Mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu naomba bajeti ya chakula

Mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu naomba bajeti ya chakula

Diana anatuuliza leo bajeti ya mwakani .
Inaonyesha ana Malengo ya muda mrefu..good girl Diana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜น
Mependa utambulisho ,"Naitwa Diana"
diana wa miaka ya mbele ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€anataka kuanza kuweka stock kabisa
 
diana wa miaka ya mbele ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€anataka kuanza kuweka stock kabisa
Yupo mbele ya muda
Mitano โœŠ๐Ÿฝ ๐Ÿ˜น tena kwa Diana.

Anauliza na kujijibu
Very genius
Uzi tayarii
 
Ushauri wangu ni kuwa usiumize kichwa kuhusu bejeti ya nini cha kula. Jikite kwenye kuhakikisha unakuwa na pesa. Ukishakuwa na pesa unanunua chakula kadri kinavyohitajika. Ukibudget sana chakula utaishia kuwa mchoyo.
 
Naitwa Diana ni msichana ambaye Kwa Sasa Naishi mwenyewe ,lakini mwakani nitaanza kuishi na wadogo zangu watatu JUMLA tutakuwa wanne,nimejaribu kuandaa budget ya chakula, hii itakua kama stock na nitatengeneza kabati special kwaajili ya stock iyo tu, nitanunua vitu kiujumla kama nilivyo oredhesha hapa,nitawaelekeza madogo Kila kati kati ya mwezi Yani tarehe 15 waangalie vitu vinavyokaribia kuisha tununue,ambavyo havikai mda mrefu vitanunuliwa Kwa reja reja mfano nyanya,karoti,matunda nk. naomba mchango wa mawazo yenu pia asanteni.naona mnaniuliza nahitaji ushauri Gani mngeiona budget mngenipa ushauri Sasa inagoma mtandao uko chini nashindwa ku attach poleni๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ
Una bikra
 
Mimi na wenzangu kama mimi wenye kula ya stress
Okay Mkuu , Mungu awainue na mpate kuwa mna uhakika wa kula mnachotaka nawaombea in the name of Jesus Christ ,

You will be abundantly from today on .๐Ÿ™๐Ÿฝ
 
Mimi chochote nachopata nakula.
Halafu sisi wakulima huwa hatupati headache kwenye chakula.

Kazi kwenu huko wana daslama.

MitanoโœŠtena kwa Diana
Kaweza
Hapa mahindi pale maharage mara kuku bata mbuzi ngombe basi full raha
 
Back
Top Bottom