Ni kawaida kuwa na hasira lakini usifanye mambo ukiwa na hasira.
Unapoacha kuongea na watu, basi acha kuwaongelea pia, yani unakuta mtu ameamua asiongee na Etugrul Bey lkn cha kushangaza unakuta anamzungumzia huyo legend.
Katu usiruhusu kuvunjiwa heshima yako au kushusha thamani yako ili watu...