Makundi ya Ugombea Urais CHADEMA yaenda kusambaratisha chama

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,900
Reaction score
52,056
Chadema Kuna makundi makubwa mawili ambayo kipindi hiki yataenda sambaratisha chadema.

Kundi la kwanza kundi la vijana wa chadema wa mitandaoni Hawa pesa hawana na kiongozi wao wanampenda Ni Tundu Lisu.

Kundi la pili Ni la matajiri wafanyabiashara wenye pesa ambao ndio injini ya chama bosi wa Hili kundi hasa matajiri wa Kilimanjaro,Arusha na Manyara alikuwa marehemu Ndedamburo. Hawa hawakubali mgombea maskini Hadi Sasa wanamshawishi Mbowe au Nyalandu agombee vinginevyo hawatatoa pesa za kampeni

Kila kundi limejipanga vilivyo kuwa mgombea wao asipoteuliwa litachukua hatua.

Kundi la Lisu linasema asipoteuliwa plan B wameshaiweka tayari ya Tundu Lisu kutimkia ACT wazalendo mazungumzo Kati yake na Zitto Kabwe yameshakamilika. CHADEMA ikitaka kulithibiti Hilo watumie delaying tacts wawasubirie ACT wazalendo watangaze wa kwao kwanza sababu kule wanasubiria maamuzi ya chadema.Namshauri Mbowe a delay Hilo zoezi mpaka last minute kuepuka kusambaratisha chama mapema.

Kundi la matajiri lenyewe liko wazi tu kuwa mgombea wanayemtaka asipopewa sio kesi hawatatoa pesa za kampeni kwa hapa namwachia Mbowe mwenyewe atajijua.
 
Serikali ya CCM inaipa ruzuku Chadema itakuwa na ushauri.Serikali ya CCM ndio inailea chadema kupitia ruzuku na ndio inatunza wabunge na madiwani wa chadema kwa kuwapa mishahara na posho
Je ruzuku ni ya CCM au kodi ya watanzania?
 
Serikali ya CCM inaipa ruzuku Chadema itakuwa na ushauri.Serikali ya CCM ndio inailea chadema kupitia ruzuku na ndio inatunza wabunge na madiwani wa chadema kwa kuwapa mishahara na posho
Mwanzo wa hiyo ruzuku ni nini?
 
Chadema Kuna makundi makubwa mawili ambayo kipindi hiki yataenda sambaratisha chadema.

Kundi la kwanza kundi la vijana wa chadema wa mitandaoni Hawa pesa hawana na kiongozi wao wanampenda Ni Tundu Lisu.

Kundi la pili Ni la matajiri wafanyabiashara wenye pesa ambao ndio injini ya chama bosi wa Hili kundi hasa matajiri wa Kilimanjaro,Arusha na Manyara alikuwa marehemu Ndedamburo. Hawa hawakubali mgombea maskini Hadi Sasa wanamshawishi Mbowe au Nyalandu agombee vinginevyo hawatatoa pesa za kampeni

Kila kundi limejipanga vilivyo kuwa mgombea wao asipoteuliwa litachukua hatua.

Kundi la Lisu linasema asipoteuliwa plan B wameshaiweka tayari ya Tundu Lisu kutimkia ACT wazalendo mazungumzo Kati yake na Zitto Kabwe yameshakamilika. CHADEMA ikitaka kulithibiti Hilo watumie delaying tacts wawasubirie ACT wazalendo watangaze wa kwao kwanza sababu kule wanasubiria maamuzi ya chadema.Namshauri Mbowe a delay Hilo zoezi mpaka last minute kuepuka kusambaratisha chama mapema.

