chaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Kenya 2022 Chaguzi zilizoahirishwa kufanyika Agosti 29

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetangaza Agosti 29, 2022 kuwa tarehe mpya ya uchaguzi ulioahirishwa kutokana na sababu tofauti ikiwemo kukosekana kwa majina ya wagombea katika karatasi za Kura Vile vile, Tume hiyo imewaruhusu Wagombea wanaowania nafasi mbali mbali katika maeneo hayo...
  2. GENTAMYCINE

    CCM kama nyie ni wapenda haki, naomba mfute matokeo ya chaguzi zenu zote za mwaka huu kwasababu zimejaa rushwa 100%

    99.9999% ya wote walioshinda, wameshindwa kwa nguvu kubwa ya rushwa(kuhonga) kwa wajumbe na siyo nguvu ya kura za wajumbe makini. Rais Mstaafu Kikwete ameteuliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa kiongozi wa uangalizi wa uchaguzi mkuu nchini Kenya na huku nyumbani mimi GENTAMYCINE niliamua...
  3. Mpwayungu Village

    Kenya 2022 Itachukua miaka 1,000 Tanzania kufikia chaguzi za Kenya kama tutaendelea kuwa hivi

    Jamani kila siku napiga kelele nchi nyingi za Afrika zimeshaelimika mda sana kwenye uhuru wa demokrasia ikiwemo Zambia, Malawi, Kenya, Ghana na South Africa. Inatia sana hasira kuona bongo bado tunapelekwa na CCM wanavyotaka nakutugeuza uchafu ebu oneni wenzetu Kenya mpaka saizi hujui Nani...
  4. GENTAMYCINE

    Mtangazaji Twalibu Muwa Kujitangaza 'On Air' kuwa ameshinda Nafasi ya Uenezi katika Chaguzi za CCM. Inaruhusiwa kimaadili?

    Ni Mtangazaji ambaye ukiwa Unamsikiliza tu utagundua kuwa Kwanza ni Mswahili Mswahili. Ni kwamba jana alipoingia (alipoanza Kipindi cha Michezo) cha Sports Headquarters cha EFM Saa 3 Kamili za Asubuhi alianza na Mbwembwe zake za Kishamba na 'Kujimwambafai' kuwa ameshinda Nafasi ya Uenezi katika...
  5. GENTAMYCINE

    James Rocky Mwakibinga unapenda Siasa, ila Siasa haikutaki na una Nuksi za Chaguzi kila unakoenda

    Kama kawaida yako na Leo umeharibu Uchaguzi wa Umoja wa Vijana Kawe kwa Kuwahonga baadhi ya Watendaji wa CCM Kata ( Hasa Mlevi Dokta Komba ) ili wahakikishe Mpinzani wako Mkuu Mwanamama Nasma hapiti na asiwepo katika Kinyang'anyiro. James Rocky Mwakibinga tokea nikufahamu ( na bahati mbaya au...
  6. Superbug

    Nauliza swali NEC na Polisi kuhusu utekwaji wa wagombea wa upinzani katika chaguzi

    Naomba kuuliza hili swali ambalo huwa silielewi linashuhulikiwa vipi na sheria zetu. UTEKWAJI wa WAGOMBEA wa UPINZANI wanaoonekana Wana nguvu kuliko WAGOMBEA wa chama tawala kwanini wanatekwa na kunyanganywa fomu au hata kupigwa hii inakuwaje? Na hizi kesi zinaishaje? Kwanini wanaotekwa au...
  7. J

    Kunani CCM, mbona Chaguzi za matawi zimepamba moto kiasi hiki? Je, huu sasa ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani?

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Cde Shaka Hamdu Shaka amejumuika pamoja na wanachama wa Tawi la CCM Buyu Pwani, Mkoa wa Magharibi, Wilaya ya Dimani, Ndg Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika uchaguzi wa kuwachagua Mwenyekiti wa shina No 4 na wajumbe wa kamati ya Uongozi...
  8. T

    CCM chukueni hatua zifuatazo kudhibiti chaguzi za marudio

    Awali napenda kumpongeza Ndg. Kinana kwa kazi nzuri anayoifanya ya kukiimarisha chama, ni kazi anayoimudu tangu akiwa katibu mkuu wa CCM. Na zaidi ya yote nampongeza kwa juhudi zake za kusimia HAKI na USAWA wa wanaCCM kuchagua na kuchaguliwa ambao ni msingi imara wa demokrasia makini ndani ya...
  9. M

    Kinachoendelea kwenye chaguzi ndogo za CCM ni dalili kuwa 2025 wasipoiba kura hawatoboi. Kiongozi wa sasa akigombea anaweza asishinde

    Iwepo tume huru kabisa. Wapinzani walinde kura zao na kuhesabu kwa makini. Inaonekana kuna mgawanyiko mkubwa sana ndani ya CCM. Uchaguzi unafanyika lakini wanaCCM ngazi za chini hawaitaki Ccm iliyopo madarakani.
  10. Nyankurungu2020

    WanaCCM wamechukia na hawashiriki chaguzi za ndani za CCM

    WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea. CCM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji. WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM. Hayati JPM hachafuki. WanaCCM wanajua kabisa wanakibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
  11. M

    Je, hizi Sarakasi ninazoziona katika Uchukuaji wa Fomu za Chaguzi ndogo (za awali) za CCM zinaashiria nini kwa 2025?

