Netanyahu alisema Gaza hamna njaa leo analalimika Mateka wa Israel wanayimwa chakula

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

Abu Obaida:

•Al-Qassam Brigades are ready to cooperate positively and respond to any request by the Red Cross to deliver food and medicine to enemy prisoners.

•We condition this on the opening of humanitarian corridors in a regular and permanent manner to allow the passage of food and medicine to all our people across the Gaza Strip, and the complete halt of all enemy aerial activity during the delivery of packages to the prisoners.

•Al-Qassam does not deliberately starve the prisoners, but they eat from the same food our fighters and people eat. They will not receive any special privileges while our people suffer from starvation and siege.
================
Abu Ubaida:

•Vikosi vya Al-Qassam viko tayari kushirikiana vyema na kujibu ombi lolote la Msalaba Mwekundu la kupeleka chakula na dawa kwa wafungwa adui.

•Tunaweka masharti haya kwa kufunguliwa kwa korido za kibinadamu kwa njia ya mara kwa mara na ya kudumu ili kuruhusu upitishaji wa chakula na dawa kwa watu wetu wote katika Ukanda wa Gaza, na kusitishwa kabisa kwa shughuli zote za angani za adui wakati wa utoaji wa vifurushi kwa wafungwa.

•Al-Qassam hawaushi wafungwa njaa kwa makusudi, bali wanakula chakula kile kile wanachokula wapiganaji wetu na watu. Hawatapokea marupurupu yoyote maalum huku watu wetu wakiteseka kwa njaa na kuzingirwa.

View: https://x.com/warfareanalysis/status/1952069093391016317?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Kuna operation kabambe imeanzishwa ya watu kula kiapo cha utii Kwa kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali AS.

Ikilazimika watu watalishwa hiki kiapo kwa nguvu na lazima.

Maovu kwenye jamii yamezidi, kuna dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.

Kuhakikisha haya yote hayapo na watu wanaishi Kwa umoja, huruma na kupendana ilivyo kwa Kipenzi chetu cha dhati Imam wetu kipenzi , LAZIMA kula kiapo cha utii.

The road to Karbala join the movement NOW!

Screenshot_2025-07-30-19-19-40-01_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Unajua haki ya Mateka wewe au? huo ndio ukatiri wa Uislam Allah ametoa maelekezo yote kupitia Mohammad Mtume wenu
 
View attachment 3431162
Hiyo Order ilitolewa mwaka gani? maan kuna ujing fulani mtu anauchukulia hata ipite miaka elfu anakuja na madai kama ndio jana vile hiyo kampeni imeanzinshwa... maiak ya kutumia upanga ishapitwa maiaka mingi, same na kung-fu au karate out of time
 
Hahaha
 
Wanaukumbi.

Abu Obaida:

•Al-Qassam Brigades are ready to cooperate positively and respond to any request by the Red Cross to deliver food and medicine to enemy prisoners.

•We condition this on the opening of humanitarian corridors in a regular and permanent manner to allow the passage of food and medicine to all our people across the Gaza Strip, and the complete halt of all enemy aerial activity during the delivery of packages to the prisoners.

•Al-Qassam does not deliberately starve the prisoners, but they eat from the same food our fighters and people eat. They will not receive any special privileges while our people suffer from starvation and siege.
================
Abu Ubaida:

•Vikosi vya Al-Qassam viko tayari kushirikiana vyema na kujibu ombi lolote la Msalaba Mwekundu la kupeleka chakula na dawa kwa wafungwa adui.

•Tunaweka masharti haya kwa kufunguliwa kwa korido za kibinadamu kwa njia ya mara kwa mara na ya kudumu ili kuruhusu upitishaji wa chakula na dawa kwa watu wetu wote katika Ukanda wa Gaza, na kusitishwa kabisa kwa shughuli zote za angani za adui wakati wa utoaji wa vifurushi kwa wafungwa.

•Al-Qassam hawaushi wafungwa njaa kwa makusudi, bali wanakula chakula kile kile wanachokula wapiganaji wetu na watu. Hawatapokea marupurupu yoyote maalum huku watu wetu wakiteseka kwa njaa na kuzingirwa.

