YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,056
Chama makini huwa na protocol mfano kuongea na taifa nani anatakiwa kuongea. Ni mwenyekiti wa chama taifa.
Lakini CHADEMA hata mbunge aweza ibuka akaita vyombo vya habari kuongea na taifa hata diwani aweza jiibukia tu na kuongea na taifa.
Mfano mtu anayeomba kuteuliwa na CHADEMA kugombea nafasi iwe ya urais au ubunge ki protocol hatakiwi kuongea na taifa anatakiwa ashawishi wajumbe wanaohusika na uteuzi na upigaji kura ndani ya chama chake wamfikirie kumteua.
Lakini li CHADEMA halina protocol kila mtu ana ndevu ndio maana hata Tundu Lissu aweza jiibukia tu na kuhutubia taifa bila ruksa ya mwenyekiti wa Taifa au chama chake.
Tuwe wakweli Mbowe kuendesha chama kinidhamu na ki protocol kumemshinda vinginevyo Lissu asingeibuka kusema nahutubia taifa.
Msingi imara wa chama chochote imara ni nidhamu na kujali protocol ndani ya chama.
Mtu hajateuliwa hata na chama chake kaanza kuhutubia taifa !!!!! kituko cha mwaka 2020.
Nakubaliana na msemo wa Duni Haji alipokuwa akiondoka CHADEMA kuwa CHADEMA kila mtu ana sharubu.