Hello thinkers
Salaam wakuu!
Nilikiwa naomba mtu mwenye ushauri au ujuzi wa kupata
TRAVEL INSURANCE CERTIFICATE, FLIGHT RESERVATION, HOTEL RESERVATION.
Hizi ni uambatanisho wakupata viza/Visa ya kusafiria kwa mda.
Kama kuna mtu mwenye experience please tujuzane hata kama mtu ataona noma...
Hello, thinkers
Salaam wakuu!
Nilikiwa naomba mtu mwenye ushauri au ujuzi wa kupata
TRAVEL INSURANCE CERTIFICATE, FLIGHT RESERVATION, HOTEL RESERVATION.
Hizi ni uambatanisho wakupata
viza/Visa ya kusafiria kwa mda.
Kama kuna mtu mwenye experience please tujuzane hata kama mtu ataona noma...
Wakubwa samahani sana ..kama title inavyojieleza hapo juu nilikuwa nataka kujua je kwa aliesoma short course veta mfano ya electronics anaruhusiwa kuendelea kusoma vyuoni kwa ngazi tofauti kama certificate na diploma? Naombeni majibu wakuu
Habarini wakuu kama kichwa cha habari kinavosema mimi ni kijana mwenye miaka 22 nimesoma hadi ngazi ya certificate in community health
Natafuta kazi katika mashirika binafsi (NGO) yanayoshughulikia masuala ya kijamii hata Kwa kujitolea kwa ujumla naweza fanya kazi kama social worker pia...
Habari za mchana viongozi.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
anahitajika
cashier
certificate
chakula
cheti
clearing
elimu
fundi
habari
hii
jamhuri
jina
kazi
kulipwa
mgahawa
mimi
mpishi
mtu
natafuta
natafuta kazi
ndugu
ndugu zangu
siku
tanzania
unatafuta
uzoefu
vitafunwa
wakuu
waungwana
welding
Salaam,
Mimi ni kijana wa kiume mwenye Umri wa Miaka 26 na makazi yangu ni Mwanza wilaya ya Nyamaghana. Mwaka huu 2021 nimehitimu Bachelor of science in computer science, Lengo la thread hii ni kuomba nafasi ya internship or volunteering opportunity (paid or unpaid), katika kampuni yoyote...
Habari za ndugu zangu
Nimatumaini ya ni wazima,mimi ni muhitimu wa form iv 2014 (nifaulu kwa daraja la tatu) kwa alama ya phy C,chemistry E,math C,bio C,geo C,English B a mengine D yote...
Sasa mwaka huu nataka niende chuo nika apply nit first choice ordinary diploma auto...
Guys,
Nimepata Choja ya covid19 week ya kwanza tu ya utojia,
Hadi leo sijapata message ya kupata cheti,
Naona wanaona choma hivi karibu wanapata message zina link ya cheti,
Njia gani naweza pata cheti, nimeangalia kwenye website ya wizara ya afya bila mafanikio.
Help me out.
Thanks
Habari za Asubuhi
Naomba mnisaidie utaratibu ili niweze kupata TIN certificate. Kwa ajili ya Organization imesajiliwa kisheria ngazi ya Kitaifa.
Ahsante.
Moja kwa moja kwenye mada ...
Wakuu kuna rafiki yangu amefanya maombi ya mkopo.. kila kitu kafanya sawa .. vyeti vyote ameweka safi tu.. na form aliipereka posta kuituma.
Baada ya siku mbili amegundua kuwa alisahau kuattach cheti cha form four kwenye ile form iliyoenda posta.
anauliza eti...
Ndugu watanzania, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 mwenye changamoto ya kukosa ajira. Naomba msaada wa ajira yoyote ile kwani nina uhitaji sana.
Elimu yangu nilifanikiwa kumaliza kidato cha nne na kujiunga na chuo cha Uandishi wa Habari nikasoma semester moja ila sikufanikiwa kumaliza...
Mambo vp,
Mimi ni kijana wa miaka 21 ninaishi Dar.
Nilikuwa naomba ideas. Zenu maarifa yenu mawazo yenu . Nilisoma Nusery na Kisha nikaenda primary ila sikupata certificate ya darasa la Saba kwa sababu. Shule niliyosoma ilikuwa haijasaliwa lkn nikaendelea hadi form 4 nikamaliza lakini...
Amechaguliwa kwenda kusomea kozi ya performing and visual arts (bado siajajua kama ni certificate au diploma.
Mzazi mimi sina uelewa wowote wa masuala ya elimu, achilia mbali habari za vyuo na makozi yake.
Kwa kozi kama hiyo, wadau naomba mnijuze na kunishauri; itamfanya awe nani? Msaada wake...
Siku hizi suala la Marketing limehamia mtandaoni, si Tv, magazeti, mabango, wala Radio zinazoweza kushindana na digital katika kutangaza.
Nimekuwa natangaza biashara facebook/insta. Ni msitu mkubwa na changamoto ni nyingi. Na ili upate matokea yote inabidi kuielewa vizuri. Bado najifunza lakini...
Bunge la Ulaya na Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya wamefikia makubaliano ya kutoa passport ya kielektroniki (cheti cha Covid19) itayoruhusu Mtu kusafiri katika Nchi 27 za Umoja wa Ulaya ikionesha hali yake ya chanjo, majibu ya Covid19 au uzima wa afya yake.
Cheti hiki kinasemekana kitazuia...
Wakuu heshima yenu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.Naomba kujua chuo kinachotoa certificate ya pharmacy ONLINE hapa tanzania.Mimi ni mwajiriwa wa serikali na nahitaji kusoma hii course.
Natanguliza shukrani.
Wakuu na mamlaka husika (Wizara Elimu na TAMISEMI)
Uzi wenye sura ya swali umeletwa jukwaani hapa baada ya kufanya jitihada za kutosha kutafuta mwongozo wa kuaminiwa kutoka serikalini , lakini imeshindikana kupata.
Taratibu za sasa katika utafutaji ajira na kujiendeleza kielimu unahitaji uwe...
Wakuu naomba kuuliza, ikiwa mtu tayari unayo TIN ili kupata kile cheti cha TIN mpaka uende physcally TRA? Kama ndiyo mbona TRA wanajipa usumbufu wa bure.kwa nini wasiweke utaratibu kwamba mtu mwenye namba ya mlipa kodi anaweza pata cheti chake kwenye mtandao.
Kama upo huo utaratibu wa kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.