kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,477
- 5,096
Za musiba mbona zipo nyingiweka clip ushahidi wa Musiba kuongea na taifa hakuna kitu kama hicho
Sio kosa lako kutokuziona
Za musiba mbona zipo nyingiweka clip ushahidi wa Musiba kuongea na taifa hakuna kitu kama hicho
Kwa kofia ya chademaEt kupitia chadema...kwaiyo chadema ndyo media? Au chombi cha habari?
Mpaka sasa makada mliomuanzishia TL mada mmefikia 14Chama makini huwa na protocol mfano kuengea na taifa nani anatakiwa kuongea. Ni mwenyekiti wa chama taifa.
Lakini CHADEMA hata mbunge aweza ibuka akaita vyombo vya habari kuongea na taifa hata diwani aweza jiibukia tu na kuongea na taifa.
Mfano mtu anayeomba kuteuliwa na CHADEMA kugombea nafasi iwe ya urais au ubunge ki protocol hatakiwi kuongea na taifa anatakiwa ashawishi wajumbe wanaohusika na uteuzi na upigaji kura ndani ya chama chake wamfikirie kumteua.
Lakini li CHADEMA halina protocol kila mtu ana ndevu ndio maana hata Tundu Lissu aweza jiibukia tu na kuhutubia taifa bila ruksa ya mwenyekiti wa Taifa au chama chake.
Tuwe wakweli Mbowe kuendesha chama kinidhamu na ki protocol kumemshinda vinginevyo Lissu asingeibuka kusema nahutubia taifa.
Msingi imara wa chama chochote imara ni nidhamu na kujali protocol ndani ya chama.
Mtu hajateuliwa hata na chama chake kaanza kuhutubia taifa !!!!! kituko cha mwaka 2020.
Nakubaliana na msemo wa Duni Haji alipokuwa akiondoka CHADEMA kuwa CHADEMA kila mtu ana sharubu.
Nimebaki najiuliza hivi musiba ukute alikuwa CDM maana CCM wao wanahutubia kwa protokali kweliUmesahau! CCM hadi Musiba anahutubia taifa
Na pole pole naye ni mwenyekiti wa mbogambogaChama makini huwa na protocol mfano kuengea na taifa nani anatakiwa kuongea. Ni mwenyekiti wa chama taifa.
Lakini CHADEMA hata mbunge aweza ibuka akaita vyombo vya habari kuongea na taifa hata diwani aweza jiibukia tu na kuongea na taifa.
Mfano mtu anayeomba kuteuliwa na CHADEMA kugombea nafasi iwe ya urais au ubunge ki protocol hatakiwi kuongea na taifa anatakiwa ashawishi wajumbe wanaohusika na uteuzi na upigaji kura ndani ya chama chake wamfikirie kumteua.
Lakini li CHADEMA halina protocol kila mtu ana ndevu ndio maana hata Tundu Lissu aweza jiibukia tu na kuhutubia taifa bila ruksa ya mwenyekiti wa Taifa au chama chake.
Tuwe wakweli Mbowe kuendesha chama kinidhamu na ki protocol kumemshinda vinginevyo Lissu asingeibuka kusema nahutubia taifa.
Msingi imara wa chama chochote imara ni nidhamu na kujali protocol ndani ya chama.
Mtu hajateuliwa hata na chama chake kaanza kuhutubia taifa !!!!! kituko cha mwaka 2020.
Nakubaliana na msemo wa Duni Haji alipokuwa akiondoka CHADEMA kuwa CHADEMA kila mtu ana sharubu.
Nilitarajia ungeomba ushahidi kumbe umekimbilia kuzuia masikio yako kusikia wakati nafsi yako nayo inakupa jibu Hilo Hilo usilolitakahakuna hajawahi
Ila kule kwenu mmoja tu ndio mwenye sharubu hadi ikaandaliwa form moja tu ya UraisNakubaliana na msemo wa Duni Haji alipokuwa akiondoka CHADEMA kuwa CHADEMA kila mtu ana sharubu.
Kuhutubia taifa ni nini?Chama makini huwa na protocol mfano kuengea na taifa nani anatakiwa kuongea. Ni mwenyekiti wa chama taifa.
Lakini CHADEMA hata mbunge aweza ibuka akaita vyombo vya habari kuongea na taifa hata diwani aweza jiibukia tu na kuongea na taifa.
Mfano mtu anayeomba kuteuliwa na CHADEMA kugombea nafasi iwe ya urais au ubunge ki protocol hatakiwi kuongea na taifa anatakiwa ashawishi wajumbe wanaohusika na uteuzi na upigaji kura ndani ya chama chake wamfikirie kumteua.
Lakini li CHADEMA halina protocol kila mtu ana ndevu ndio maana hata Tundu Lissu aweza jiibukia tu na kuhutubia taifa bila ruksa ya mwenyekiti wa Taifa au chama chake.
Tuwe wakweli Mbowe kuendesha chama kinidhamu na ki protocol kumemshinda vinginevyo Lissu asingeibuka kusema nahutubia taifa.
