zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Wapo mbona Netanyahu ameua wapalestina wasio na hatia na bado anakula bata tu.Sema yote uliyokariri ila hakuna anayekufa na deni la mtu hususan ubaya
George Bush kaua wangapi Iraq tena kwa kusingizia uongo kuwa wana silaha za maangamizi ila mbona anazidi kunenepa tu. Same to Obama kaua wangapi Libya, alikiri alifanya mistake ila bado anadunda tu.
Labda useme "hakuna anayekufa na deni la mmarekani" maana yake ukifanya ujinga ila ukawa rafiki wa USA we ni malaika. Ona Syria, kiongozi wao ni gaidi tena ni tawi la Al qaeda kwa Syria cha ajabu Trump kamwagia sifa na kamuondolea vikwazo ila huyo huyo Al qaeda akipewa support na Iran mnasema Iran anafadhili ugaidi.
Acheni unafiki