Kisayansi wadudu wanayo protin nzuri sana 😀Wadudu ni protini
KabisaKisayansi wadudu wanayo protin nzuri sana 😀
Chakula cha nyumbani hakiruhusiwi kwa shule yoyoteMpe pesa ya ziada akajinunulie canteen.
Ukitaka ubwabwa wa buku kubali kutibu magonjwa ya tumbo kila kukicha.
Pia kuna option ya kumpekia chakula toka nyumbani. Kuna lunch boxes zenye compartment mpaka 3 na zina retain joto mpaka masaa 12.
Si kweli. Kijana wangu kamaliza darasa la saba Diamond na miaka yote aliyosoma hapo kuanzia la 5 alikuwa anakwenda na chakula chake toka nyumbani na hakuna hata siku moja aliyorudishwa wala kukatazwa.Chakula cha nyumbani hakiruhusiwi kwa shule yoyote
Chakula cha usiku mtoto akale kesho yake mchana?pwaaaSi kweli. Kijana wangu kamaliza darasa la saba Diamond na miaka yote aliyosoma hapo kuanzia la 5 alikuwa anakwenda na chakula chake toka nyumbani na hakuna hata siku moja aliyorudishwa wala kukatazwa.
Ukitaka mwanao ale vizuri acha uvivu. Amka saa 9 alfajiri umpikie mwanao.Chakula cha usiku mtoto akale kesho yake mchana?pwaaa