Habarini nduu zangu,
Kuna ndugu yangu nimemsaidia kufanya application ya loan board, kuna zoezi la kutuma taarifa ya cheti cha kuzaliwa RITA kwaajili ya verification, zilipita week 2 wakarudisha majibu kwenye system kuwa sijafanya attachment ya cheti usika, nimefanya attachement ya cheti tangu...