Nitashangaa sana kuona vijana wanazani kuwa mabadiliko ya katiba ndiyo yatamletea Chakula Mezani

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Hakuna kitu rahisi katika ulimwengu haya mabadiliko tunayotaka ni namna nzuri ya ukoloni kudhibiti akili za wafuasi dhidi Nguvu kubwa inayotawala,siwezi kukataa kuwa maendeleo kwa namna fulani yanahitaji uwazi na uwajibukaji(sheria) ila sheria siku zote ipo upande wa Msimamiaji.

Inshu ya fairness,Equality and equity just ni vocubulary ambazo zenye lengo la kudanganya akili dhidi ya maarifa.

Binafsi nawasauri vijana tuendelee kupambana ili kupata tonge na siyo kuwa kanyagio kwa wengine ili wapate wanachokitaka.

Angalieni msije kudai ushoga tu.
 
Binafsi nawasauri vijana tuendelee kupambana ili kupata tonge na siyo kuwa kanyagio kwa wengine ili wapate wanachokitaka
Kwa ambao hawamjui mleta mada ndio huyu... Anapinga wanaompigania huku akiwa hana ufahamu wa lolote
FB_IMG_17475678941965106.jpg
 
Hakuna kitu rahisi katika ulimwengu haya mabadiliko tunayotaka ni namna nzuri ya ukoloni kudhibiti akili za wafuasi dhidi Nguvu kubwa inayotawala,siwezi kukataa kuwa maendeleo kwa namna fulani yanahitaji uwazi na uwajibukaji(sheria) ila sheria siku zote ipo upande wa Msimamiaji.

Inshu ya fairness,Equality and equity just ni vocubulary ambazo zenye lengo la kudanganya akili dhidi ya maarifa.

Binafsi nawasauri vijana tuendelee kupambana ili kupata tonge na siyo kuwa kanyagio kwa wengine ili wapate wanachokitaka.

Angalieni msije kudai ushoga tu.
Kenge
 
Mtu yeyote mwenye mawazo hayo huwa hana akili kabisa
 
Ushoga utakuja kufirwa wewe, maana inaonekana unataka vitu vya bure bure tu.

Wapambanaji wanajua umuhimu wa mifumo ya haki. Hasa kutokea kwenye sheria mama, Katiba.

20250605_122144.jpg
 
Wazee wetu wangekuwa na akili kama hizo na kutodai uhuru muda huu tungekuwa tunawabeba wakoloni mabegani wilaya hadi wilaya na kuwa wapishi wao.Hopeless!
Sijatetea ukoloni naupinga na ndiyo maana hata haya mawazo yenu mfu kutoka western nayakataa tutabakia kuwa kama mbuzi kwa hizi akili zenu za kushikiwa.
 
Hoja yako inaonyesha kutoelewa msingi wa mabadiliko ya katiba.

Katiba ni msingi wa kuleta uwazi, haki na usawa kwa kila raia. Bila katiba imara na yenye ushawishi, nguvu kubwa zinaendelea kuishi kiholela, na maendeleo halisi hayatatimia. Ni busara kusimamia mabadiliko badala ya kuikataa kwa misemo isiyo na msingi.
 
There's so many things to archive in life .

Ukiwa unawaza kula tu utakuwa ni moja ya watu wajinga Sana hapa duniani.

And this is the reason why we are still stumble in our country .

-Mawasilano
-Good infrastructure
-Good governance
-To reduce the number of illiterate rate

Ni ujinga as a developed country kulilia chakula ambacho everyone gonna afford .

Ujafikiria Afya, Elimu welfare of the people n.k
 
Sijatetea ukoloni naupinga na ndiyo maana hata haya mawazo yenu mfu kutoka western nayakataa tutabakia kuwa kama mbuzi kwa hizi akili zenu za kushikiwa.
Bila kupoteza muda,kwa andiko lako mbuzi amejulikana bila shaka.Huwezi ukakaa na kuwaza utumbo wa paka kama uliouandika.Nchi nzima utokee wewe na matege yako ujidai una maono ya mbali na unajisikia huruma? Psychosis effections hizo!
 
kuna mamb hamjui na hantaweza kujua sababu mshachorewa mlango kwenye ubao,
Umeshachanganyikiwa.

Fika Mirembe upewe tiba.

WAtu kama nyie mmeshakuwa wengi tu humu kina Deo Kisandu, Nicolaus.

Tafuta tiba mapema kabla hujavua nguo
 
Bado Nawakumbusha tena Uzazi wa mpango ni muhimu sana
 
Back
Top Bottom