Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Tuambie unapambanaje endapo ukiweka kabiashara kadogo Kodi utitiri?Hakuna kitu rahisi katika ulimwengu haya mabadiliko tunayotaka ni namna nzuri ya ukoloni kudhibiti akili za wafuasi dhidi Nguvu kubwa inayotawala,siwezi kukataa kuwa maendeleo kwa namna fulani yanahitaji uwazi na uwajibukaji(sheria) ila sheria siku zote ipo upande wa Msimamiaji.
Inshu ya fairness,Equality and equity just ni vocubulary ambazo zenye lengo la kudanganya akili dhidi ya maarifa.
Binafsi nawasauri vijana tuendelee kupambana ili kupata tonge na siyo kuwa kanyagio kwa wengine ili wapate wanachokitaka.
Angalieni msije kudai ushoga tu.
Utuambie utapambana vipi endapo ukiwekeza kwenye ardhi wenye mamlaka wanakupora na huna pa kushtaki?
Utuambie utapambana vipi kama ukiweka pesa bank ukakuta salio lako linasoma zero ukiuliza waambiwa ni amri kutoka juu?
Utuambie utapambana vipi ukianzia chini kama machinga ukiwafuata wateja unahamishwa sehemu isiyo na wateja kwa amri ya watawala?
Utuambie utapambana vipi umesoma una vigezo sawa vya kupata fursa lakini fursa zinaenda kwa kundi pendelewa?
Jibu kwanza hayo Kisha nikupe mengine