Siku hizi suala la Marketing limehamia mtandaoni, si Tv, magazeti, mabango, wala Radio zinazoweza kushindana na digital katika kutangaza.
Nimekuwa natangaza biashara facebook/insta. Ni msitu mkubwa na changamoto ni nyingi. Na ili upate matokea yote inabidi kuielewa vizuri. Bado najifunza lakini...