Makundi ya Ugombea Urais CHADEMA yaenda kusambaratisha chama

Mleta mada akilala anaiota Chadema. Kwa kifupi ty Rasilimali ya Chadema ni watu na si DOLA. Penye wengi hapaharibiki neno.
 
Chadema Kuna makundi makubwa mawili ambayo kipindi hiki yataenda sambaratisha chadema.

Kundi la kwanza kundi la vijana wa chadema wa mitandaoni Hawa pesa hawana na kiongozi wao wanampenda Ni Tundu Lisu.

Kundi la pili Ni la matajiri wafanyabiashara wenye pesa ambao ndio injini ya chama bosi wa Hili kundi hasa matajiri wa Kilimanjaro,Arusha na Manyara alikuwa marehemu Ndedamburo. Hawa hawakubali mgombea maskini Hadi Sasa wanamshawishi Mbowe au Nyalandu agombee vinginevyo hawatatoa pesa za kampeni

Kila kundi limejipanga vilivyo kuwa mgombea wao asipoteuliwa litachukua hatua.

Kundi la Lisu linasema asipoteuliwa plan B wameshaiweka tayari ya Tundu Lisu kutimkia ACT wazalendo mazungumzo Kati yake na Zitto Kabwe yameshakamilika. CHADEMA ikitaka kulithibiti Hilo watumie delaying tacts wawasubirie ACT wazalendo watangaze wa kwao kwanza sababu kule wanasubiria maamuzi ya chadema.Namshauri Mbowe a delay Hilo zoezi mpaka last minute kuepuka kusambaratisha chama mapema.

Kundi la matajiri lenyewe liko wazi tu kuwa mgombea wanayemtaka asipopewa sio kesi hawatatoa pesa za kampeni kwa hapa namwachia Mbowe mwenyewe atajijua.
Hivi mbona Ma-CCM mnahangaika sana? Kwa sababu humu ndani mnakesha kuaminisha watu kuwa CHADEMA imekufa huko nje mnawatumia mpaka mawaziri kusema kuwa Chadema imekufa, mfano majuzi tu hapa Waziri wa Mambo ya Ndani amewaambia Watanzania vyama vya Upinzani vimekufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh tangu wewe ukatoa ushauri mwema kwa chadema
Yeye na Wakudadavuwa, Kawe Alumni, USSR, Bia Yetu na Rejao ndio wamegeuka washauri wa wapinzani. What a joke! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Vipi umoja wa CCM unaleta faraja ?
Chadema Kuna makundi makubwa mawili ambayo kipindi hiki yataenda sambaratisha chadema.

Kundi la kwanza kundi la vijana wa chadema wa mitandaoni Hawa pesa hawana na kiongozi wao wanampenda Ni Tundu Lisu.

Kundi la pili Ni la matajiri wafanyabiashara wenye pesa ambao ndio injini ya chama bosi wa Hili kundi hasa matajiri wa Kilimanjaro,Arusha na Manyara alikuwa marehemu Ndedamburo. Hawa hawakubali mgombea maskini Hadi Sasa wanamshawishi Mbowe au Nyalandu agombee vinginevyo hawatatoa pesa za kampeni

Kila kundi limejipanga vilivyo kuwa mgombea wao asipoteuliwa litachukua hatua.

Kundi la Lisu linasema asipoteuliwa plan B wameshaiweka tayari ya Tundu Lisu kutimkia ACT wazalendo mazungumzo Kati yake na Zitto Kabwe yameshakamilika. CHADEMA ikitaka kulithibiti Hilo watumie delaying tacts wawasubirie ACT wazalendo watangaze wa kwao kwanza sababu kule wanasubiria maamuzi ya chadema.Namshauri Mbowe a delay Hilo zoezi mpaka last minute kuepuka kusambaratisha chama mapema.

Kundi la matajiri lenyewe liko wazi tu kuwa mgombea wanayemtaka asipopewa sio kesi hawatatoa pesa za kampeni kwa hapa namwachia Mbowe mwenyewe atajijua.
 
Kwahiyo mchungaji Msigwa yupo yupo tu?......... Hahahaaaa!
Mchungaji Msigwa kapigwa pini hata vikiletwa vitu vyake jamii forums vinakuwa deleted na moderators

Inaelekea wanataka zisikike taarifa za mgombea Tundu Lisu tu hawataki za Msigwa lakini hawamtendei haki kwa chama kinachojiita Cha kidemokrasia inaelekea jamii forums Kuna moderators team Lisu wanamdhibiti Msigwa asiwe hewani na jinsi uthibiti kwake ulivyo mkubwa sidhani Kama hata ubunge Iringa mjini Kama atapitishwa inaonekana Kuna agenda dhidi ya Msigwa kutangaza kugombea uraisi imekuwa nongwa Wanatangaza watu wagombee wakitaka visasi na vinyongo vinaanza

Hili zoezi la ugombea uraisi halitaiacha chadema salama litakikata chama vipande

Sababu Msigwa kanda ya nyanda za juu ana nguvu Sana Tena mno Team Lisu wasidhani watapata kura kirahisi nyanda za juu kusini kwa kumchezea rafu Msigwa watakiona Cha mtema kuni

Chadema wanachezea wababe wa kanda .Kanda ya ziwa wamecheza na Rwakatare na profesa Baregu na wahanga wa MV butiama hawakwepeki hata msibani Hadi mbunge akatimuka kuhamia CCM inakula Kwao.Kanda ya kaskazini wamecheza na Dr Slaa,Lowasa,selasini na Komu na Mbatia ya Pwani wamecheza na profesa Safari na Sumaye , Zanzibar na Pemba wamecheza na Duni Haji na watakiona Cha mtema kuni Sasa wanahamia nyanda za juu kusini kwa Msigwa wasubiri majibu uchaguzi mkuu kila sehemu wamevuruga na kote Kuna Giants

Possibility ya Chadema safari hii kupata kura nyingi Ni finyu mno
 
Labda itasambaratika jamhuri ya watu wa chato
Watu wa chato huwa mnawaonea Sana kwa kuwakashifu bila sababu, muandameni Magufuli siyo wananchi wa chato ambao nao Ni raia na waganga njaa Kama wengi wetu tulivyo.
Inawezekana pia kuna watu toka chato wanaunga mkono upinzani, mnapowatukana na kuwakejeli hamtendi haki.
 
