Wanandoa wazoefu, Niendelee kurudi nyumbani kula chakula cha mchana au nianze kununua chakula ?

nguvu ya buku

Senior Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
168
Reaction score
549
Nyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu.

Nikifika wife ananipakulia na kuniandalia meza nile, ni mke wa nyumbani.

Kazini kuna restaurant wanayokwenda wenzangu wengi inayouza chakula, gharama sio tatizo

Siku pekee ambazo sina ulazima wa kula mchana kazini ni Jumamosi na Jumapili, lakini kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa wengi hula kazini.

Je niendelee kurudi nyumbani kila siku ?
 
Kwa wiki, kula nyumbani mara nne ili kuendeleza upendo wa mezani then kazini mara tatu ili kuwa karibu na wafanyakazi wenzako.
Jumamosi tunawahi kutoka, wengi wanakula kwao. Jumapili ni off

Jumatatu hadi ijumaa ndio siku za kazi hadi jioni
 
Nyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu.

Nikifika wife ananipakulia na kuniandalia meza nile, ni mke wa nyumbani.

Kazini kuna restaurant wanayokwenda wenzangu wengi inayouza chakula, gharama sio tatizo

Je niendelee kurudi nyumbani kila siku ?
Unataka kujitengenezea ugumu huko mbeleni. Siku ukishindwa kurudi kula nyumbani maswali kibao.

Tangu mwanzo wa ndoa mke wako anatakiwa azijue tabia zako halisi mfano hulagi mchana nyumbani, siku moja moja ndio unampgia simu kwamba leo utakula nyumbani akuachie chakula.
 
Kula huko huko mkuu. Kurudi nyumbani kula ni kama haupendelei kula vyakula vya hotelini au pia kipato changamoto. Ila kama upo vizuri kula huko huko na wifi yetu apumzike kupika sana.
 
Nyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu.

Nikifika wife ananipakulia na kuniandalia meza nile, ni mke wa nyumbani.

Kazini kuna restaurant wanayokwenda wenzangu wengi inayouza chakula, gharama sio tatizo

Siku pekee ambazo sina ulazima wa kula mchana kazini ni Jumamosi na Jumapili, lakini kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa wengi hula kazini.

Je niendelee kurudi nyumbani kila siku ?
Rudi nyumbani, ili siku nyingine ukimaliza kula lunch unamkula na mkeo kidogo.

Ila siku moja unaweza kula kazini na wenzio!
 
Nyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu.

Nikifika wife ananipakulia na kuniandalia meza nile, ni mke wa nyumbani.

Kazini kuna restaurant wanayokwenda wenzangu wengi inayouza chakula, gharama sio tatizo

Siku pekee ambazo sina ulazima wa kula mchana kazini ni Jumamosi na Jumapili, lakini kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa wengi hula kazini.

Je niendelee kurudi nyumbani kila siku ?
Umeoa ugundue nini
 
Aya mambo inabidi muongee mkiwa uchi bhana , yani great thinkers wajadili kula mchana
Wanawake wanapatikana sana aisee,
Yani eti huyu ndio mume wake anakuja kuomba ushauri mitandaoni,eti ale kazini au awe anakula home!

Hivi mtu kama huyu anaweza kweli kuisimamia familia yake kama kiongozi wa Nyumba? Hii mitandao imewafanya kama vile wamerukwa na akili.
 
Back
Top Bottom