Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,941
- 31,907
niache ππππππππππNyanya atanunua rejareja
Diana alielewa vyema somo la budgeting.
Ila nyanya amesema atanunua rejareja π.
niache ππππππππππNyanya atanunua rejareja
Diana alielewa vyema somo la budgeting.
Ila nyanya amesema atanunua rejareja π.
Mtandao huu mwee!niache ππππππππππ
Kwa maisha yetu ukiacha wenye uchumi wa juu na wa kati, utagundua pesa nyingi huishia kwenye matumizi ya kawaida.Ukiwa unaona mambo Kama chakula yanakuwazisha ujue unsafari ndefu Sana
Oh hii imekaa vizuri mkuu.Vitafunwa sinunui barabarani sijawah toka nizaliwe
Mke wangu anatengeneza pancakes, cakes, mikate, nk nyumbani.
Gharama zangu ziko hivyo tu najaribu kupangilia ila ziko palepale
Siku ambayo kumepikwq wali, ndio siku pekee ambayo nimepika bila gahrama kubwa. Hapo inanunuliwa nazi na mboga za majani tu.
eeeh mana tumeshindwa kupata cha kuchangia kwa kua hatujaona budget yakeππππilaaaaaMtandao huu mwee!
Da Diana kashindwa kuattach documentπ₯²π₯Ή
Ila amtupa pole π
Mkuu hujamwelewa yeye yuko na person experience ya kuishi peke yake sasa wanakuja watu 3 plus yeye 4.Ww ulibidi ukae peke yako au ukae kwenu kwakuwa una immaturity Fulani in thinking.
Ukiwa unaona mambo Kama chakula yanakuwazisha ujue unsafari ndefu Sana.
Mtandao unaionea wivu bajeti ya Diana.eeeh mana tumeshindwa kupata cha kuchangia kwa kua hatujaona budget yakeππππilaaaaa
Haeleweki, sidhan kama alijipanga kuja kuomba ushauri,,,, ! Ushauri gn sasa hapo ? Ndio maana comment za wadau zipo vileJana na leo Mkuu
Habari..
Toa ushauri kwa Da Diana
Hata Mungu hakuumba huumba kila mtu na akili zakeUkifatilia post za hawa watu, utajua tu ni wana akili sawa
Unique Flower Strong and Fearless SweetyCandy cold water kadogo2
Ametufanya tufurahiππHaeleweki, sidhan kama alijipanga kuja kuomba ushauri,,,, ! Ushauri gn sasa hapo ? Ndio maana comment za wadau zipo vile
Hii nikajua ni mimi tu kumbe wengi tunaivia moshiKwenye budget ya chakula nyumbani kwangu bado ni ngumu sana, nanunua everything ila naona matumizi yako palepale
Minimum natumiq per day 10,000 na kila kitu kiko ndani
Okay Ila namfahamu Ila simjui Ila ni MTU ambaye nafikiri anapenda engagement likes and comments ukiwa haujamjua utamchukulia serious Ana I'd nyingi huwa anaandika the same content so either anapenda engagement au ghorofani panasumbuaMkuu hujamwelewa yeye yuko na person experience ya kuishi peke yake sasa wanakuja watu 3 plus yeye 4.
Lazima hapa kutakuwa na experience ya tofauti, na hayo anayoyasema nikama amefanya brainstorming ya haraka haraka katika hilo jambo
Jaribu kununua vitu au weka stock ya mwezi kwa mwezi itakusaidia, vitu kama nyanya au vitu kama hivyo pia kama uko na fridge pia ni vizuri ukaweka stock vile vile itakusaidia kupunguza gharama
Njia nyingine ni kufungua duka na kuwa unajiuzia mahitani yako mwenyewe. Mfano nunua mchele kilo labda 30, na unajua kwa siku unakula kilo 1, sasa kwa kila siku unayopika mchele tenga hela ya hiyo kilo moja. Mwisho wasiku unajikuta kilo 30 na hela yake unayo, hivyo unakuta hupati shida wakati wa kwenda tena kununua.
Mfano huu nimzuri kwakuwa kuwa watu atanunua kwajumla wiki hiki baada ya hapo hata kuwa na ela ya tena kwenda kununua hivyo hurudia katika hali yake ya rejareja.
Natumaini hizo njia zitakusaidia, kila la kheri
Alitaka tu kuchatππππOkay Ila namfahamu Ila simjui Ila ni MTU ambaye nafikiri anapenda engagement likes and comments ukiwa haujamjua utamchukulia serious Ana I'd nyingi huwa anaandika the same content so either anapenda engagement au ghorofani panasumbua
Tunapata ushauri jinsi ya kubalance humu mana wengine tumefeli hiloHii nikajua ni mimi tu kumbe wengi tunaivia moshi
Hapana sinunui vitafunwaOh hii imekaa vizuri mkuu.
Nikadhani mnanunua mtaani vitafunwa vya familia nzima
Truly nafikiri sisi wabongo tunashida Sana .Alitaka tu kuchatππππ
Na sisi tumetumia fursa kuchat
Atakuwa kafurahi sasa