    Kuna Wagombea wanafichiwa Fomu, kuna Wagombea wanatishwa Wasigombee, kuna Wagombea wanachafuana, kuna Wagombea wanawadharau Wenzao na kuna Wagombea pia wanasema CCM ni yao hivyo Washamba Washamba wasipoteze muda Wao kutaka kuchukua Fomu na Kugombea. CCM kuweni sana Makini na yaliyopo!
  12. B

    Katibu Mkuu wa CCM atoa maagizo wakati huu chaguzi ndani ya chama zikiendelea

    KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAAGIZO WAKATI HUU CHAGUZI NDANI YA CHAMA ZIKIENDELEA. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewaagiza Makatibu wa Wilaya maeneo yaliyobainika kuwa na kasoro ikiwemo baadhi ya watia nia kunyimwa fomu kwenye uchukuaji fomu ngazi ya shina nchi...
  13. Kamanda Asiyechoka

    Katiba mpya kwa sasa hatuhitaji, chaguzi hatushiriki. Sisi tupotupo na haijulikani tunataka nini. Au tunataka michango tu ya wananchi?

    Kama chama kikuu cha upinzani sisi tunahitaji nini kwa sasa? Katiba mpya ingetupatia tume huru na tungeshinda chaguzi kihalali. Chaguzi zikifanyika hatushiriki hii ni kwa sababu tulishasema hatutashiliki chafuzi za wezi wa kura Sasa chama chetu cha Chadema kipokipo tu na hakina muelekeo zaidi...
  14. S

    CCM ya leo na viongozi wake ni uncomfortable kuliko ya Kikwete na ya miaka ya nyuma na wanasumbuliwa na fear of unknown kutokana na chaguzi kuvurugwa

    Iko hivi: Wakati wa Kikwete na Mkapa, CCM waliweza kujipima kupitia chaguzi wanakubalika kwa kiasi gani au wanakaliwa kwa kiasi gani katika maeneo tofauti ya nchi yetu na hivyo kujipanga kutokana na hali halisi inayowakabili kutoka kwa umma. Ni kweli hata wakati wakati wa Kikwete na Mkapa...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Katika uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu ni 'Kupita Bila Kupingwa' kwenye chaguzi chini ya awamu ya 5

    Mimi nikiulizwa nitaje uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu nitataja vihoja vya chaguzi mbili tatu ambazo wagombea kutoka chama cha Mapinduzi (CCM) kupita bila kupingwa. Ule ulikuwa ukichaa kamili uliofanywa na watu wasio vichaa.
  16. kavulata

    Kwanini chaguzi za TFF Kuna kupitia bila kupingwa kwingi?

    Demokrasia lazima ionekane ikitendeka kwenye taasisi zote za umma ikiwemo TFF. Kwanini changuzi za TFF wenyeviti wanapita bila kupingwa kwenye nchi yenye watu zaidi ya elfu 60? Rais wa TFF Bw. Karia kapita bila kupingwa na mwenyekiti wa bodi ya ligi Bw. Mnguto Nasikia nae anapita bila...
  17. Kamanda Asiyechoka

    Chadema Tunasajili wanachama kidijital huku hatushiriki chaguzi ni kama tunapoteza muda

    Tumeshapanga kuwa hatutashiriki uchaguzi wowote ule mpaka tume huru ya uchaguzi ipatikane. Sasa kama tunasajili wanachama kidijital tutajua vipi kama tumefanikiwa au la? Maana ili kujua tuna mafanikio lazima tushiriki chaguzi ili kujua kama tunasapoti ya wapiga kura au hatuna kupitia wanachama...
  18. N

    Watumishi wa Umma wamekuwa wanyonge Namba moja Nchi Hii. Tatizo idadi yao haigeuzi matokeo ya chaguzi

    "Pls ninaomba huu uzi wangu usifutwe au kuunganisha, manake siku hizi JF hamnipendi nyuzi zangu nyingi mnazifreeze! WHY?" Mwaka huu Benki zimeambiwa zipunguze riba kwa kuwaneemesha wakulima (Rais Mama Samia alienena haya akijisahaulisha kabisa kuhusu watumishi wa umma ambao ndiyo wakopaji...
  19. M

    Kwanini Chama cha Mapinduzi chaguzi zake za ndani sifa kuu ya mgombea ni fedha?

    Nilikuwa nafuatilia maadhimisho ya miaka 22 bila baba wa taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye sikuwai kumwona kwa macho nikashangaa sana na sikuelewa kuwa aliyokuwa anayaongea yule Mzee ni yakweli au ulikuwa unafiki wa kisiasa. Kama alikuwa muasisi wa Tanu na CCM na alikemea rushwa na...
  20. John Manoni

    Kwa hukumu ya Sabata naona kivuli cha sababu Za CCM kupora kila chaguzi

    Wakuu,hukumu ya DC aliyesimamishwa ndg.kada Ole Sabaya inatangulia mbele ya uporaji na uvunjaji wa sheria unaofanywa na CCM kwenye uchaguzi. Hata akitoka kwa rufaa au msamaha wa rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM bado makusudi na mpango mahsusi upo palepale. Historia...
Back
Top Bottom