Watu na heshima zao wadhalilishwa kwa chakula kiasi hiki ambacho kipo karibu yao

Mtoto kalilia wembe
Kauta kautaa
Mtoto kautaka
#october7
Kwahiyo Hamas ikivamia basi wamama na watoto wa Gaza ndio waliutaka wembe? Kama ni hivyo basi kuna haja gani ya serikali ya Congo kupigana na waasi wa M 23 si waende tu mashariki ya kongo waue wamama na watoto wote maana nao "wameutaka wembe".

Poor reasoning
 
Unaletaga stori nyingi zisizo na maana. Haya ndo madhara ya kukaririshwa vitu na kuamini watu bila kuchambua mawazo yao.
Pole sana kwako na kwa watu wa Gaza.
Ila kumbukeni mihemko haijawahi kumuacha mtu/jamii salama.
Hapana nashangaa unafiki wenu, yaani Idd Amin kuvamia Tanzania mlienda kumtoa mkaita ushujaa ila Palestina kukaliwa kimabavu na wayahudi ni halali na wakijikomboa basi wao wapalestina ndio wachokozi?

Ila Ukraine kukaliwa kimabavu na Russia ni kosa na wakijikomboa ni halali. Hii dunia imejaa unafiki sana.
 
Hakuna unfiki ila wewe ndo umekariri na hujui kuangalia context. Kulinganisha wapelestina na vita ya Ukraine inaonesha ni kwa kiasi gani ulivyokariri na akili yako imeegemea sehemu moja.
Ukraine waliivamia Russia na kuua raia kabla ya kuvamiwa?
Ukitenda ubaya subiria malipo, haya ni malipo kwa ubaya aliyofanya Hamas wakati raia wanaoteseka sasa wakishangilia.

Sema yote uliyokariri ila hakuna anayekufa na deni la mtu hususan ubaya, viongozi wengi wa Hamas walishalipia na Raia wanalipia sasa kwa kushangilia mateso waliyowapata wayahudi mwaka 2023.
Dunia hainaga huruma na ukatili wa kimihemko
 
Kwahiyo Hamas ikivamia basi wamama na watoto wa Gaza ndio waliutaka wembe? Kama ni hivyo basi kuna haja gani ya serikali ya Congo kupigana na waasi wa M 23 si waende tu mashariki ya kongo waue wamama na watoto wote maana nao "wameutaka wembe".

Poor reasoning
Ww mwenye greater reasoning ume achieve nini kwenye machafuko ya October 7?
 
Inabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.
Na hapo ndio nawachukia wazungu sababu ya unafiki wao,
Wazungu wakiona race (jamii) inayopata matatizo sio wajamii yao huwa wanafunga macho kama hawaoni.
Hao waarabu kinachowatesa ni hiyo ardhi waliopo ambayo shetani ana kazi nayo kwa ajili ya kutimiza mipango yake ya kishetani.
Hao kina netanyahu ni vibaraka wanaotumika tu na viongozi wa kishetani waliojificha Marekani, uingereza , Vatican n.k

Urusi na Ukraine wanapigana vita ila wamemuwekea Urusi vikwazo kibao sababu Wana maslahi na Ukraine, kwa upande wa Israel anaeua kinamama na watoto wasio na hatia ila Israel ajawekewa kikwazo hata kimoja sababu wanamipango ya kishetani na ardhi wanayokalia wapalestina.
Ila haya mambo yana mwisho sababu Mwenyezi Mungu yupo na sio mnafiki.
Ningeshangaa Kobaz usiitaje Vatican, hebu niambie mchango wa Vatican kwenye hayo machafuko. Una chuki mpaka unashindwa kutumia akili![emoji706]
Na Sudan na Somalia ni Vatican? Popote alipo Kobaz Amani haipo!
 