Chadema Kuna makundi makubwa mawili ambayo kipindi hiki yataenda sambaratisha chadema.

Kundi la kwanza kundi la vijana wa chadema wa mitandaoni Hawa pesa hawana na kiongozi wao wanampenda Ni Tundu Lisu.

Kundi la pili Ni la matajiri wafanyabiashara wenye pesa ambao ndio injini ya chama bosi wa Hili kundi hasa matajiri wa Kilimanjaro,Arusha na Manyara alikuwa marehemu Ndedamburo. Hawa hawakubali mgombea maskini Hadi Sasa wanamshawishi Mbowe au Nyalandu agombee vinginevyo hawatatoa pesa za kampeni

Kila kundi limejipanga vilivyo kuwa mgombea wao asipoteuliwa litachukua hatua.

Kundi la Lisu linasema asipoteuliwa plan B wameshaiweka tayari ya Tundu Lisu kutimkia ACT wazalendo mazungumzo Kati yake na Zitto Kabwe yameshakamilika. CHADEMA ikitaka kulithibiti Hilo watumie delaying tacts wawasubirie ACT wazalendo watangaze wa kwao kwanza sababu kule wanasubiria maamuzi ya chadema.Namshauri Mbowe a delay Hilo zoezi mpaka last minute kuepuka kusambaratisha chama mapema.

Kundi la matajiri lenyewe liko wazi tu kuwa mgombea wanayemtaka asipopewa sio kesi hawatatoa pesa za kampeni kwa hapa namwachia Mbowe mwenyewe atajijua.

Ukiona adui yako anakushauri shtuka haraka.
 
Umeshindwa kuangalia makundi ndani ya ccm ,kutwa kucha kuombana misamaha isiyokuwa na kichwa Wala miguu unahangaika na Chadema?
 
Watu wa chato huwa mnawaonea Sana kwa kuwakashifu bila sababu, muandameni Magufuli siyo wananchi wa chato ambao nao Ni raia na waganga njaa Kama wengi wetu tulivyo.
Inawezekana pia kuna watu toka chato wanaunga mkono upinzani, mnapowatukana na kuwakejeli hamtendi haki.
wale sio waganga njaa mkuu.....umeenda chato?
 
Umeshindwa kuangalia makundi ndani ya ccm ,kutwa kucha kuombana misamaha isiyokuwa na kichwa Wala miguu unahangaika na Chadema?
CCM uchaguzi ukifika huwa tunavunja makundi yote linalogoma huwa tunalivunja kwa nguvu Kama la Lowasa lilipogoma lilivunjwa kwa nguvu kwa kukata jina la mgombea .Sasa hivi usishangae kuomba msamaha watu CCM tunajiandaa uchaguzi wa october
 
Acha yawepo ndio demokrasia Lissu atashinda bila tatizo
 
Chanzo cha hio ruzuku ni nini?
Serikali ya CCM inaipa ruzuku Chadema itakuwa na ushauri.Serikali ya CCM ndio inailea chadema kupitia ruzuku na ndio inatunza wabunge na madiwani wa chadema kwa kuwapa mishahara na posho
 
Chadema Kuna makundi makubwa mawili ambayo kipindi hiki yataenda sambaratisha chadema.

Kundi la kwanza kundi la vijana wa chadema wa mitandaoni Hawa pesa hawana na kiongozi wao wanampenda Ni Tundu Lisu.

Kundi la pili Ni la matajiri wafanyabiashara wenye pesa ambao ndio injini ya chama bosi wa Hili kundi hasa matajiri wa Kilimanjaro,Arusha na Manyara alikuwa marehemu Ndedamburo. Hawa hawakubali mgombea maskini Hadi Sasa wanamshawishi Mbowe au Nyalandu agombee vinginevyo hawatatoa pesa za kampeni

Kila kundi limejipanga vilivyo kuwa mgombea wao asipoteuliwa litachukua hatua.

Kundi la Lisu linasema asipoteuliwa plan B wameshaiweka tayari ya Tundu Lisu kutimkia ACT wazalendo mazungumzo Kati yake na Zitto Kabwe yameshakamilika. CHADEMA ikitaka kulithibiti Hilo watumie delaying tacts wawasubirie ACT wazalendo watangaze wa kwao kwanza sababu kule wanasubiria maamuzi ya chadema.Namshauri Mbowe a delay Hilo zoezi mpaka last minute kuepuka kusambaratisha chama mapema.

Kundi la matajiri lenyewe liko wazi tu kuwa mgombea wanayemtaka asipopewa sio kesi hawatatoa pesa za kampeni kwa hapa namwachia Mbowe mwenyewe atajijua.
Chadema walianza na mungu wa kuchora sasa kawageuka
 
Back
Top Bottom