Habari Wakuu! Naulizia kuhusu hii certificate ya clearing and forwarding hii ya kupractise ya East Africa inayotolewa na chuo Cha TRA pale Mwenge. Nahitaji kuisoma kozi hiyo Ili niingie kwenye field ya kuagiza bidhaa au mizigo kutoka nje.
Pia mtu aliyesoma hiyo kozi uwanja wake katika Ajira...
Habarini Wakuu, Hatimaye Mama kaupiga mwingi tena.
Kwa Maelezo zaidi pitia pdf mimi nitagusia Vipaumbele tu.
6.0 MAENEO NA PROGRAMU ZA KIPAUMBELE KATIKA UTOAJI WA MIKOPO
6.1 Maeneo ya Kipaumbele
Mkopo utatolewa katika maeneo makuu sita yakiakisi vipaumbele vya Taifa
kama ilivyoainishwa katika...
Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc.
Nataka nipambane nikasome majuu.
Habari za mchana wakuu? Poleni na majukumu ya hapa na pale. Naombeni mwongozo jinsi ya kupata certificate verification namba baada ya cheti kuhakikiwa RITA. Nimehakiki tayari na nimeendelea na maombi ya mkopo ila sehemu ya demographics inataka verification number ambayo kwenye vyeti...
Naomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuanzisha na kumiliki chuo kinachotoa certificates program. Pa kuanzia, unavyohitaji kuwa navyo, idadi ya waalimu na elimu yao na mamlaka zinazo husika na utaratibu wote.
Shukran
Habari wanaJF
Naomba mwenye kuelewa kuhusu NTA LEVEL 3, au NTA LEVEL 2 na NTA LEVEL 1 inapatikanaje? maana nimeona baadhi ya vyuo unaruhusiwa kuomba kusoma certificate ukiwa na kigezo cha Pass mbili yaani D mbili kwa matokeo ya kidato cha nne na pia ukiwa na hiyo NTA level 3. Sasa sijajua hiyo...
First Tanzanian gets Certificate of Origin to trade under AfCFTA
First Tanzanian gets Certificate of Origin to trade under AfCFTA
The first Tanzanian received a certificate of origin yesterday to trade in the African Continental Free Trade Area (AfCFTA). Presenting the certificate yesterday...
Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TMDA wakati dukani sio kiwandani?
Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani?
Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
Mm ni mwanafunzi wa chuo X kada ya ualimu mwaka wa pili (degree) lakini pia nazitamani sana hizi kazi za uafisa utendaji wa kata ikitokea ajira katika ualimu ikiwa ni changamoto kupata.
Sasa nataka kujiendeleza kielimu nikiwa hapahapa chuo kuna kozi nyingi tu zinatolewa sasa naomba mrejesho ni...
Naomba msaada kwenye kujaza hii ajira portal. Kila kitu nimeshaweka, pamoja na vyeti vya masomo ambavyo vimethibitishwa na mwanasheria.
Lakini mwishoni pale chini kwenye Academic qualifications, ninakutana na ujumbe unasema "You have not attached any Verification Certificate", nikigusa + hiyo...
Habari Wapendwa, Mimi ni kijana wa kike Nina umri wa miaka 35, Elimu yangu kidato cha nne na Nina certificate ya secretarial.
Natafuta kazi kati ya hizi:-
Secretary
Stationary
Reception
Costumer care
Nina uzoefu wa kazi kwa miaka 10 katika computer full na stationary service. Nimewahi kufanya...
Asalam Aleykum wanajukwaa!
Mimi ni mhitimu wa shahada ya elimu katika masomo ya Sayansi (Bachelor of education in Science).
Nimetafakari kuhusu kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya masters degree nikaona hakuna ulazima wa kufanya hivyo kwa sasa.
Nmeamua kujiendeleza katika maeneo tofauti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.