Dar es Salaam, Agosti 23, 2023 – Katika Mkutano wa kujadili demokrasia ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Hamad M. Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF na Waziri wa zamani wa Miundombinu na Mawasiliano, amezungumzia hatua zilizofikiwa katika kufanikisha mazingira bora...