chakula

  1. Mmeng'enyo wa Chakula: Chanzo cha Changamoto na Suluhisho Lake

    Mmeng'enyo wa chakula ni mchakato muhimu kwa afya zetu, lakini wengi wanakutana na changamoto kama kuvimbiwa, gesi, na maumivu ya tumbo. Tatizo linaweza kusababishwa na lishe duni, kutokunywa maji ya kutosha, stress, au kukosa mazoezi. Suluhisho liko wazi: Kula vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi...
  2. Swali la Siku: Dhana gani kuhusu Chakula fulani unahisi ni Potofu?

    Leo Oktoba 16 ni Siku ya Chakula Duniani, licha ya umuhimu wa chakula kwa afya ya Binadamu, kuna dhana Potofu nyingi kuhusu chakula katika Jamii Kama mdau wa JamiiCheck.com, tujuze ni dhana gani umewahi kuisikia kuhusa chakula ambayo unahisi ni Potofu?
  3. Ripoti WFP: Watu Milioni 27 hawana Chakula Kusini mwa Afrika, Watoto Milioni 21 wamepata Utapiamlo

    Nchi za Lesotho, Malawi, Namibia, Zambia, Zimbabwe, Angola na Msumbiji zimeripotiwa kukumbwa na hali mbaya ya Upatikanaji wa Chakula, hali inayosababisha takriban Watu Milioni 27 kutokuwa na uhakika wa Chakula. Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani...
  4. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera

    Na Mwandishi Wetu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeshiriki maonyesho ya wiki ya chakula duniani ambayo kitaifa yanaendelea Mkoani Kagera. Akifungua maonyesho hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Mkuu wa Wilaya ya Muleba Dkt Abel Nyamahanga amesema Mkoa wa Kagera unakabiliwa na changamoto ya...
  5. Je, ni kweli ukichanganya masega ya nyigu kwenye chakula unachompa mbwa vitamfanya mbwa kuwa mkali?

    Wakuu nisaidieni kujua kuhusu hili. Ila pia kama ni kweli nisaidie kujua, masega hayo unayapikia pamoja na nyama ya umbwa au baada ya kuandaa chakula ndio unaweka masega hayo. Karibuni.
  6. SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

    Kumekuwepo na madai kuwa ulaji wa ugali hudumaza akili. Madai haya yana ukweli kiasi gani?
  7. L

    Vyakula kutoka Afrika vyafika katika meza za chakula nchini China

    Katika soko maarufu lililoko Changsha, mji mkuu wa mkoa wa Hunan katikati ya China, mwanamke mmoja aitwaye Li anachagua vitafunwa kwa ajili ya mtoto wake wa kike na wa kiume. Amechagua boksi mbili za dagaa wa maji chumvi waliokaushwa. Li anasema, anapenda watoto wake kula chakula bora, hivyo...
  8. Fahamu chakula cha Escamoles kutoka Mexico.

    Ni majira ya saa tano Bibi Isabella Martinez miaka 60 anaingia jioni kuandaa chakula kwa ajili ya familia, pembeni anasaidiwa na Mjukuu wake wa kike wa miaka 20, Maria. Bibi Isabella Martinez akiwa anatafuta kuni ili apate kuwasha moto basi Mjukuu yeye anaandaa viungo vitakavyokwenda kutumia...
  9. Chakula cha siku hizi hakina ladha wala harufu ya kuvutia

    Sijui kama mshaligundua hilo siku hizi jirani akipika wali huwezi kujua, sio kama miaka ya 90 huko mtu akikorofisha madiko diko basi watoto hatulali.. Tukija kwenye Ngunga ishu ni ile ile, hakuna ladha kabis wala ile harufu yake ya kuvutia. vyakula vya leo ni kama tunakula ganda la mua la jana
  10. M

    Aisee kuna mtu nambembeleza huku chakula hakipiti

    Mwamba mmoja kagawa kadi za harusi watu wamechanga na tarehe imetangazwa Tayari ni mwezi ujao. Jamaa kasikia kwamba demu ana mimba. Nahajawahi mgusa. Niko hapa nabembeleza mtu aisee hizi ishu zisikie tu kwa wengine zisi kukute.
  11. Kwanini maeneo mengi ya biashara ya chakula huwa wanishindwa kudhibiti nzi?

