chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Hivi Ester Bulaya aliwezaje kuteuliwa awe Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni!?

    Bulaya ni aina ya watu waropokaji na wasio na staha kabisa eti ajabu ndiye Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni! Mnadhimu ni sharti awe mtu mwenye sifa zifuatazo; Uchaji, busara, utii, hekima na msikivu vitu ambavyo yule dada hana...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lijualikali ahojiwa na TAKUKURU. Adai wabunge wa CHADEMA wamejipanga kudanganya lakini hawatafanikiwa!

    Mbunge wa Kilombero mh Lijualikali alikuwa ni miongoni mwa wabunge wa Chadema waliohojiwa na Takukuru kuhusiana na matumizi ya fedha za chama. Baada ya kuhojiwa mh Lijualikali aliongea na waandishi wa habari na kuwaambia mahojiano yake na Takukuru yamefanyika vizuri. Zaidi akasema ana taarifa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Bunge zima wakiwemo wabunge wa CHADEMA na NCCR Mageuzi waimba "Tuna Imani na Magufuli"

    Rais Magufuli ni chaguo la Mungu. Bunge zima lilisimama wakiwemo wabunge wote na wageni wote na kuimba wimbo wa " Tuna Imani na Magufuli" Bunge limewaomba wananchi wajitokeze mwezi Oktoba na kumchagua Dr. Magufuli na wabunge na madiwani wanaoendana na kasi ya Hapa Kazi Tu Chanzo: Eatv...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Familia ya Freeman Mbowe na CHADEMA: Kinachoitwa "unabii wa Mungu" wa mtu anayejiita "Nabii Mashimo" hautoki kwa Mungu, ni tego hatari kwenu!!

    Akitoa taarifa rasmi za shambulio na kujeruhiwa kwa M/kiti CHADEMA taifa, KUB na Mbunge wa jimbo la Hai - Kilimanjaro Mh. Freeman Aikael Mbowe, katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu John Mnyika alitumia fursa hiyo pia kutoa wito kwa jeshi la polisi kumkamata na kumhoji mtu mmoja anayejiita "Nabii"...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka: Mzee Lowassa alishatabiri wapinzani kusikika tena ni baada ya miaka 50 kuanzia 2020, wabunge wa CHADEM kapigeni picha za ukumbusho

    Mkuu wa mkoa wa Njombe mh Ole Sendeka amewataka wabunge wa upinzani kusoma alama za nyakati na kujisalimisha CCM kwa haraka maana hakuna muda wa kupoteza. Sendeka amesema mzee Lowassa mwaka 2015 alishatabiri kuwa wapinzani itawabidi wasubiri kwa muda wa miaka 50 ndio wataanza kusikika tena na...
  6. JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuwahoji Wabunge 69 kuhusu matumizi ya pesa za CHADEMA

    JUNI 10, 2020 TAKUKURU MAKAO MAKUU KUHOJI WABUNGE 69 MATUMIZI YA FEDHA ZA CHADEMA Kwa taarifa hii, tunapenda kuuthibitishia umma kwamba ni kweli kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU Makao Makuu, imewaita Waheshimiwa Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA na...
  7. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

    Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Chadema, Bila Ujasiri Kuingia Ikulu Ibakie Ndoto

    Hadi sasa, binadamu yeyote angeshasema basi inatosha. Leo Mnalia mitandaoni na Press Conference za Hovyo. Heche, Mnyika, Sugu, Msigwa et al.....mnategemewa sana, ila nanyi mmeonyesha ni wale wale. Hii haivumiliki, mstari mwekundu umevukwa. Enough is enough. Mass action ndio dawa. Esther...
  9. JamiiForums Tanzania Chadema waongea na waandishi habari juu ya shambulio la Mbowe na mtazamo wa chama

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, amesema kutokana na hali aliyonayo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe, wamefikia uamuzi wa kufanya utaratibu wa kumsafirisha kuja jijini Dar es salaam kwa ajili uchunguzi zaidi na matibabu. Katika tukio hili napo...
  10. JamiiForums Tanzania Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

    Kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma, Gilles Muroto amesema leo alfajiri walipokea taarifa kutoka kwa Mbunge wa Viti Maaalum, akiwa na Dereva wa Mbowe, Wilhad Urassa (34) kuwa Mwenyekiti huyo wa CHADEMA wakati akipandisha ngazi kuelekea ndani kwake inadaiwa alishambuliwa na watu 3 Kamanda Muroto...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Clouds 360, leo imemtendea haki Tunda Lissu, imeitendea haki Chadema, imewatendea haki Watanzania, hongera sana, mbarikiwe sana!

