Natuamai mko powa.
Toka Rais Samia aapishwe kuna watu wanahisi ni tumaini jipya Tanzania, hotuba hata 5 bado lakini watu wanahisi shida zao zimeisha.
Ni kweli watu wapepata tumaini jipya? Magufuli alianzaje? Tumbua tumbua yake, fukuza fukuza yake, wafanyakazi hewa, vyeti feki, matamko matamu...