Wajuzi naomba msaada.
Ndugu kafa. Ana akaunti benk ila password hazijulikani pia ana mpesa na pesa zipo ila no password. Mkewe ana death certificate. Atapataje pesa za mmewe? Pia ana cheti cha ndoa.
Msaada
Habari wakuu,
Najiandaa kusajili medicated soap TMDA, kuna document ya certificate of analysis wanahitaji. Ni maabara ipi naweza fanya parameter test?
Naomba msaada kwa namba
0713- 039 875
Juzi juzi niliandika haya baada ya kusoma tangazo la udahili la UDOM
Sasa leo nimekutana "THE NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION CERTIFICATE AND DIPLOMA PROGRAMMES OFFERED BY UNIVERSITIES ADMISSION GUIDEBOOK FOR 2020/2021" kwenye web page ya NACTE ambayo haikuwa na maelezo yeyote...
Habarini nduu zangu,
Kuna ndugu yangu nimemsaidia kufanya application ya loan board, kuna zoezi la kutuma taarifa ya cheti cha kuzaliwa RITA kwaajili ya verification, zilipita week 2 wakarudisha majibu kwenye system kuwa sijafanya attachment ya cheti usika, nimefanya attachement ya cheti tangu...
I hope you are all fine,
Guys, nataka kuverify cheti changu cha kuzaliwa kupitia RITA hivyo naomba kujua mambo/vitu vifuatavyo:
1. Naweza kuwatumia cheti changu kupitia email? Na kama inawezekana, email yao ni ipi?
2. Namna ya kutuma na mfumo wa malipo pia
3. Baada ya kutuma ni muda gani...
Mdogo wangu amemaliza kidato cha nne na kupata DvsnIII 25
CIVICS - 'C'
HISTORY - 'C'
GEOGRAPHY - 'C' KISWAHILI- 'C'
ENGLISH - 'D'
BIOLOGY - 'D'
B/MATH - 'F' tukasubiria labda anaweza kupata selection ya Advance lakin hajachaguliwa, baada ya kushindikana hapo tukaona bas sio vibaya ikiwa ataenda...
Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aweka record ya kuwa most African artist mwenye subcribers wengi baada ya kufikisha million 3 na hii imefanya uongozi wa YouTube kumpa certificate Kama zawadi.
Nampa pongezi kijana wa Tandale wazungu wanamsemo "Work hard pay off"
Mi swali langu limenyooka sana. Umihimu wa kuwa na kitambulisho cha NIDA ni nini?
Maana tukienda kutengenezesha Passport mpya tunahitajika ku wasilisha vyeti vya kuzaliwa na vinginevyo.
Mimi kwa akili yangu nilikuwa nafikiria kuwa tukishapata Kitambulisho cha NIDA basi tena kutakuwa hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.