Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Nakuomba endelea kufuatilia
Haijawahi kutokea tangu vyama vingi vianze nchi hii
Haijawahi kutokea tangu vyama vingi vianze nchi hii
Kwahiyo Musiba kiprotokoo ni nani ndani ya ccm?Chama Ni taasisi .Taasisi imara Ina protocols sio kila mtu anajiibukia tu kuhutubia Taifa kwenye chama
Nimekuambia uweke hapa hiyo protocol unayoiongelea, unajibaraguza tu.
Weka kipengele kwa kipengele. Tujadili.Usizushe maneno ya upumbavu wako tu.
Magufuli alivyosema atawapiga mpaka Shangazi wa wapinzani wake alitumia protocol?
😆😀😆We fikiria hadi Mmawia huyu wa hapa jf anaweza kuhutubia taifa kupitia chadema!
Hawa jamaa hawajawahi kuwa serious,
Kwa hiyo huo ubunge anaoutaka, atagombea mgombea binafsi, au sio!?Siyo CCM na alishasema Hana chama
Nimekuuliza, Magufuli alivyosema atawapiga mpaka Shangazi za wapinzani wake alifuata protocol?Alisema anagombea wapi?
Umesahau! CCM hadi Musiba anahutubia taifa
Muulize wewe kada mwenzako.Alisema anagombea wapi?
La maana lingekuwa kumwambia mwwnyekiti wako ile Billcanas aliyoibomoa ilikuwa mali ya umma na hicho ni kitendo cha uhujumu uchumi.Mbowe kuwa mkali kwenye nidhamu ndani ya chadema.Kama unataka kujenga chama imara protocol na nidhamu lazima uisimamie kidete Tundu Lisu asikupelekeshe