Watu na heshima zao wadhalilishwa kwa chakula kiasi hiki ambacho kipo karibu yao

Watu na heshima zao wadhalilishwa kwa chakula kiasi hiki ambacho kipo karibu yao

Dunia kuna muda haina huruma na watu wanaotumia mihemko. Shibe iliwalevya wakaenda kuua wayahudi bila huruma na haya ndo majibu yake.

Kinachoendelea Gaza kitukumbushe kwamba kila ubaya una malipo yake. Haya ni malipo ya walichokifanya Hamas japo dunia imesahau.

Wasivyo na huruma wameendelea kuwacha ndugu zao wateseke wakati asilimia karibu 70 ya viongozi wa kisiasa wa Hamas wakiwa nje ya Gaza. Dunia imepigwa upofu na kelele zimekuwa upande mmoja wakisahau aliyeanzisha.
KARMA IS BITCH
Sasa wewe panya hizo chokochoko za juzi ndo unaweka conclusion.....hii vipi ni yamilongo uko miaka na miaka....unajua nani alianza na kwanini...!!?
 
Punguza udini mdogo wangu ukizingatia tumeletewa mbona huzungumzii CONGO, SUDANI ndugu zetu wanakufa wewe kila thread ni kusifia Wafia dini lini utabadilika
Umechanganya file, sihusiki na hii comment yako
 
Punguza udini mdogo wangu ukizingatia tumeletewa mbona huzungumzii CONGO, SUDANI ndugu zetu wanakufa wewe kila thread ni kusifia Wafia dini lini utabadilika
Umechanganya file, sihusiki na hii comment yako
 
Ni ajabu sana ki utu kufurahia maswala ya wanaoathiriia kwa vita , hasa wanawake na watoto. Sio utimamu.
 
Hili suala la vita ya gaza ni jambo lisilo na suluhisho kwenye baraza la kimataifa.
Maana wanaoamin israel ni wamiliki wanatumia reference ya kitabu cha dini.
Wanaowahurumia wapelestina na kudai gaza ni mali yao nao wanawahurumia kama ndugu zao ktk imani.
Kwahyo hii ngoma ni ngum kumeza. Ni sawa vita ya kikabila.
Webgi wanaowahurumia wapelestina wanafurahia kufa kwa waisrael sasa kwahyo hapo ni suala nani mwenye nguvu.
 
Inabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.
Na hapo ndio nawachukia wazungu sababu ya unafiki wao,
Wazungu wakiona race (jamii) inayopata matatizo sio wajamii yao huwa wanafunga macho kama hawaoni.
Hao waarabu kinachowatesa ni hiyo ardhi waliopo ambayo shetani ana kazi nayo kwa ajili ya kutimiza mipango yake ya kishetani.
Hao kina netanyahu ni vibaraka wanaotumika tu na viongozi wa kishetani waliojificha Marekani, uingereza , Vatican n.k

Urusi na Ukraine wanapigana vita ila wamemuwekea Urusi vikwazo kibao sababu Wana maslahi na Ukraine, kwa upande wa Israel anaeua kinamama na watoto wasio na hatia ila Israel ajawekewa kikwazo hata kimoja sababu wanamipango ya kishetani na ardhi wanayokalia wapalestina.
Ila haya mambo yana mwisho sababu Mwenyezi Mungu yupo na sio mnafiki.
Watu wa Hamas ni Wajinga Wajinga kama wewe, ndo maana vita haishi.
 
Sijui Bado anatafutwa Hamas ama Nini. Nadhani Israel angeendelea kufanya msako wa kuwatafuta Hamas na si kuendelea kuua watoto ambao Hadi Sasa ni zaidi ya 50,000 waliokufa, watoto 50,000 hawahusiki na vita ya Hamas na Israel, ukisema magaidi yanajificha Kwa raia lazima uje na mbinu mbadala ya kudeal nao na si kupiga piga ambapo unauwa watu zaidi ya maelfu na hata gaidi unaweza usimpate Kwa style hii.

Kwa jinsi ninavyoona huku tunapokwenda vitazuka vita vingi sana.
 
Wapalestina waliopo west bank siwaoni hata kuandamana wala kulalamika kuhusu uovu wanaofanyiwa ndugu zao wa gaza lakini wapalestina wa tandale au buza kila siku kucha wanalalamila
 
Ni ajabu sana ki utu kufurahia maswala ya wanaoathiriia kwa vita , hasa wanawake na watoto. Sio utimamu.
Utapataje ujasili WA kulala na mke wako na kumpa mimba wakati Kuna msiba katika taifa teule? Ni dhalau
 
Ukraine waliivamia Russia na kuua raia kabla ya kuvamiwa?
Ndio Russia iliteka maeneo mnamo 2014 kama Crimea etc na ikaendelea kuyakalia maeneo mapya 2022 kama Donbass etc. Hivyo Ukraine imewahi na inaendelea kushambulia majimbo hayo ili kuwatoa warusi na hili linaungwa mkono na West ikiwemo na Israel!!

Tukirudi palestina, lile eneo walilovamia Hamas ni sehemu ya ardhi ya palestina iliyokaliwa na Israel tokea 1948 sasa Hamas kuvamia eneo lao kulikomboa ni kosa?

Kwahiyo kama Ukraine inayataka maeneo yaliyokaliwa kimabavu na Urusi na mnaona ni HALALI inakuaje Hamas kutaka maeneo yanayokaliwa kimabavu na Israel ni kosa??

Tuanzie hapo kwanza
 
Ukitenda ubaya subiria malipo, haya ni malipo kwa ubaya aliyofanya Hamas wakati raia wanaoteseka sasa wakishangilia.
Ubaya ni upi kujikomboa au yule anayekukalia kimabavu? Mfano Putin alikalia kimabavu Crimea je kitendo cha Ukraine kulipua lile daraja na kuua watu ni ubaya au ilikua justified?

Cha ajabu wanachofanya Ukraine kule crimea, donbass na mahali pengine ni halali ila wakifanya Hamas mnasema wametenda ubaya?

Huu unafiki ndio naoupinga hapa, kama Hamas kakosea kudai ardhi yake basi Ukraine naye kakosea.

Ukitaka kujua ulivyo muogo ona westbank kule hakuna Hamas na hakuna vita ila wapalestina wangapi wanauwawa kila siku na kuporwa ardhi na walowezi wa kiyahudi?? Kama Hamas ndio walizingua Gaza vipi westbank kosa lao ni nini na hawajapigana na Israel?
 
wakati raia wanaoteseka sasa wakishangilia.
Nani alishangilia? Nakumbuka humu mliwahi sema sijui wazungu wana support ushoga mbona Trump alipinga ushoga na kushinda urais? Maana yake ni kwamba msipende mambo ya jumla jumla tu kwamba "walishangilia".

Kumbuka hamas ni chama cha siasa kama kilivyo CCM au ACT kwahiyo nao wana wapiga kura wao hao ndoo walioshangilia. Kuna vyama vingine na wasio na chama hao hawakushangilia maana hawapendezwi sio tu na Hamas ila radicalism.

Ni sawa na Al shabaab walipue bomu hapa Dar, alafu JWTZ ilipue mahospitali na mashule huko Mogadishu kwa kisingizio kuwa "walishangilia" bila kuwa serious na kuangalia mambo kwa picha kubwa.

Embu jitahidi ujue vizuri taarifa za middle east na geopolitics.
 
Back
Top Bottom