    Kwenye maeneo mengi ya biashara za vyakula hasa migahawa ya ukubwa wa kati na midogo pamoja na sehemu nyingi za nyama huwa kunakuwa na nzi wengi sana waliojaa kila mahali. Yani mtu unakula chakula na mkono mmoja huku mwingine una kazi ya kufukuza nzi! Kama wewe sio mvivu na hupendi nzi, kwa...
  12. U

    Tumekosana hatuongei! kisa nimemfananisha na mafarisayo, anadai kuagiza chakula hotelini au kujaza mafuta gari yako siku ya Sabato ni dhambi!

    Wadau hamjamboni nyote? Ni kisa cha kweli kabisa nimeona nikilete kwenu tupeane uzoefu Nimekosana na rafiki yangu wa karibu kwa sababu zisizo na mashiko kabisa! Tulianza kama utani kujadili amri za Mungu na tulikwenda vema tu hadi tulipofikia kujadili utunzaji amri ya nne ndipo tukakosana...
  13. K

    KARIBU KWA MAHITAJI YA UDUVI KWAAJILI YA CHAKULA CHA KUKU.

    Kwa mahitaji ya uduvi safi kwaajili ya chakula ya kuku piga +255679903535 Karibu sana.
  14. Kama mna dada wa kazi nyumbani kuna shida gani akifua na kupika chakula anachokula mume?

    Wazee wa mahaba mpo? Huwa sielewi ambavyo huwa kunakuwa na mjadala kuhusu dada wa kazi kufua nguo za baba mwenye nyumba au kupika chakula chake, yaani ishu ni nini? Kama anafanya kazi nyingine ikiwemo kufua na kupikia wengine kama mna mtoto/watoto kwanini ni ishu zikifuliwa nguo za wenye...
  15. Matumizi ya Sponge kwenye Uandaaji wa Chakula

    Mara nyingi mifuko laini na miepesi ya nailoni au Rambo kama inavyojulikana na wengi Tanzania iliwahi kutumiwa na baadhi ya wananchi katika kufungashia chakula na hasa vyakula vya haraka kama chips au wali kwa wale wenye migahawa midogo. Hata hivyo kuna baadhi ya familia wao walikuwa...
  16. Boss analazimisha wafanyakazi kula chakula na usipo kula unaitishiwa kikao. Kina usalama kweli?

    Mkuu wa kitengo ,boss ,msimamizi katika eneo fulani,nk. Anaamua kuleta vyakula vyake na kupikwa na watu wake huko anaowajua ndani ya eneo la kazi na kupakuliwa huko huko. Nakulazimisha watu wale tena kwa kutuma watu wachunguze kama umekula usipo kula unaitishiwa kikao na jopo la watu kwann...
  17. M

    Hotel au lodge nzuri Bukoba Mjini 30-50 chakula na club jirani

    Habari wakuu, Niko safarini kuelekea Bukoba Mjini naomba msaada wenu kwa wanaoijua Bukoba vizuri. Nauliza hotel au lodge nzuri kwa buget ya 30-50 ambapo chakula kizuri jirani kitapatikana pia patakua jirani na night club kushangaa shangaa kidogo
  18. Mchengerwa: Wanafunzi wote wa kutwa wapate chakula shuleni

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kote nchini kuhakikisha wanafunzi walio katika shule zote za kutwa za umma na binafsi wanapata chakula bila kujali ni wa madarasa ya mitihani ama lah na kamati za shule...
  19. Msaada: Dawa ya jino lilioanza kutoboka, maumivu kwa mbali pale napotafutana chakula

    Nisaidieni wakuu ili niliwahi kabla halijawa chronic
  20. Nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa, nini tatizo??

    Ndugu wanaJf natumaini wote mko na afya njema, nirudi kwenye mada, Nina tatizo ambalo limekuwa linanisumbuwa Kwa muda mrefu, Kila nikila chakula kidogo tu tumbo huwa linajaa ni kama vile nimekula chakula kingi. Pia inachukua muda mrefu hadi nianze kuhisi njaa. Naomba mwenye kujua hili tatizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…