chaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    Mapinduzi Afrika yamefungua ukurasa mpya, chaguzi zetu zimeporwa na wazungu

    Ukiangalia watu wanaliofanya na kushangilia mapinduzi kule Burkina Faso, Mali na Niger ni vijana ambao sanduku la kura limeshindwa kuwapatia viongozi wanaowachagua. Chaguzi zetu zinafadhiliwa na wakoloni wetu wa zamani kwa manufaa yao. Chaguzi zetu ni mwanya wa kupenyeza mamluki kwenye uongozi...
  2. Clark cian

    SoC03 Kilimo cha Azolla kiwe chaguzi la kwanza kwa wakulima na wafugaji nchini

    UFUNGUZI kutokana na teknolojia ya uchanganyaji wa vyakula inavyokua kwa kasi na kutuletea vyakula vyenye uwiano sahihi ,sasa basi kwa namna moja ama nyingine baadhi ya wafugaji wamekuwa wakilazimika kutumia gharama nyingi katika upatikanaji wa vyakula hivyo kwa ajili ya mifugo yao;hivyo...
  3. Tukuza hospitality

    SoC03 Chaguzi za Kisiasa zifanyike Kidigitali (EBS) kuepuka Tuhuma za Wizi wa Kura

    “Electronic Balloting System (EBS)”, ni mfumo wa kupiga kura kidigitali, yaani kwa kutumia vifaa maalum vya tarakilishi. Mfumo wa kutumia tarakilishi katika uchaguzi sii mgeni hapa Tanzania, kwani toka mwaka 2015 Tume ya Uchaguzi nchini ilianza kuutumia kwa kuandikisha na kuhakiki wapiga kura...
  4. JanguKamaJangu

    CHADEMA yasema Haitashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika Kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hawatashiriki kwenye Chaguzi Ndogo za Madiwani katika kata 14 zilizotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzii hii leo Jumatano Juni 14, 2023.
  5. Ironbutterfly

    Nimekumbuka Uchaguzi Mkuu mwaka 2015

    Habari za jumapili wana ukumbi. Katika kumalizia mapumziko ya mwisho wa juma,nimekaa sebulen kwangu,nikakumbuka uchaguzi wa mwaka 2015. Mchakato ulianza na kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura,enzi hizo naishi mbezi Luis, nakumbuka nilikuwa na ujauzito wa miezi kadhaa...
  6. K

    Ni kuandika Katiba Mpya au Kurekebisha Sheria za Chaguzi?

    Kuna ufafanuzi unaohitajika kwa wanaoyaelewa vizuri haya maswala ya Katiba na sheria. Ni matumaini yangu kwamba baada ya uchangiaji wa mada hii wengi wetu ambao hatuna ufahamu vizuri juu ya mambo yahusuyo kazi hii inayokusudiwa kuanza, sote tutakuwa tumepata uelewa wa kutosha, na haitakuwa tena...
  7. B

    Chaguzi za serikali za mitaa ni udanganyifu na uwizi

    Naanza kwa samahani siyo mwandishi mzuri. Cha msingi, ujumbe ufike moja kwa moja kwenye hoja. Nilitaka kushiriki chaguzi za mitaa zilizopita, nikanyimwa kupiga kura kisa sina kadi ya chama. Hivi kila Mtanzania ana chama, hili suala ni lazima. Mbona chaguzi za mbunge, Rais na diwani hazina...
  8. Kamanda Asiyechoka

    Wapinzani tuwe na busara za kisiasa. Mikutano ya kisiasa sio ishu ya maana hata huko USA na Magharibi chaguzi zikiisha siasa zinahamia bungeni.

    Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno? Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali? Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
  9. Allen Kilewella

    Chaguzi za CCM inatajwa CHADEMA

    CHADEMA wapo bize na mambo yao, lakini kwenye chaguzi za CCM zinazoendelea hivi sasa, wagombea lukuki wa CCM wanapoomba kuchaguliwa, hoja yao kubwa ni kuonesha kwamba wao wana uwezo wa kupambana na CHADEMA kuliko wagombea wenzao. Nyie si huwa mnajifanya wazee wa sera. Kwa nini kwenye chaguzi...
  10. T

    Nguvu inayotumika kunyukana kwenye chaguzi za CCM iwaamshe wapinzani wafikirie upya namna ya kufanya siasa

    Inavyoonekana kupata uongozi ndani ya ccm ni jambo la kufa na kupona ndio maana uchaguzi wao una vitimbi na vituko vingi Kwa kiwango cha kufuatiliwa sana na wafuasi na wasiowafuasi. Kilichonitisha ni misuli inayotumika kushinda uchaguzi. Misuli hii inawajengea ccm uzoefu wa kushinda kwa njia...
  11. Sir robby

    Rushwa kwenye chaguzi CCM zinatia kinyaa

    CCM imejikita kwa kutumia makada wake kina Kibajaji, Msukuma, Kigwangala na Kihongosi kumsema na kumtukana balozi Bashiru badala ya kuzijibu hoja zake kwa umakini. Wakati huo huo CCM ipo kwenye uchaguzi wa viongozi wake nchi nzima uchaguzi uliotawaliwa na utoaji wa rushwa wa kutisha kwa...
  12. Sambinyakwe kitololo

    Hizi pesa za chaguzi kwa matumizi haya huwa zinatoka wapi?

