Tuna tegemea kuwa na Kiwanda kidogo cha kuzalisha chakula cha mifugo aina mbalimbali, tunahitaji mwenye ujuzi na awe na uzoefu huo kwa kazi husika.
Kwa yeyote mwenye ujuzi huo namkaribisha
Pm
au email; godfreycyp@yahoo.com
Wasalaamu dronedrake Intelligent businessman
Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali
Wapo wale ambao wakati kuandaa chakula tu mara wanajistukia mate yameshuka na hamu ya chakula inakata hapo hapo. Nini kinachosababisha....1. Kukaa mda mrefu bila kula...
Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini, Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo !
Je, kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu?
Hawa ni baadhi tu ya watoto wanaoendelea kufa njaa na kiu mbele ya ulimwengu wakati vyakula vimejaa mpakani mwa Gaza
https://www.aljazeera.com/program/newsfeed/2024/3/27/videos-of-malnourished-children-show-gazas-forced-starvation-crisis
Hili tukio la kusikitisha limetokea huko Paje Mama lishe aliyekuwa amejifungia ndani ya nyumba huku akipika chakula ambacho baadae bodaboda hukichukua na kuwapelekea Wateja ambao hawajafunga wengi wao wakiwa wa imani nyingine amekamatwa na halmashauri baada ya baadhi ya majirani kuchukizwa na...
Hizi tabia za kulazimisha jambo la watu fulani liwe la wote nazichukia sana, Sio wote ila ni wale wanaofunga kwa kushinda njaa, wale wanaofunga kwa imani wala sina shida nao.
Nashangaa nikiweka status za vyakula kuna baadhi ya njemba zinakuja inbox eti huu mwezi mtukufu sio vizuri kupost...
Mchezo wa kukataa mchele kutoka Marekani ni zaidi ya mchezo maarufu wa kombolela unaochezwa na watoto. Mchezo wa kitoto haukeshi. Sote tunafahamu kuwa msaada ni kitu kinachotolewa kwa hisani (goodwill) bila mpokeaji kuhitaji kumpa masharti mtoaji. Taarifa za Bashe (Waziri wa Kilimo) kuukataa...
Wazungu wasingeweza kuleta Chakula Tanzania ikiwa nchi hii inajitosheleza kwa Chakula , wanayo macho na wanaona hali halisi ya Wananchi
Viongozi acheni uongo wa kijinga , okoeni maisha ya wananchi wenu ambao ni wazi mnajua wana dhiki utadhani nchi iko vitani , mnataka kuficha kitu gani na ni...
Serikali imeweka utaratibu wa kuhakikisha huduma muhimu ya chakula na lishe inapatikana kwa Wanafunzi wa elimu ya msingi.
Kulingana na Mwongozo wa Kitaifa wa Utoaji wa Huduma ya Chakula na Lishe kwa Elimumsingi, wazazi na Wadau wanatakiwa kuchangia vitu mbalimbali ikiwemo;
Chakula
Mafuta...
Hii imetokea katika shule ya Sekondari Kilolo iliyopo katika Kijiji cha Luganga, kata ya Mtitu Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa.
Tukio hilo limetokea jana. Wanafunzi 7 wa kiislam waliokuwa wamefunga kwenye mfungo wa Ramadhani wamekumbana na kadhia ya kutapika na kuharisha kunakoelezwa kunatokana...
Tanzania tuna aridhi inayolimika zaidi ya hekta 44,000,000 na hekta 29,000,000 zinazofaa kilimo cha uwagiliaji.
Pia tunapata mvua ya zaidi ya milimita 3,000 ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kulima kwa mwaka mzima.
Hapa chini ni chakula misaada ambacho tumepokea kutoka marekani.
Chini ya...
Shuleni ni mahali ambapo wanafunzi hutumia muda mwingi wa siku yao kuliko sehemu nyingine. Chakula ni miongoni mwa nguzo za msingi katika kuleta ustawi na utulivu wa kimasomo wa mtoto wako.
Muongozi wa wa Taifa wa utoaji Huduma ya Chakula na Lishe kwa Wanafunzi wa Elimumsingi unaeleza kuwa...
Israel inakusudia kutumia Wapalestina kulinda chakula cha misaada maana HAMAS huiba sana hicho chakula, sasa hao HAMAS wamesema ole wao Wapalestina watakaothubutu.....
Hamas-linked website warns Palestinian individuals or groups against cooperating with Israel to provide security for aid...
Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka.
wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
Mashirika kadhaa ya misaada na wanasiasa wamezibeza juhudi za Marekani na ufalme wa Jordan za kudondosha vyakula kwenye jimbo la Gaza kama ni mchezo usiopendeza kipindi hiki watu wanakufa njaa jimboni humo.
Seneta wa Marekani,Jeff Merkley ameuambia utawala wa raisi Biden ikiwa kweli wamekusudia...
Kama kawaida yao, ukishazoea kuua utaendelea kuua tu.
Wale wanaoitwa Taifa teule wameendelea na kazi yao ya kufanya wanachoweza kwa ufanisi mkubwa. Leo wameua wapalestina masikini 100, wasio na silaha, ambao wana njaa wakati wakisubiri msaada wa chakula. Wanajeshi wa Israel limefyatulia kundi...
Habari ndugu wazazi wenzangu!
Jana nilifanikiwa kuhudhuria kikao cha wazazi pale ugindoni primary iliyopi kigamboni!
Kikao kiliitishwa na maafisa wafuatao kutoka manispaa;
1. Afisa Maendeleo ya Jamii
2. Afisa Lishe
3. Afisa mmoja kutoka ofisi ya takukuru (w)
Walitueleza vyema umhimu wa...
Wakuu kwema?
Shuleni ni sehemu ambako watoto (walioanza kwenda shule) wanatumia muda mwingi kuliko nyumbani. Mbali na masomo, chakula ni kitu muhimu pia ambacho kina nafasi kubwa katika ukuaji wa mtoto.
Sasa je, unajua sehemu anapopata chakula mtoto wako ina hali gani?
Kuna shule ukiona...
Hawa Wapalestina akili zitawaingia tu na kujua haya magaidi ya dini hayasaidii kitu zaidi ya kuwasababishia matatizo zaidi, na hamna anayekuja kuwaokoa, ndugu zao katika dini yaani waarabu wanaongea na kutoa matamko kisha wanarudi ndani kwenye shughuli zao za kujenga mataifa yao.
Hata waswahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.