    Wanabodi, Mtu, Taasisi au Chombo chochote kikifanya jambo jema, jambo zuri la kustahili pongezi, mimi huwa napongeza, hivyo hili ni bandiko la pongezi kwa Clouds Media kupitia kipindi chake cha Clouds 360, leo kimemtendea haki Tunda Lissu, na pia kimeitendea haki Chadema, na katika kuzitenda...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA msitafute huruma ya wananchi kupitia kiki za matukio, mtaumia bure

    Wanabodi Natumai mpo salama na Mungu anaendelea kutuepusha na hili janga la Covid19 Basi naomba niende kwenye mada bila kupoteza muda. Leo asubuhi nimekutana na habari ya kuvamiwa kwa mwenyekitii wa Chadema, Mh freeman Mbowe akiwa Dodoma. Hivyo ikabidi nifuatilie undani wa taarifa zaidi...
  13. JamiiForums Tanzania Makundi ya Ugombea Urais CHADEMA yaenda kusambaratisha chama

    Chadema Kuna makundi makubwa mawili ambayo kipindi hiki yataenda sambaratisha chadema. Kundi la kwanza kundi la vijana wa chadema wa mitandaoni Hawa pesa hawana na kiongozi wao wanampenda Ni Tundu Lisu. Kundi la pili Ni la matajiri wafanyabiashara wenye pesa ambao ndio injini ya chama bosi...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

    Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea. Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana wa leo mnafahamu maana ya rangi za bendera ya CHADEMA?

    Bendera ya CHADEMA ina rangi nne: Nyeusi, Bluu isiyokoza (light blue), nyeupe na nyekundu. Bendera ya CHADEMA ina nembo ya kiganya cha mkono kilichonyoosha vidole viwili katika mfumo wa V kama ishara ya USHINDI. CHADEMA ni chama kinacholenga kushinda kidemokrasia na hatimaye kuleta ushindi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya CHADEMA kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali namba 3 wa Mwaka 2020

    https://www.jamiiforums.com/attachments/mapendekezo_kuhusu_muswada_wa_sheria_ya_marekebisho_ya_sheria_mbalimbali-pdf.1471889/?hash=8c5c56399efd75722553347ad36a681e
  17. JamiiForums Tanzania CHADEMA hawajali protocol, yeyote aweza hutubia taifa. Duni Haji alikuwa sahihi CHADEMA kila mtu ana sharubu

    Chama makini huwa na protocol mfano kuongea na taifa nani anatakiwa kuongea. Ni mwenyekiti wa chama taifa. Lakini CHADEMA hata mbunge aweza ibuka akaita vyombo vya habari kuongea na taifa hata diwani aweza jiibukia tu na kuongea na taifa. Mfano mtu anayeomba kuteuliwa na CHADEMA kugombea...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge waliohama CHADEMA "ndugu yangu usisahau unapokwenda vilevile ukumbuke ulipotoka"

    Miaka ya 80 kulikuwa na huu wimbo maarufu Sana " ndugu yangu usisahau unapokweendaa VILEVILE UKUMBUKE ULIPOTOKA*" Sijui muimbaji alimaanisha Nini lakini naomba nitumie maneno ya wimbo huo kuwaasa wabunge waliokuwa chadema na kuhamia CCM eti wanaenda kuunga mkono juhudi. Hameni kwa heshima bila...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Ado Shaibu: CHADEMA ni chama cha siasa. Kina haki ya kuandaa Wagombea Zanzibar

    MAJIBU YA KATIBU MKUU WA ACT WAZALENDO ADO SHAIBU ALIPOULIZWA KUHUSU KAULI YA CHADEMA KUSIMAMISHA WAGOMBEA ZANZIBAR. Kwenye Mkutano wake na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu aliulizwa na waandishi wa habari kuhusu msimamo wa ACT Wazalendo baada ya CHADEMA...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Urais wa CHADEMA moto: Kampeni zaanza kwa kishindo, Msigwa na Lissu hapatoshi !

    Hakika Chadema ni chama cha kupigiwa mfano , unaambiwa kila kambi imejipanga vilivyo hasa , Kambi ya Mh Msigwa ambaye ni Mwenyekiti wa Kanda yangu ya Nyasa inapepetana vikali sana na kambi ya Mh Tundu Lissu , ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tayari kampeni nzito imeanza , bali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…