Mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu naomba bajeti ya chakula

Mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu naomba bajeti ya chakula

Truly nafikiri sisi wabongo tunashida Sana .


Mitandao ni Kama MTO wanaoelewa wanavua samaki na amabao hawaelewi wanaliwa na mamba.

Unaweza kupoteza muda kumshauri MTU jambo kumbe anakuchora na kukuchota ufahamu wako ndo maana ukikutana na watu wa hivi just be the watcher kwakuwa they come and go no consistence
Yeye anaenjoy tu😄
Nyie mmekomaa wee kutoa ushauri
 
Mnamaliza hela
Kila siku ununue chakula aisee
Sasa hela ibaki ili iweje....utaiacha tuu. Wee ubwabwa wa 1500 hapo na maji ya bomba umeshakula mchana hapo. Usubui chai ya rangi 300 na chapati mbili 600 jioni matunda ya buku
 
Sasa hela ibaki ili iweje....utaiacha tuu. Wee ubwabwa wa 1500 hapo na maji ya bomba umeshakula mchana hapo. Usubui chai ya rangi 300 na chapati mbili 600 jioni matunda ya buku
Chai 300
Chapati 2 600
Kwa wiki ni hela nyingi hiyo
 
Short summary

Tembele fungu tatu mia tisa, kitunguu Cha mia nyanya za mia mbili Jumla buku mia mbili

Unga wa buku mchana

Usiku maharage ya kupima mchele robo tatu,,, haya haizid afu tatu plus mchana haizid elfu sita
 
Subiri waje ndio upange bajeti, wakifika ndio utajua ukulaji wao kuanzia hapo ndio unaweza kutengeneza makisio.
Au unataka uwe unawabania msosi
 
Kwenye budget ya chakula nyumbani kwangu bado ni ngumu sana, nanunua everything ila naona matumizi yako palepale

Minimum natumiq per day 10,000 na kila kitu kiko ndani
Tafuta mpango wa kando wa kuhandke hayo mambo. Hiyo tuu kuwaza ya kwamba kwa siku unatumia 10,000 tayari ni akili ndogo. Wanaume hatuwazagi hayo.
 
Tafuta mpango wa kando wa kuhandke hayo mambo. Hiyo tuu kuwaza ya kwamba kwa siku unatumia 10,000 tayari ni akili ndogo. Wanaume hatuwazagi hayo.
Sawa mwanaume mwenye akili kubwa

Nina majukum mazito, mbali na kuw na familia nina watoto ndugu nasomesha na kuna watu nawaangalia

Ila matumizi yangu makubwa sana na silipi kodi, kila mtu awaze kinachomsumbua waza yako.
 
Mateso wapi bro wakati mama ntilie wamejaa kibao
Mama ntilie na unafurahia chakula, wewe ni noma

Mama ntilie wa mtaani kwetu vibonge na wanatoka jasho sana, unatakiwa uwe na roho ngumu.

Like seriously anaitwa bonge, ahaha sio poa
 
Mama ntilie na unafurahia chakula, wewe ni noma

Mama ntilie wa mtaani kwetu vibonge na wanatoka jasho sana, unatakiwa uwe na roho ngumu.

Like seriously anaitwa bonge, ahaha sio poa
Hamia mtaani kwetu
 
Unanunua nyama, let say kilo moja unatoa 10000, mimi ni mchaga ukipika ndizi, lazima ununue sio chini ya elfu 4, hapo hujaweka utumbo ambao ni luxury

Sometimes ukila kande, watoto wanapikiwa vyakula vyao.

Asubuhi lazima ununue vitafuniwa - wanangu wanakula kama mchwa tena mwanangu wa kiume anapiga mara saba kwa siku, akishiba anachezea dude.

Watoto wanakula vitu vya ziada, kama maziwa, mayai etc for their health benefits

Kwa wiki kila siku kinapikwa chakula chake, naonaga watu wengi wanakula Wali na ugali tu.
Basi sikukuelewa,kwangu Mimi nikifanya bajeti ya mwezi naweza nisimalize hata elfu 5 Kwa wiki kwenye masuala ya Kula nanunua kila kitu,nyama,samaki,viazi,main,ndizi,maharage,njegele,dagaa e.t.c baada ya wiki 2 huwa naongeza viungo tu kama karoti,hoho,bamia&ngogwe na matunda basi!!!
 
Back
Top Bottom