Makundi ya Ugombea Urais CHADEMA yaenda kusambaratisha chama

Makundi ya Ugombea Urais CHADEMA yaenda kusambaratisha chama

Nachoona ule mchezo wakubadili gia angani sasa unaigeuka Chadema. ACT wanaweza kuzuga wakatangaza mgombea mapema alafu Chadema ikamutolea nje Tundu Lissu. ACT wanarudi nyuma na kumuchukua kwani umesahau ile game ya Dr.Slaa na Mzee wetu 2015?
 
Vinafanya kazi kwa mshahara wakati makamanda wanajitolea
Kamanda Mbowe anajitolea? Kalamba shilingi bilioni nane Baada ya kuzitafuna nyie ndio anawataka mjitolee mmmmmmm!!! Kawadanganye wengine
 
Kamanda Mbowe anajitolea? Kalamba shilingi bilioni nane Baada ya kuzitafuna nyie ndio anawataka mjitolee mmmmmmm!!! Kawadanganye wengine
He is remaining innocent until it has been approved.
 
Sidhani kama Msigwa yuko serious na urais wa nchi, he's just joking around to bring some political attention to his constituent.
 
Vinafanya kazi kwa mshahara wakati makamanda wanajitolea
Ruzuku yote mnaila makao Makuu mikoani mnataka wajitolee hata Kodi yunsa ofisi hamlipi zote mnalamba makao Makuu mmmmmmm safari hii hakuna was kujitolea watu wamejitolea Sana ruzuku ikapanda kwenye kula mnakula peke yenu makao Makuu mumegeuza mikoani vibarua wa kujitolea kuwatafutia ruzuku mle peke yenu safari hii hapendwi my toa pesa watu wapige kazi kujitolea mwisho ilikuwa 2015
 
LISU akipitishwa na CHADEMA basi tutegemee CHADEMA kutokuwa na mgombea; kama LISU anataka kweli arudi nyumbani na ashiriki vikao vya uteuzi tofauti na hapo akipitishwa halafu akashindwa kurudi nchini inakuwa imekula upande wa CHADEMA.
 
Back
Top Bottom