Habari ya leo wakuu,
Ninauza dagaa kwaajili ya chakula ya kuku.
Mawasiliano: +255679903535
Napatikana Dar es Salaam
Bei:
Ndoo ndogo 15,000.
Ndoo kubwa 30,000.
Nadhani niliacha historia mbaya na sikurudi tena kwenye ile familia, nimemaliza form six naenda chuo, ikabidi mzee afanye mawasiliano na rafiki yake nipate pakufikia ili kesho yake nikaanze mchakato wa kutafuta hosteli.
Kufika jijini, nikapokewa na Mama mwenye nyumba, Baba alikua bado hajafika...
Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai.
Kuna mihogo ukila baada ya...
NB: Paschal Mayalla naomba utupe fasiri sahihi ya sentesi hii (Revenge is a dish best served Cold)
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha Mashariki ya kati
Spika wa bunge la Lebanon na mshirika mkubwa wa Hezbollah ameichimba mkwara Israel lazima ichezee kichapo kwa tuhuma za mauaji ya Kiongozi...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala elimishi za kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe, swali la leo, hivi sio aibu sana kwa nchi yetu Tanzania kuagiza chakula kama mchele, ngano, sukari na mafuta...
RIPOTI: Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) limesema Robo Tatu ya Idadi ya Watu katika Bara la Afrika hawana uhakika wa kupata Lishe Bora
Kwa mujibu wa Ripoti ya FAO, Takriban Watu 864 duniani hawana uhakika wa Kupata Chakula Bora ambapo Bara la Asia ni Milion 467, Afrika Milioni 316, Marekani...
Habari za kutwa wana JF
Natambua hali ya maisha ni ngumu kwa ujumla, matapeli ni wengi mno, wengine wanajifanya wagonjwa ili tu wapate msaada, nk,
Lakini ukikutana na mtu hakuombi pesa ila anakwambia ana njaa anaomba umnunulie chakula na ukimwangalia kwa jicho la kawaida anamaanisha...
Bahati mimi huwa siamini katika uwepo wa nadharia ya uchawi ila tu Nina nguvu fulani ya maono kujua tafsiri ya kisaikolojia anayopitia mwotaji na maana ya ndoto yake..
Sasa ukiota unajaribu kuondokana na nywele na kuiondoa kwenye chakula au kinywa chako, lakini hukuweza kufanya hivyo, basi hii...
Wanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
Wadau hamjamboni nyote?
Mama yetu Mtakatifu Bikira Maria ndiye Mama wa Bwana wetu Yesu Kristo/Nabii Issa
Ndiye mbarikiwa pekee anayekubalika na Wakiristo.na Waislamu
Ndiye Mbarikiwa pekee aliyekula chakula kilichotoka mbinguni kwa kutolewa na Mungu wetu Mkuu
Ndiye Mbarikiwa pekee aliyezaa...
Mataifa mengi huwa na vyakula vyao vya kipekee ambavyo ni kama sehemu ya utamudini wao kitaifa.
Wako walio na piza, mabaga, taco, shawarma, matoke, githeri, kimchi n.k. Nafikri kwa sisi Tanzania Chipsi mayai ndio chakula cha kipekee kinachotuunganisha kiutamudini Watanzania wote kama taifa na...
Tanzania kama tukiamua kumaliza tatizo la uhaba wa chakula inawezekana ila Kwa kila mikoa yenye vilimo tunapaswa kuzingatia mambo machache yenye kuleta tija na kumaliza tatizo la uhaba wa chakula.
Kuna njia zinaweza kutumika kumaliza kama SI kushawishi Kwa vitendo watu Waka wajibika kulima sana...
UKWELI / UHALISIA..🧘🏿♂️🧘🏾♀️
🎈Ukweli ni ukamilifu usiotegemea umbo Wala Hali Wala sababu katika kujizihilisha kwake..Ukweli ni kuwa hukuwahi kuzaliwa Wala hayo yote ulio nayo hayapo..ila uhalisia ni kuwa ulizaliwa na haya ulio nayo yapo 😀😀.
⚖️Uhalisia ndio unao leta maana katika Maisha...
Nimekuletea faida chache za kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula ni muhimu kuzingatia mida ambayo huwa unapata Milo yako kila siku
Kuywa maji nusu lita kabla ya kula chakula inasaidia kuleta hamu ya kula
Kunywa maji nusu lita kabla ya kula inasaidia kupunguza matatizo tumbo kujaa ya...
Chukua hii nakupa; japo hatupangiani maisha kila mtu anajua jinsi anavyoyaendesha ila kiukweli life ni gumu ndugu zangu na mwaka huu huku mashambani hali sio hali hasa Kwa upande wa zao la mahindi.
Mikoa ambayo sio wazalishaji wakubwa wa chakula tumepata pata ila sio ya kuuza ni kwa ajili ya...
Wanaukumbi.
Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa vita wakipika chakula na kugawa kwa watu wa Gaza ambao wanaishi kwenye mazingira magumu ya vita hasa...
Pole kama hauko sawa, Mungu akufanyie wepesi.
Moja kwa moja kwenye mada
Binafsi nina mchumba wangu namhudumia kila kitu ambacho mwanamke yeyote aliyekamilika ataitaji pamoja na kuwa ni mwajiriwa sekta binafsi.
kiufupi Madem zangu wengine nawatesa kwa kutowazingatia sana kwa sababu ya huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.