Mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu naomba bajeti ya chakula

Mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu naomba bajeti ya chakula

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
325
Reaction score
1,130
Naitwa Diana ni msichana ambaye Kwa Sasa Naishi mwenyewe ,lakini mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu watatu JUMLA tutakuwa wanne,nimejaribu kuandaa budget ya chakula, hii itakua kama stock na nitatengeneza kabati special kwaajili ya stock iyo tu, nitanunua vitu kiujumla kama nilivyo oredhesha hapa,nitawaelekeza madogo Kila kati kati ya mwezi Yani tarehe 15 waangalie vitu vinavyokaribia kuisha tununue,ambavyo havikai mda mrefu vitanunuliwa Kwa reja reja mfano nyanya,karoti,matunda nk. naomba mchango wa mawazo yenu pia asanteni.naona mnaniuliza nahitaji ushauri Gani mngeiona budget mngenipa ushauri Sasa inagoma mtandao uko chini nashindwa ku attach poleni😰😌😌
 
Naitwa Diana ni msichana ambaye Kwa Sasa Naishi mwenyewe ,lakini mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu watatu JUMLA tutakuwa wanne,nimejaribu kuandaa budget ya chakula, hii itakua kama stock na nitatengeneza kabati special kwaajili ya stock iyo tu, nitanunua vitu kiujumla kama nilivyo oredhesha hapa,nitawaelekeza madogo Kila kati kati ya mwezi Yani tarehe 15 waangalie vitu vinavyokaribia kuisha tununue,ambavyo havikai mda mrefu vitanunuliwa Kwa reja reja mfano nyanya,karoti,matunda nk. naomba mchango wa mawazo yenu pia asanteni.
Kwenye budget ya chakula nyumbani kwangu bado ni ngumu sana, nanunua everything ila naona matumizi yako palepale

Minimum natumiq per day 10,000 na kila kitu kiko ndani
 
Naitwa Diana ni msichana ambaye Kwa Sasa Naishi mwenyewe ,lakini mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu watatu JUMLA tutakuwa wanne,nimejaribu kuandaa budget ya chakula, hii itakua kama stock na nitatengeneza kabati special kwaajili ya stock iyo tu, nitanunua vitu kiujumla kama nilivyo oredhesha hapa,nitawaelekeza madogo Kila kati kati ya mwezi Yani tarehe 15 waangalie vitu vinavyokaribia kuisha tununue,ambavyo havikai mda mrefu vitanunuliwa Kwa reja reja mfano nyanya,karoti,matunda nk. naomba mchango wa mawazo yenu pia asanteni.
Dianda dsh limeyumba ?
 
Wadogo zako kama ni wa kike na hawasomi, da Diana naomba mmojaa ni kusaidie kuishi naye jmn na kazi ntapatia hapa hapa nyumban 😀😀😀
 
Back
Top Bottom