chaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. assadsyria3

    ACT Wazalendo, mnapata wapi nguvu ya kushiriki chaguzi zilizojaa dhuluma?

    Ujinga sio tusi bali kutojua jambo fulani basi huenda ukawa mjinga katika jambo hilo. Sasa wanataka kushiriki uchaguzi Jimbo la konde bila kutupa majibu ya maswali yafuayayo 1) Je, mmeahidiwa kupewa nakala ya fomu za matokeo kwa kituo na wakati wa majumuisho? 2) Je, mnaruhusiwa kuingia na simu...
  2. S

    Tunaweza kuiangusha CCM baada ya kutuzidi kete kwenye Chaguzi?

    Nauliza hili suali ili kupatikane mbinu mbadala za kuiondoa CCM madarakani bila ya kutumia nguvu, mapinduzi au silaha. Kuna haja ya kutafakari suala hili maana hata maandamano nayo ni mtihani.
  3. K

    Hatma ya GNU Zanzibar: Karama itaamua badala ya hekima, Chaguzi ndogo zinafichua dhamira

    Mada inahusika Hili la GNU ni mwiba kwa Watawala. CCM inawakwaza kuitekeleza Katiba inayotaka GNU, huku wakivurugana. Utekelezaji wake unategemea Karama na wala si Lazima. Hekima ni mwiko. Naam. Hii GNu ya Dk Mwinyi mwisho wake unaonekana kwa macho ya karibu. Nia njema au mbaya itaonekana...
  4. M

    Zanzibar 2020 ACT Wazalendo wapewa somo zito, CCM haiko tayari kutenda haki katika chaguzi

    ACT walidhani kuwa maadam wamo katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Zanzibar, basi labda CCM wangeanza kuwatreat fairly. Lakini wakasahau kuwa CCM kimeshakuwa chama cha dhulma, kama kiliwadhulumu mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu n. k kitaendekea kuwadhulumu mpaka itokee nguvu ya...
  5. M

    Utafiti mdogo nilio ufanya juu ya chaguzi za viongozi na uelewa wa wanainchi juu ya haki zao za kikatiba zinavo takiwa kutekelezwa

    Ndugu zangu habalini za wakati huu, poleni na majukum ya kulijenga taifa. Niende moja kwa moja ktk mada tajwa hapo juu Watanzania wengi hususani wa vijijini hawana uelewa wa haki ya kuwawajibisha viongozi wao ktk maswara ya haki zao za kikatiba zinapo shindwa kutekelezwa na viongozi walio...
  6. wankuru nyankuru

    TAMISEMI iwajibishwe kwa kuzua taharuki kuhusu suala la chaguzi za kidato cha tano

    Kutokana na taharuki kuzidi kuendelea hapa nchini kuhusiana na ile issue ya kidato cha tano ni vyema wizara husika ikawajibika kwa hilo. Vile vile ni vyema ikafumuliwa kabisa kama ilivyofanyika kwa NBS, Wizara ya Fedha. Lakini Waziri Ummy inabidi aache tabia ya kuzisemea ofisi za Ma-RC eti...
Back
Top Bottom