View: https://x.com/warfareanalysis/status/1952069093391016317?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Waislamu kwa kupindisha maneno, kama Shetani wenu allah
Screenshot_20250804-202016_Chrome.jpg
 
Unajua haki ya Mateka wewe au? huo ndio ukatiri wa Uislam Allah ametoa maelekezo yote kupitia Mohammad Mtume wenu
Si ulianzisha uzi ukasema Gaza hamna njaa😂
 
Kundi la maafisa wa usalama wa Israel wapatao 600 waliostaafu wakiwemo wakuu wa zamani wa mashirika ya kijasusi wamemwandikia barua Rais wa Marekani Donald Trump kuishinikiza Israel ikomeshe mara moja vita huko Gaza.
"Ni uamuzi wetu wa kitaalamu kwamba Hamas haileti tishio la kimkakati kwa Israel," maafisa hao walisema.
"Kuaminika kwako na Waisraeli wengi kunaongeza uwezo wako wa kumwelekeza Waziri Mkuu [Benjamin] Netanyahu na serikali yake katika mwelekeo sahihi: Maliza vita, warudishe mateka, wakome mateso," waliandika.
Ombi lao linakuja huku kukiwa na ripoti kwamba Netanyahu anashinikiza kupanua operesheni za kijeshi huko Gaza huku mazungumzo ya moja kwa moja ya kusitisha mapigano na Hamas yakikwama.
 
Ukiwauliza mnaandamania nini hawajui utawasikia from the river to the sea - wauzlie river gani au which Sea? hawajui hahaha.

View: https://www.youtube.com/shorts/bGYyI28v7Cw?feature=share

Ndio haya Sasa mission Imposible

The former top leaders head the Commanders for Israel's Security (CIS) group, which has urged the government in the past to focus on securing the return of the hostages.
"Stop the Gaza War! On behalf of CIS, Israel's largest group of former IDF generals and Mossad, Shin Bet, Police, and Diplomatic Corps equivalents, we urge you to end the Gaza war. You did it in Lebanon. Time to do it in Gaza as well," they wrote to the US president.
 
Wanaukumbi.

Abu Obaida:

•Al-Qassam Brigades are ready to cooperate positively and respond to any request by the Red Cross to deliver food and medicine to enemy prisoners.

•We condition this on the opening of humanitarian corridors in a regular and permanent manner to allow the passage of food and medicine to all our people across the Gaza Strip, and the complete halt of all enemy aerial activity during the delivery of packages to the prisoners.

•Al-Qassam does not deliberately starve the prisoners, but they eat from the same food our fighters and people eat. They will not receive any special privileges while our people suffer from starvation and siege.
================
Abu Ubaida:

•Vikosi vya Al-Qassam viko tayari kushirikiana vyema na kujibu ombi lolote la Msalaba Mwekundu la kupeleka chakula na dawa kwa wafungwa adui.

•Tunaweka masharti haya kwa kufunguliwa kwa korido za kibinadamu kwa njia ya mara kwa mara na ya kudumu ili kuruhusu upitishaji wa chakula na dawa kwa watu wetu wote katika Ukanda wa Gaza, na kusitishwa kabisa kwa shughuli zote za angani za adui wakati wa utoaji wa vifurushi kwa wafungwa.

•Al-Qassam hawaushi wafungwa njaa kwa makusudi, bali wanakula chakula kile kile wanachokula wapiganaji wetu na watu. Hawatapokea marupurupu yoyote maalum huku watu wetu wakiteseka kwa njaa na kuzingirwa.

View: https://x.com/warfareanalysis/status/1952069093391016317?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Sio netanyau tuh Kuna chzi lingine hapa jukwaani waliandika Uzi kusapoti kauli ya netanyau
 
Unajua haki ya Mateka wewe au? huo ndio ukatiri wa Uislam Allah ametoa maelekezo yote kupitia Mohammad Mtume wenu
Jitu lenyewe ndio hili hapa 🤣
Haki za mateka ?
Wananchi wa gaza hawana haki
Mateka wa Israel ndio Wana haki
 
Back
Top Bottom