    Habari za muda huu watu Nauliza hivi hizi hela za chaguzi huwa zinatoka wapi je Kuna wadhamini au? Mana ukiangalia pesa zinavotumika hupati majibu. Nakumbuka miaka kadhaa nikiwa chuo zile chaguzi za serikali ya chuo sijui rais wa chuo form ilikuwa Kati ya 100k to 200k nadhani alafu mtu anaanza...
  13. Kamanda Asiyechoka

    Rushwa na mizengwe kwenye chaguzi za CCM ni dhahiri kuwa hata kwa chaguzi kuu CCM hupita kwa rushwa

    Chama kilicho safi huwa kinakuwa na taswira nzuri kwenye jamii. Na huwa kinakuwa ndio kielelezo cha namna gani viongozi wanapaswa kupatikana na namna viongozi safi wanatakiwa kuwa. Sasa kama Chama tawala kwenye chaguzi zake viongozi wanapatikana kwa rushwa. Vipi kwenye uchaguzi mkuu?
  14. Idugunde

    Chaguzi za CCM zimegubikwa na rushwa. Ni aibu kwa chama tawala

    Sasa chaguzi zinafutwa hovyo ===== Chama cha Mapinduzi (CCM), kimefuta chaguzi tano za Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) kutokana na kukiuka Katiba, Kanuni na taratibu za uchaguzi. Hayo yamesemwa leo Jumanne Septemba 27, 2022 na Katibu wa Halimashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi...
  15. JanguKamaJangu

    Matokeo ya chaguzi tano za UVCCM yafutwa, Rushwa yatajwa

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka leo Jumanne Septemba 27, 2022 amesema chama hicho kimefuta matokeo ya chaguzi tano za UVCCM pamoja na kusimamisha chaguzi zaidi ya tatu za Jumuiya ya Wanawake, kutokana na ukiukwaji wa maadili, rushwa na upangaji safu za uongozi. Chanzo...
  16. Shujaa Nduna

    Umeme wakati wakati wa kuhesabu kura.

    Leo wilayani ludewa kulikuwa na uchaguzi wa viongozi wa mabaraza ccm na wajumbe wawakilishi.Ajabu umememe ulikatika wakati wa kuhesabu na jenereta halikuwaka wakati wa kuhesabu na wakati wa kutangaza limewaka hii itakuwa mbinu au nini?
  17. Roving Journalist

    Uzinduzi wa Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kisiasa na Chaguzi, Septemba 19, 2022

    Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uholanzi na JamiiForums kinazindua Mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kisiasa na Chaguzi. Bernadetha Kafuko, Mkurugenzi Mtendaji TCD Vijana wetu ni nguzo yetu, tuna wajibu wa kuwaandaa. Kipaji lazima...
  18. R

    Ni nini maana ya huku kususia chaguzi ya vyama vya siasa hususani CHADEMA?

    Habari JF Kumekuwa na Tabia ya kususia Chaguzi kwa baadhi ya Vyama hususani CHADEMA, kwa namna navyoelewa kususa haijawahi kuwa suluhu ya tatizo labda kipindi cha utoto tu napo wazazi walikuwa wanaweza kukupotezea tu. Hivyo nikawaza kwa kina sana nikapata tafsiri zifuatazo zinaweza kuwa sahihi...
  19. Lady Whistledown

    Kenya 2022 Chaguzi zilizoahirishwa Agosti 9 kufanyika leo

    Upigaji kura katika uchaguzi mdogo umeanza baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kusitisha zoezi hilo Agosti 9 kufuatia mkanganyiko wa vifaa vya kupigia kura Uchaguzi wa Ugavana unaendelea Mombasa na Kakamega, wa Wabunge katika Majimbo ya Kitui Vijijini, Kacheliba, Pokot Kusini na...
  20. T

    Nilichokipenda baadaa ya kukisikia Kenya kuhusu Uchaguzi Mkuu 2022

    NILICHOKIPENDA BAADAA YA KUKISIKIA KENYA KUHUSU UCHAGUZI MKUU 2022. Ukweli na uwazi pamoja na matumizi ya teknolojia (mtandao) Duniani kote hakuna siasa safi inayoizidi hile ya ukweli na uwazi, hapa nchi Cambodia tumekuwa waumini wa maneno mazuri kuliko kuyaweka kwenye matendo. Ukweli na uwazi...
Back
Top Bottom