Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Ulaji upo!
Katika utawala utaulizwa haya maswali Makuu. Na utatakiwa kuyajibu kwa ufasaha;
Unaapa kutumikia Jamhuri, tuambie kipi rahisi Kula chakula na vipofu au chakula cha waliolala?
Ukijibu hilo litafuata swali la mwisho, kipi kitamu, chakula cha vipofu au chakula cha waliolala?
Majibu yako yataamua mustakabali wa siasa zako kwenye jamhuri.
Usiku Mwema watia NIA