Inabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.Hii ni aibu kwa dunia na unyama uliopitiliza mipaka.
View attachment 3421299
View attachment 3421303
Yana mwisho kweli na hauko mbali sana.Inabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.
Na hapo ndio nawachukia wazungu sababu ya unafiki wao,
Wazungu wakiona race (jamii) inayopata matatizo sio wajamii yao huwa wanafunga macho kama hawaoni.
Hao waarabu kinachowatesa ni hiyo ardhi waliopo ambayo shetani ana kazi nayo kwa ajili ya kutimiza mipango yake ya kishetani.
Hao kina netanyahu ni vibaraka wanaotumika tu na viongozi wa kishetani waliojificha Marekani, uingereza , Vatican n.k
Urusi na Ukraine wanapigana vita ila wamemuwekea Urusi vikwazo kibao sababu Wana maslahi na Ukraine, kwa upande wa Israel anaeua kinamama na watoto wasio na hatia ila Israel ajawekewa kikwazo hata kimoja sababu wanamipango ya kishetani na ardhi wanayokalia wapalestina.
Ila haya mambo yana mwisho sababu Mwenyezi Mungu yupo na sio mnafiki.
Dunia kuna muda haina huruma na watu wanaotumia mihemko. Shibe iliwalevya wakaenda kuua wayahudi bila huruma na haya ndo majibu yake.Hii ni aibu kwa dunia na unyama uliopitiliza mipaka.
View attachment 3421299
View attachment 3421303
Ukianzisha matatizo jua namna ya kuyamaliza. Hamas walitegemea kelele za Al Jazeera zitawazuia wyahudi kulipa kisasi.Inabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.
Na hapo ndio nawachukia wazungu sababu ya unafiki wao,
Wazungu wakiona race (jamii) inayopata matatizo sio wajamii yao huwa wanafunga macho kama hawaoni.
Hao waarabu kinachowatesa ni hiyo ardhi waliopo ambayo shetani ana kazi nayo kwa ajili ya kutimiza mipango yake ya kishetani.
Hao kina netanyahu ni vibaraka wanaotumika tu na viongozi wa kishetani waliojificha Marekani, uingereza , Vatican n.k
Urusi na Ukraine wanapigana vita ila wamemuwekea Urusi vikwazo kibao sababu Wana maslahi na Ukraine, kwa upande wa Israel anaeua kinamama na watoto wasio na hatia ila Israel ajawekewa kikwazo hata kimoja sababu wanamipango ya kishetani na ardhi wanayokalia wapalestina.
Ila haya mambo yana mwisho sababu Mwenyezi Mungu yupo na sio mnafiki.
Wachague adui wanayemmuduLicha ya hayo. Watu hawapo tayari kuachana na Wakombozi waitwao Hamas. Hamas ni ideology ya kupigana dhidi ya mkoloni kutoka Ulaya Urusi nk anayezidi kujimilikisha ardhi ya wapalestina kuwa Yao. Watu wanapenda kufa kuliko kuishi! Keep it up
Vatican hawana uhusika wowote negative ila negative.Inabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.
Na hapo ndio nawachukia wazungu sababu ya unafiki wao,
Wazungu wakiona race (jamii) inayopata matatizo sio wajamii yao huwa wanafunga macho kama hawaoni.
Hao waarabu kinachowatesa ni hiyo ardhi waliopo ambayo shetani ana kazi nayo kwa ajili ya kutimiza mipango yake ya kishetani.
Hao kina netanyahu ni vibaraka wanaotumika tu na viongozi wa kishetani waliojificha Marekani, uingereza , Vatican n.k
Urusi na Ukraine wanapigana vita ila wamemuwekea Urusi vikwazo kibao sababu Wana maslahi na Ukraine, kwa upande wa Israel anaeua kinamama na watoto wasio na hatia ila Israel ajawekewa kikwazo hata kimoja sababu wanamipango ya kishetani na ardhi wanayokalia wapalestina.
Ila haya mambo yana mwisho sababu Mwenyezi Mungu yupo na sio mnafiki.