Kundi la matajiri lenyewe liko wazi tu kuwa mgombea wanayemtaka asipopewa sio kesi hawatatoa pesa za kampeni kwa hapa namwachia Mbowe mwenyewe atajijua.
Mkuu, tuwe wakweli tu, inaonyesha huwa unaandika mada dhidi ya CDM huku ukiwa na mgogoro wa nafsi, kwani unajua uandikacho ni uzushi tu. Iponye nafsi yako kwa kubadili ID nyingine (kama huna [emoji41]) ambayo utaitumia kuandika ukweli mtupu na pia itaifanya nafsi yako iwe huru.
 
Chadema Kuna makundi makubwa mawili ambayo kipindi hiki yataenda sambaratisha chadema.

Kundi la kwanza kundi la vijana wa chadema wa mitandaoni Hawa pesa hawana na kiongozi wao wanampenda Ni Tundu Lisu.

Kundi la pili Ni la matajiri wafanyabiashara wenye pesa ambao ndio injini ya chama bosi wa Hili kundi hasa matajiri wa Kilimanjaro,Arusha na Manyara alikuwa marehemu Ndedamburo. Hawa hawakubali mgombea maskini Hadi Sasa wanamshawishi Mbowe au Nyalandu agombee vinginevyo hawatatoa pesa za kampeni

Kila kundi limejipanga vilivyo kuwa mgombea wao asipoteuliwa litachukua hatua.

Kundi la Lisu linasema asipoteuliwa plan B wameshaiweka tayari ya Tundu Lisu kutimkia ACT wazalendo mazungumzo Kati yake na Zitto Kabwe yameshakamilika. CHADEMA ikitaka kulithibiti Hilo watumie delaying tacts wawasubirie ACT wazalendo watangaze wa kwao kwanza sababu kule wanasubiria maamuzi ya chadema.Namshauri Mbowe a delay Hilo zoezi mpaka last minute kuepuka kusambaratisha chama mapema.

Kundi la matajiri lenyewe liko wazi tu kuwa mgombea wanayemtaka asipopewa sio kesi hawatatoa pesa za kampeni kwa hapa namwachia Mbowe mwenyewe atajijua.

Tunashukuru kwa hii propaganda mfu.
 
Hakuna cha makundi, CCM acheni siasa za kihuni mtalighalimu taifa.
 
Siyo wewe na ndugu zako mashetani na wamwaga damu za watu mnahubiri kuwa CHADEMA imeshakufa?Inasambaratikaje wakati mnasema imeshakufa?
 
Chadema Kuna makundi makubwa mawili ambayo kipindi hiki yataenda sambaratisha chadema.

Kundi la kwanza kundi la vijana wa chadema wa mitandaoni Hawa pesa hawana na kiongozi wao wanampenda Ni Tundu Lisu.

Kundi la pili Ni la matajiri wafanyabiashara wenye pesa ambao ndio injini ya chama bosi wa Hili kundi hasa matajiri wa Kilimanjaro,Arusha na Manyara alikuwa marehemu Ndedamburo. Hawa hawakubali mgombea maskini Hadi Sasa wanamshawishi Mbowe au Nyalandu agombee vinginevyo hawatatoa pesa za kampeni

Kila kundi limejipanga vilivyo kuwa mgombea wao asipoteuliwa litachukua hatua.

Kundi la Lisu linasema asipoteuliwa plan B wameshaiweka tayari ya Tundu Lisu kutimkia ACT wazalendo mazungumzo Kati yake na Zitto Kabwe yameshakamilika. CHADEMA ikitaka kulithibiti Hilo watumie delaying tacts wawasubirie ACT wazalendo watangaze wa kwao kwanza sababu kule wanasubiria maamuzi ya chadema.Namshauri Mbowe a delay Hilo zoezi mpaka last minute kuepuka kusambaratisha chama mapema.

Kundi la matajiri lenyewe liko wazi tu kuwa mgombea wanayemtaka asipopewa sio kesi hawatatoa pesa za kampeni kwa hapa namwachia Mbowe mwenyewe atajijua.
Kwahiyo kinachokuuma nini wewe kenge?
 
Huu muda wa kuandika upuuzi unautoa wapi? we dogo
 
Back
Top Bottom