Licha ya hayo. Watu hawapo tayari kuachana na Wakombozi waitwao Hamas. Hamas ni ideology ya kupigana dhidi ya mkoloni kutoka Ulaya Urusi nk anayezidi kujimilikisha ardhi ya wapalestina kuwa Yao. Watu wanapenda kufa kuliko kuishi! Keep it up
Vitabu vyenu (vijarida) vimewataja Wayahudi kama wakaazi wa eneo hilo. Kuondoka kwao kukafanya mabwana zenu wa kiarabu wajimilikishe ardhi na hilo hali halalishi uwepo wao hapo. Wenye ardhi yao wamerudi na wameishika vema ardhi yao. Alafu hili ni matokeo ya ugaid waliofanya Hamas kuua kinyama raia wa Israel wasio na hatia so tulieni na muendelee kushangilia kama kipindi kile. Tuliwaambia tusisikie milio.
 
Sherehe kubwa zitafuatia utakapowaona Trump na Netanyahu wakiondoka madarakani na aibu zao wakiwawacha Hamas ndio watawala wa Gaza.
Kwani kuna mtu anaitaka Gaza!? Kinachofanyika ni kuwatia adabu wasirudie tena upumbavu wa october 7. Alafu si nyie mlisherehekea na kukata mauno siku ile humu jf? Milio ya nini sasa?
 
Naunga mkono hoja. Nawashangaa wakristo ambao wanaitetea israel kwa nguvu zote pasina kuangalia haki za kibinadamy
Hizo haki za kibinadamy hamkuziona ile october 7 mlipokuwa mnasherehekea na kukata mauno ya uzazi? Tuliwaambia Nyau siyo wa kuchezewa mtajuta, now milio ya Kobazi kila kona!
 
Baada ya kukaliwa na wakoloni wa Israel kwa miaka zaidi ya 60, kutafuta ukombozi wao ndio makosa? Kwamba Nyerere kumpiga Idd Amin ilikua ni makosa au Mkwawa kupambana na wajerumanu ilikua ni makosa?

Mlitaka Hamas wafanyeje, wakubali tu kukaliwa kimabavu milele? Wakitaka kujikomboa mnasema "wameyataka wenyewe, acha wapigwe".

Basi tusisikie kelele za Ukraine tena muache Putin ajipigie anavyotaka maana mnatufundisha kuwa "ukibakwa usipige kelele ila sikilizia maumivu kimya kimya"
Hawajakaliwa kimabavu, kitabu chao kitakatifu chenyewe kinawatambua Waisrael kuwa wakazi/wamiliki wa radhi hiyo.
Leo nikijenga nyumba nikaitelekeza haikupi haki ya kuhamia na kuichukua maana kuna siku nitarudi...ndo kilichotokea kwa Israel, wamerudi kwenye ardhi yao ya asili so tulieni dawa uwaingie
 
Hapana nashangaa unafiki wenu, yaani Idd Amin kuvamia Tanzania mlienda kumtoa mkaita ushujaa ila Palestina kukaliwa kimabavu na wayahudi ni halali na wakijikomboa basi wao wapalestina ndio wachokozi?

Ila Ukraine kukaliwa kimabavu na Russia ni kosa na wakijikomboa ni halali. Hii dunia imejaa unafiki sana.
Unalinganisha kesi mbili tofauti kabisa!
Israel hawajamvamia mtu, ile ni ardhi yao na hata jarida lenu linawatambua kama wamiliki wa ardhi ile...niambie wale Wayahudi wanaozungumzwa kwenye quran wako wapi? Mtu kuacha nyumba/ardhi yake akaenda kujitafuta kwingine haikupi haki ya kuhamia na kujimilikisha
 
Vita Ni Mbaya Sana
Watawamaliza Watu Duniani
Halafu Ulimwengu Wataishi Nani
 
Inabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.
Na hapo ndio nawachukia wazungu sababu ya unafiki wao,
Wazungu wakiona race (jamii) inayopata matatizo sio wajamii yao huwa wanafunga macho kama hawaoni.
Hao waarabu kinachowatesa ni hiyo ardhi waliopo ambayo shetani ana kazi nayo kwa ajili ya kutimiza mipango yake ya kishetani.
Hao kina netanyahu ni vibaraka wanaotumika tu na viongozi wa kishetani waliojificha Marekani, uingereza , Vatican n.k