October 7 walifanya shereheMtoto kalilia wembe
Kauta kautaa
Mtoto kautaka
#october7
HakikaYana mwisho kweli na hauko mbali sana.
Netanyahu na Trump wanaweza wakaondoka wakawawacha Hamas pale pale.
Naunga mkono hoja. Nawashangaa wakristo ambao wanaitetea israel kwa nguvu zote pasina kuangalia haki za kibinadamyInabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.
Na hapo ndio nawachukia wazungu sababu ya unafiki wao,
Wazungu wakiona race (jamii) inayopata matatizo sio wajamii yao huwa wanafunga macho kama hawaoni.
Hao waarabu kinachowatesa ni hiyo ardhi waliopo ambayo shetani ana kazi nayo kwa ajili ya kutimiza mipango yake ya kishetani.
Hao kina netanyahu ni vibaraka wanaotumika tu na viongozi wa kishetani waliojificha Marekani, uingereza , Vatican n.k
Urusi na Ukraine wanapigana vita ila wamemuwekea Urusi vikwazo kibao sababu Wana maslahi na Ukraine, kwa upande wa Israel anaeua kinamama na watoto wasio na hatia ila Israel ajawekewa kikwazo hata kimoja sababu wanamipango ya kishetani na ardhi wanayokalia wapalestina.
Ila haya mambo yana mwisho sababu Mwenyezi Mungu yupo na sio mnafiki.
What if ni mipango ya Mungu mkuuInabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.
Na hapo ndio nawachukia wazungu sababu ya unafiki wao,
Wazungu wakiona race (jamii) inayopata matatizo sio wajamii yao huwa wanafunga macho kama hawaoni.
Hao waarabu kinachowatesa ni hiyo ardhi waliopo ambayo shetani ana kazi nayo kwa ajili ya kutimiza mipango yake ya kishetani.
Hao kina netanyahu ni vibaraka wanaotumika tu na viongozi wa kishetani waliojificha Marekani, uingereza , Vatican n.k
Urusi na Ukraine wanapigana vita ila wamemuwekea Urusi vikwazo kibao sababu Wana maslahi na Ukraine, kwa upande wa Israel anaeua kinamama na watoto wasio na hatia ila Israel ajawekewa kikwazo hata kimoja sababu wanamipango ya kishetani na ardhi wanayokalia wapalestina.
Ila haya mambo yana mwisho sababu Mwenyezi Mungu yupo na sio mnafiki.
Baada ya kukaliwa na wakoloni wa Israel kwa miaka zaidi ya 60, kutafuta ukombozi wao ndio makosa? Kwamba Nyerere kumpiga Idd Amin ilikua ni makosa au Mkwawa kupambana na wajerumanu ilikua ni makosa?Haya ni malipo ya walichokifanya Hamas
Kaanzisha tatizo gani? Kupinga ukoloni ni Tatizo? Au ulitaka wakaliwe kimabavu hadi lini. Mbona sisi tulimfukuza Idd Amin kule kagera?Ukianzisha matatizo jua namna ya kuyamaliza. Hamas walitegemea kelele za Al Jazeera zitawazuia wyahudi kulipa kisasi.
Kwahiyo Ukraine nao wanakosea kujilinda dhidi ya Russia? Sababu hawammudu?Wachague adui wanayemmudu
Unaletaga stori nyingi zisizo na maana. Haya ndo madhara ya kukaririshwa vitu na kuamini watu bila kuchambua mawazo yao.Baada ya kukaliwa na wakoloni wa Israel kwa miaka zaidi ya 60, kutafuta ukombozi wao ndio makosa? Kwamba Nyerere kumpiga Idd Amin ilikua ni makosa au Mkwawa kupambana na wajerumanu ilikua ni makosa?
Mlitaka Hamas wafanyeje, wakubali tu kukaliwa kimabavu milele? Wakitaka kujikomboa mnasema "wameyataka wenyewe, acha wapigwe".
Basi tusisikie kelele za Ukraine tena muache Putin ajipigie anavyotaka maana mnatufundisha kuwa "ukibakwa usipige kelele ila sikilizia maumivu kimya kimya"