Hivi siku hizi zile chaguzi za TLS zipo kweli?
Kulikoni?
Manake kipindi cha Rais Magufuli kuna watu walijitoa fahamu na kujaribu kutuaminisha kwamba chaguzi za hicho chama na Rais wake walikuwa na umuhimu sana kwenye mambo yahusuyo nchi.
Tuliokuwa na utulivu wa hisia tuliwaambia hao watu...