Urusi na Ukraine wanapigana vita ila wamemuwekea Urusi vikwazo kibao sababu Wana maslahi na Ukraine, kwa upande wa Israel anaeua kinamama na watoto wasio na hatia ila Israel ajawekewa kikwazo hata kimoja sababu wanamipango ya kishetani na ardhi wanayokalia wapalestina.
Ila haya mambo yana mwisho sababu Mwenyezi Mungu yupo na sio mnafiki.
Kobazi ni watu hatari kwa dunia
 
Vita Ni Mbaya Sana
Watawamaliza Watu Duniani
Halafu Ulimwengu Wataishi Nani
Watu gani hao unaowazungumzia?
Nje ya mada: tuwaombee waislam wenzetu wanaopigana wenyewe jwa wenyewe bila kuchonganishwa na mzungu huko Sudan, Somalia, Libya, Yemen n.k
 
Tuwaombee waislam wenzetu wanaopigana wenyewe kwa wenyewe bila kuchonganishwa na mzungu huko Sudan, Somalia, Libya, Yemen n.k
 
Hawa si ndo HAMAS? Makundi ya kigaidi yanastahili zaidi ya hapo. Watuulia vijana wetu wasio na hatia, tena yule mmoja aliomba kabisa asamehewe aachiwe ila wakamuua kwa unyama sana.

Israel tusaidieni kudondosha kipande cha NUCLEAR hapo ili kufuta kabisa hao wahuni.
 
Inabidi tuwe wapole tu ndugu, kinachofanyika hapo Gaza ni zaidi ya ushetani.
Na hapo ndio nawachukia wazungu sababu ya unafiki wao,
Wazungu wakiona race (jamii) inayopata matatizo sio wajamii yao huwa wanafunga macho kama hawaoni.
Hao waarabu kinachowatesa ni hiyo ardhi waliopo ambayo shetani ana kazi nayo kwa ajili ya kutimiza mipango yake ya kishetani.
Hao kina netanyahu ni vibaraka wanaotumika tu na viongozi wa kishetani waliojificha Marekani, uingereza , Vatican n.k

Urusi na Ukraine wanapigana vita ila wamemuwekea Urusi vikwazo kibao sababu Wana maslahi na Ukraine, kwa upande wa Israel anaeua kinamama na watoto wasio na hatia ila Israel ajawekewa kikwazo hata kimoja sababu wanamipango ya kishetani na ardhi wanayokalia wapalestina.
Ila haya mambo yana mwisho sababu Mwenyezi Mungu yupo na sio mnafiki.
Punguza udini mdogo wangu ukizingatia tumeletewa mbona huzungumzii CONGO, SUDANI ndugu zetu wanakufa wewe kila thread ni kusifia Wafia dini lini utabadilika
 
Vitabu vyenu (vijarida) vimewataja Wayahudi kama wakaazi wa eneo hilo. Kuondoka kwao kukafanya mabwana zenu wa kiarabu wajimilikishe ardhi na hilo hali halalishi uwepo wao hapo. Wenye ardhi yao wamerudi na wameishika vema ardhi yao. Alafu hili ni matokeo ya ugaid waliofanya Hamas kuua kinyama raia wa Israel wasio na hatia so tulieni na muendelee kushangilia kama kipindi kile. Tuliwaambia tusisikie milio.
Mkuu ninyi ni akina nani? Na sisi ni akina nani?
Nb nijibu Hilo la sisi(Mimi) ni mkatoliki wa kawaida . Nipo huku Kiraracha nyumbani. Kwasababu ya ubinadamu na uhalisia nafikiri ingekuwa sawa kwa wapalestina kupewa nchi Yao waliojikuta humo kwa miaka zaidi ya elfu mbili na sio kuendekeza udini usio maana
 
Hawa si ndo HAMAS? Makundi ya kigaidi yanastahili zaidi ya hapo. Watuulia vijana wetu wasio na hatia, tena yule mmoja aliomba kabisa asamehewe aachiwe ila wakamuua kwa unyama sana.

Israel tusaidieni kudondosha kipande cha NUCLEAR hapo ili kufuta kabisa hao wahuni.
Katika Kristo YESU yatupasa kupendana sio kuchukiana sisi sio wapagani kama unaamini katika YESU watakie mema binadamu wenzako
 
Back
Top Bottom