Adverse Effect
JF-Expert Member
- Oct 8, 2017
- 3,700
- 9,570
Jamii forum raha sana ukipata msongo wa mawazo au stress unajitakia.
SafiiUna rudi mchana kwanini? Mwanaume nyumbani una rudi saa mbili kama huna mtoto
Kwahiyo umbali wakutembea kwa dakika 40 unatumia dakika 90 (saa 1:30)!?Nyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu.
😂Unakula mchana kwani unanyonyesha?
Kwanza anatembea, kwa nini achafuke mavumbi wakati restaurant na hela zipo?Kwahiyo umbali wakutembea kwa dakika 40 unatumia dakika 90 (saa 1:30)!?
Yaani ukiwa unakwenda nyumbani unatembea kwa dakika 20 na kupumzika dakika 25 na wakati wa kurudi pia hivyohivyo?