiwa na wengi kuwa ndio uchaguzi utakaoanzisha mwanzo wa mwisho wa siasa za upinzani hasa wa vyama vya uchaguzi kama Katibu Mkuu wa CCM ndg.Dkt. Bashiru anavyopenda kuviita na muendelezo wa falsafa wa CCM...
  4. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Dr. Bashiru Ally: CCM ni chama kinachoongoza kufanya siasa safi za kiungwana na kiustaarabu kitashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu

    CCM YAAHIDI KUENDELEA KUHESHIMU MAAMUZI YA UMMA 02 Januari, 2020 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amesema kuwa, CCM mwaka 2020 itaongoza siasa safi za uchaguzi, ni mwaka wa kudhihirisha CCM inaongoza siasa safi na kuheshimu maamuzi ya Umma kama ilivyofanya mwaka 2019...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wagombea waliopitia JKT iwe kwa mujibu wa sheria au kwa hiari kupewa kipaumbele kura za maoni CCM

    Ukiondoa uzalendo binafsi ambao mtu huzaliwa nao uzalendo mwingine hupatikana kwa njia ya mafunzo yatolewayo katika Jeshi la Kujenga Taifa kwa kifupi JKT. Inasemekana kupitia tetesi kwenye korido za Lumumba kwamba zamu hii kulitumikia jeshi la kujenga taifa itakuwa ni kipimo cha uzalendo wako...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa sasa Udiwani na Ubunge ni ajira, tutegemee changamoto kubwa kuelekea uchaguzi mkuu hasa ndani ya CCM

    Tunakumbushana tu kwamba kwa sasa hapa nchini siasa ni ajira hivyo wabunge na madiwani tegemeeni changamoto kubwa kutoka kwa toleo jipya. Ndio hao akina Harmonize, Diamond, Juma Kaseja, Mrisho Mpoto na wengine wengi wanaopiga jalamba muda huu. Changamoto itaikumba zaidi CCM kwani ndio yenye...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu Wastaafu CCM nafsi ziwasute msiposimama kusema ukweli 2020

    Tunamshukuru Mungu ametupa pumzi sote tumevuka mwaka 2020. Naipongeza Serikali yangu na watanzania wote kwa amani na upendo baina yetu pamoja na misuko suko yote. Ndugu wazee wastaafu ktk ngazi ya juu ya Taifa nawaandikia ujumbe huu wala siwafichi wala sipepesi macho ila nasimama kusema...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Slogan ya CCM 2020 Kuelekea uchaguzi"Kazi ipo Kazini"

    Hongereni sana CCM kwa slogan yenu hii kuelekea uchaguzi 2020 "Kazi Ipo Kazini" Mtu anaweza kuchukua siku 40 kuchambua maana ya slogan hii. Ni bonge la Slogan. Nimeiona sehemu akiwa ameandika Kgogo2014.
  9. Mr worldwide

    JamiiForums Tanzania CCM imejichokea, upinzani hawajajipanga kuchukua nchi

    Happy new year 2020 to y'all members of JF Hakika tumeuanza mwaka muhimu katika nchi yetu, mwaka ambao tunakwenda kufanya maamuzi ya nani kutoka chama gani aongoze nchi na kuivusha Tanzania kutoka umasikini uliotopea mpaka uchumi wa kiwango cha kati Bila kutafuna maneno, CCM hawawezi kututoa...
  10. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania 2020 hiyo CCM ni kusuka ama kunyoa?

    Kesho kutwa Mungu jalia tunauanza mwaka 2020, ambapo CCM wana kazi moja kubwa kusuka ama kunyoa, wasiojua tafsida CCM wana kazi moja kuiokoa nchi au kuiangamiza. Kila la heri wana JamiiForums kuelekea new year Mungu awabariki sana.
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CCM kutogawa bure sare za chama kwenye uchaguzi mkuu 2020, wanachama waelekezwa kujinunulia wenyewe

    Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Mh Bashiru Ally , lengo kubwa la mpango huu ni kutunisha mfuko wa chama ili kupata fedha za kugharamia shughuli za chama , utaratibu huu mpya umeleta sintofahamu kwa wanachama na wapenzi wa chama hicho , ambao walitegemea sare hizo kama mavazi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania CCM Mbeya: Hatutamvumilia yoyote atakayeharibu mali za chama, kuanzia sasa watakaokodi uwanja wa Sokoine kupewa masharti maalumu