Msingi imara wa chama chochote imara ni nidhamu na kujali protocol ndani ya chama.
Mtu hajateuliwa hata na chama chake kaanza kuhutubia taifa !!!!! kituko cha mwaka 2020.
Nakubaliana na msemo wa Duni Haji alipokuwa akiondoka CHADEMA kuwa CHADEMA kila mtu ana sharubu.
Chama kikiongozwa na walevi na watetea mashoga unategemea nnChama makini huwa na protocol mfano kuengea na taifa nani anatakiwa kuongea. Ni mwenyekiti wa chama taifa.
Lakini CHADEMA hata mbunge aweza ibuka akaita vyombo vya habari kuongea na taifa hata diwani aweza jiibukia tu na kuongea na taifa.
Mfano mtu anayeomba kuteuliwa na CHADEMA kugombea nafasi iwe ya urais au ubunge ki protocol hatakiwi kuongea na taifa anatakiwa ashawishi wajumbe wanaohusika na uteuzi na upigaji kura ndani ya chama chake wamfikirie kumteua.
Lakini li CHADEMA halina protocol kila mtu ana ndevu ndio maana hata Tundu Lissu aweza jiibukia tu na kuhutubia taifa bila ruksa ya mwenyekiti wa Taifa au chama chake.
Tuwe wakweli Mbowe kuendesha chama kinidhamu na ki protocol kumemshinda vinginevyo Lissu asingeibuka kusema nahutubia taifa.
Msingi imara wa chama chochote imara ni nidhamu na kujali protocol ndani ya chama.
Mtu hajateuliwa hata na chama chake kaanza kuhutubia taifa !!!!! kituko cha mwaka 2020.
Nakubaliana na msemo wa Duni Haji alipokuwa akiondoka CHADEMA kuwa CHADEMA kila mtu ana sharubu.
Kila mtu anahaki ya kuongea. Nyie hakuna cha protocal ni kuwa mmefanywa mazombi
Kuhutubia Taifa kwa kiongozi yeyote wa chadema kwa njia yeyote bila ridhaa ya mwenyekiti chadema Taifa Ni utovu was nidhamu na kudharau protocolKuhutubia taifa ni nini?
Nikitangaza kesho nahutubia taifa kupitia Facebook, halafu nikafanya Facebook live, hapo nimehutubia taifa?
Na ukitaka kunikataza kwa kutumia haki yangu hiyo ya kikatiba unaanzaje?
CHADEMA inawezaje kuwakataza watu kutumia haki yao hiyo ya kikatiba, na bado kubaki chama cha demokrasia?
Magufuli anavyosema atawapiga mpaka Shangazi za wapinzani ndiyo anafuata protocol?
wewe unapendekeza nani aongee ccm bhana mpaka upate nakala ya barua aruhusiwe kuongeaChama makini huwa na protocol mfano kuengea na taifa nani anatakiwa kuongea. Ni mwenyekiti wa chama taifa.
Lakini CHADEMA hata mbunge aweza ibuka akaita vyombo vya habari kuongea na taifa hata diwani aweza jiibukia tu na kuongea na taifa.
Mfano mtu anayeomba kuteuliwa na CHADEMA kugombea nafasi iwe ya urais au ubunge ki protocol hatakiwi kuongea na taifa anatakiwa ashawishi wajumbe wanaohusika na uteuzi na upigaji kura ndani ya chama chake wamfikirie kumteua.
Lakini li CHADEMA halina protocol kila mtu ana ndevu ndio maana hata Tundu Lissu aweza jiibukia tu na kuhutubia taifa bila ruksa ya mwenyekiti wa Taifa au chama chake.
Tuwe wakweli Mbowe kuendesha chama kinidhamu na ki protocol kumemshinda vinginevyo Lissu asingeibuka kusema nahutubia taifa.
Msingi imara wa chama chochote imara ni nidhamu na kujali protocol ndani ya chama.
Mtu hajateuliwa hata na chama chake kaanza kuhutubia taifa !!!!! kituko cha mwaka 2020.
Nakubaliana na msemo wa Duni Haji alipokuwa akiondoka CHADEMA kuwa CHADEMA kila mtu ana sharubu.
Wanaokimbia wanasemaje vile ?Chadema ina demokrasia sana,kina Lissu na msingwa wametumia democrasia kujitangaza na hata kuhutubia taifa ni uhuru usidhani mtu anakutupuka tu lazima amewasiliana na uongozi wa juu.
Nye mbona Membe kuonyesha dalili mkamtimua ,halafu mpaka sasa hakuna anayetangaza kuchukua fomu wote mnamwogopa Magu
Hivi unajua maana ya kuhutubia taifaHata wewe uzi wako umeliandikia taifa! Tatizo liko wapi!? Jiandae tu ikifika mida umsikilize Rais mtarajiwa!
We fikiria hadi Mmawia huyu wa hapa jf anaweza kuhutubia taifa kupitia chadema!
Hawa jamaa hawajawahi kuwa serious,