am writing to formally express my complaint regarding the delay in receiving my Bachelor of Computer Science certificate, which I completed in 2023 at your institution. It has now been over one year and four months since I graduated, yet I have not been able to obtain my certificate. This delay...
Ni jambo la ajabu kwa ngazi ya certificate kukosa cheti eti mpaka umalize diploma ndio upewe cheti. Hii haipo sawa na inatukwamisha kimaisha.
Tunaomba mtoe vyeti kwa wahitaji muache janja janja, kila ngazi ina cheti chake.
Nimeomba clearence certificate polisi ni takriban miezi minne mpaka sasa hivi sijapata.Hili jeshi letu itabidi lijitathmini aisee vitu vidogo kama hivi kweli vinachukua miezi kupatikana.
Habar wakuu! Naomba kuuliza je latesay ulimaliza certificate miaka mi5 au 6 iliyopita nasasa unataka kuendelea na diploma je inawezekana kuendelea kupitia hiyo certificate yako au nilazima uanze upya ngazi ya cheti??
Kuna mtu ameniambia chet chako kikizidi miaka mitatu huwez kuendelea nacho...
habar za muda huu wakuu
nilikuwa naomba msaada jins ya kuandik muhtasari wa wanandugu wasiopungua saba pamoja na vitambulisho vyao hao walio hudhuria kikao cha familia,na kiapo cha mahakama pamoja na muhtasari wa kamati ya ulinzi na usalama ya kata ikithibitisha kutokea kwa kifo naombeni...
Hii ninashauri ili kupunguza tatizo la ajira na pia kusaidia kupunguza migogoro kati ya serikali na wafanyabiashara. Kuna kutokuelewana pakubwa kati ya serikali na wafanyabiashara kwenye hesabu zao. Mamlaka zinaona wafanyabiashara wanakwepa kodi huku nao wakiona mamlaka wanawaonea. Kupunguza...
Habari Wana jukwaa naomba kuuliza hivi NBAA huwa wanatoa cheti Cha atec 1 Kwa maana Kuna nafasi za kazi zimetoka za msaidizi wa hesabu daraja la pili za MDA and LGA wanahitaji mtu mwenye atec 1 ya NBAA
Wakuu kwema! Jamani nina mdogo wangu anataka kusoma ngazi ya cheti, sasa naomba mwenye kujua kwa mkoa wa arusha chuo gani pale anaweza akapata nafasi kulingana na ufaulu wake kama nilivyosema hapo juu. Naomba msaada wakuu kama kuna mdau anajua chochote basi anisaidie hapo mawazo.
Nawasilisha.
Wanu Hafidh Ameir, Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) na Mbunge wa Viti Maalum (Zanzibar) Amepokea Cheti Maalum cha kutambua mchango wake wa kuhamasisha Utunzaji wa Mazingira katika Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani 2024.
Wanu Hafidh Ameir amepokea Cheti hicho...
Wakuu habarini za muda huu, poleni na majukumu na ni matumaini yangu kuwa mko vizuri kabisa.
Niende Moja kwa moja kwenye jambo langu, Naomba kuuliza ni course Gani ya certificate ambayo kijana akiisoma kiasi Fulani haitamchukua muda sana kupata kazi? Kijana amesoma Art subjects but alisoma pia...
Wakuu habari za majukumu.
Naomba kuuliza kama Kuna ulazima wa kuanza na certificate kwa mtu mwenye matokeo ya o level Physics-C, Chemistry B na biology-B na anataka kusoma diploma in clinical medicine
Habarini za mchana wadau wa JF,
Jamahaani naomba kujuzwa Kama Kuna chuo chochote cha maendeleo ya jamii kinachotoa certificate online?
Mimi nimemaliza chuo cha maendeleo ya jamii mwaka 2013,lakini mpaka Sasa sijawahi kupata ajira yoyote,kwa hyo nimeona Bora nikasome certificate maana Mimi...
Habari ndugu wana JF,
Leo nimependa kuzungumza nanyi mada kuhusu vyuo vikuu kufundisha ASTASHADA na STASHAHADA. ni ukweli usiopingika sera ya elimu inabidi kufanyiwa marekebisho kwasababu vyuo vikuu siku hizi zinachukua watoto wanaomaliza kidato cha nne (4) wengi wao chini ya miaka ya 18...
Salaam Wakuu,
Kidato cha nne mwaka 2021 Kijana alipata Division Two ya Arts. Hakwenda kabisa Advance kwa sababu za kiafya hivyo sasa ameamua kwenda chuo kusoma ualimu. Kijana anataka kusoma DUCE au Mwalimu Nyerere (MNMA).
Msaada:
Ni utaratibu gani hutumika kufanya maombi ngazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.