    Uongozi wa CCM jijini Mbeya umesema umekasirishwa sana na kitendo cha mali ya chama yaani Uwanja wa Sokoine kuharibiwa. Uongozi umesema wamemuagiza aliyekodi uwanja huo na kutokea uharibifu autengeneze ndani ya wiki tatu na amekubali kuukarabati. Kadhalika CCM wamesema kuanzia sasa mtu au...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dr Bashiru: Suala la Umoja ndani ya CCM ni la lazima siyo hiyari, asiyetaka Umoja tutamfukuza mara moja

    Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema swala la umoja ndani ya chama ni la lazima na mwanachama yoyote atakayekuwa na viashiria vya kutotaka umoja atafukuzwa chamani mara moja. Ili kuwagundua wabinafsi Dr Bashiru amesema chama kitafuatilia mienendo ya wanachama wake na ikibainika unataka...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nategemea Dr.bBashiru atawakemea Mwakyembe na Tulia kwa uharibifu wa uwanja wa CCM Sokoine, Mbeya

    Natoa angalizo tu kwamba uwanja wa Sokoine ni mali ya CCM na kwahiyo mwanaccm yoyote anayeusababishia madhara anapaswa kukemewa. Haiwezekani Mwenyekiti wetu Dr Magufuli juzi tu kasisitiza umuhimu wa kulinda mali za chama ili CCM isitegemee ruzuku pale mkutanoni Mwanza, halafu wajumbe wale wale...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Chuki zingine za kujitakia - Watumishi wa Umma hawatapigia kura kamwe CCM 2020

    Hii ni kweli kabisa. Anayetaka kushinda mwakani lazima awe na pendekezo la kuongeza kipato kwa Watumishi wa Umma. Miaka hii mitano mitano watumishi wa Umma wamechoka nyang'a nyang'a. Hamna nyongeza ya mshahara na manyanyaso mengine kibao. Licha ya ile nyingeza ya ujumla hata nyongeza ya kila...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi mkuu 2020 utakuwa mgumu sana kwa CCM na wapinzani wanaweza kutengenezewa mpenyo

    Uchaguzi mkuu wa 2020 utabebwa zaidi na kura za maoni kwa wagombea wa CCM ambao Kamati kuu ndio imeshika mpini. Jaribu kuangalia tafrani zilizoanza kujitokeza za wabunge kugawa pipi kwa wagonjwa mahututi na wengine kwenda kuutimbatimba uwanja wa Sokoine na kuwahamishia maafande wa Magereza...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Kweli Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo!

    Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo ! Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa! Kiburi ,kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa! Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3...
  18. J

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama kikubwa walikuwepo Mwigullu, January na Nape wakapita sasa tunao akina Waitara, Joketi na Kafulila nao watapita!

    Tunakumbushana tu ukubwa wa CCM maana vijana wa siku hizi wengi ni wasahaulifu. Unapoteuliwa kuwatumikia wananchi basi uwe mzalendo wa kweli na utoe utumishi badala ya kutumia muda mwingi kujipigia promo na kuchafua watu wengine kana kwamba wewe ndio CCM peke yako. Hebu muangaliwe...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ilani ya CCM: Treni ya Dar es Salaam - Moshi sasa inafanya safari 6 kwa wiki

    Mungu wa mbinguni aendelee kumbariki na kumlinda Rais wetu mpendwa Dr Magufuli. Kwa sasa treni iliyofufuliwa kwa juhudi zake ya Dar es Salaam kwenda Moshi inafanya safari sita kwa wiki ikiwa imejaza abiria safari zote. Source IUhuru Maendeleo hayana vyama!
  20. The only

    JamiiForums Tanzania Naomba CCM inisamehe kwa dhati

    Naanza kwa kumpongeza Raisi wangu mpendwa JPM Kwa utendaji wake yakinifu,hakika Katiba yetu haiko vizuri mkuu alistahili uraisi hata kama si wa milele basi walau mika 25. Napenda kuwahakikishia mimi sifanyi kazi tume ya vya haki za binadamu na sio mwandishi wa habari za kumghasi mheshimiwa ,na...
Back
Top Bottom