Naomba msaada kwenye kujaza hii ajira portal. Kila kitu nimeshaweka, pamoja na vyeti vya masomo ambavyo vimethibitishwa na mwanasheria.
Lakini mwishoni pale chini kwenye Academic qualifications, ninakutana na ujumbe unasema "You have not attached any Verification Certificate", nikigusa + hiyo...