chakula

  1. Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakula

    Wakuu, Ni kifaa kipi kati ya hivyo kinafaa kwa kuchoma nyama, kuchoma kuku mzima, kukaanga chips na kupasha chakula? Nahitaji kifaa kimoja cha kufanya kazi hizo zote kwa ubora mzuri, nichukue kipi?
  2. Kifahamu Chakula cha Ajabu kutoka Ufilipino Kinachoitwa Pagpag

    Ulimwengu wa upishi umekuwa ni darasa kubwa ambalo watu hutumia kujifunza utamaduni na hata wengine kujipatia nafasi ya kuingiza kipato, ila wapo wanaovutika kutokana na ubunifu na pamoja na utamaduni za jamii mbalimbali, na hivyo maarifa kadhaa ya upishi yanasambaa zaidi. Walakini, mara kwa...
  3. Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

    Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka. Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama
  4. Waarabu wa Gaza walalamika kulishwa ugali, wasema ni chakula cha Ndege

    Haya sasa twende wale raia wavivu wa Israel waliozoea misaada maisha yao yote sasa wajanja wao wanaokusanya misaada yote inayoingia Ukanda wa Gaza wameacha kuwaletea mchele wa basmat na unga wa ngano for bread na wameanza kupeleka mahindi na nafaka zingine ukiwepo mchele kitumbo, so kinachoweza...
  5. Wanawake wananyenyekea kwa sababu hawana pesa: Wanafuata chakula

    Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa. Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa. Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai...
  6. Zingatia umuhimu wa usafi katika maeneo ya vyakula

    Usafi ni suala muhimu sana katika sehemu zote za upishi, iwe ni migahawa, vibanda vya chipsi, au maeneo mengine yanayohusiana na huduma za chakula. Kutozingatia usafi kunaweza kusababisha matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na maambukizi ya bakteria na magonjwa ya tumbo kama vile kuhara. Katika...
  7. Pesa ya lodge wewe, pesa ya chakula na vinywaji wewe, mkimaliza kuzini pesa ya nauli wewe, pesa ya matumizi wewe. Kijana, tafakari una akili timamu?

    Ngono ni kitu kinachotukuzwa sana bila ya sababu za msingi. Mwanadamu ana matamanio makuu 3. 1. Kufanya ngono 2. Kula na 3. Kutawala (kuwa kiongozi, kumiliki mali na vitu vizuri). Kijana amepata kibarua siku analipwa posho yake anahaha kutafuta kabinti wakale kahela kake ambako ni kadogo. Ila...
  8. M

    Marian Schools huduma ya chakula, usafi ni ovyo sana

    Nimefuatilia kwa muda mrefu ubora wa shule za Marian hasa Marian Girls iliyopo Bagamoyo nikagundua kuwa ubora wao upo kwenye Masomo tu. Kuhusu huduma ya chakula ni duni sana Kulinganisha na Fedha wazazi wanazolipa ni mwendo wa harage mwanzo mwisho, chakula wanachokula hakina tofauti na...
  9. M

    Chakula kwa siku Tsh 30,000

    Maisha yanazidi kuwa magumu ukiwa na familia ya watoto wawili ukitaka kula nyama uwe na sio chini ya elfu 30. Nyama kilo 10000 Michele kilo 2, 6000 Mkaa 5000 Nyanya, vitunguu, carrot, mafuta 5000 Chai asubuhi 5000. Hapo hujaweka tunda lolote. Vijana mjipange kabla ya kuamua kuanzisha familia
  10. Kuna mama ntilie anauza chakula kizuri. Tatizo liko kwa mwanae, wateja tunapungua

    Yaani anapika msosi mtamu sana kana kwamba anaupika akiwa uchi. Tatizo ukienda kwenye mgahawa wake kula chakula, unapakuliwa msosi vizuri tu, tatizo linaanzia kwa mwanae mwenye furushi la makamasi ya njano puani na kitambi kikubwa sana ilihali ni 5 yrs only Ukiwa unasonsomola msosi, kale katoto...
  11. Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

    Serikali yetu - mamlaka husika tunaomba mtusaidie sisi wanyonge na hii tabia ya madereva inayozidi kushamiri kila kukicha, hasa kwa wale ndugu zetu wanaosafiri mikoa ya mbali wanapata tabu sana kuhusu masuala ya chakula. • Dar - - Mwanza • Dar - - Mbeya • Dar - - Kigoma • Dar -- Arusha • Dar --...
  12. Baada ya kama miaka mitano nchi za Afrika(Ikiwemo Tanzania) zitaanza kwenda kununua na kuomba msaada wa chakula Afghanstan.

    Sema tulivyo makauzu hata aibu hatutaona. Afghanstan kwa sehemu kubwa ni jangwa. Lakini bahati nzuri upande wa Kaskazini imepitiwa na mto mkuwa wa Amu Darya ambao inashare na nchi kadhaa. Sasa ili kuzalisha chakula utawala wa Taliban umeamua kujenga mfereji mkubwa wa umwagiliaji kutoka mto huo...
  13. P

    Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
  14. Mataifa ya Waarabu yasema vita vikiendelea mwakani wataacha kutoa misaada ya chakula

    Kwamba watawaacha Wapalestina aidha wajifie au walishwe na Israel, hapo sijui wanadhani wanakomoa Israel au Wapalestina, au HAMAS................... Gulf countries, led by the United Arab Emirates and Saudi Arabia, have issued an ultimatum to Israel stating that if the war between Israel-Hamas...
  15. Tukielekea sikukuu jihadhari na kuacha chakula ama kijywaji mezani..Usimwamini mtu wamelia wengi

    WAPENDWA TUKIELEKEA SIKUKUU MUHIMU KUWA MAKINI HASA MNAPOENDA BAR KULA AMA KUNYWA KAMA HAUKO NA MWENZIO UKAVAMIA MEZA YA MTU JITAHIDI USIENDE MSALANI UKAACHA VINYWAJI AMA CHAKULA MEZANI UTALIA HII NIMEIKUTA MWAKAJANA MOSHI MTU KALIA VIZURI TUU NIKAMA WALISHAMJUA ANAGARI AKAJICHANGANYA...
  16. HAMAS waiba chakula cha misaada, njaa mbaya jamaa wanateseka kwenye mahandaki

    Dunia inapiga makelele kwamba watoto wanakuafa kwa njaa, ila kidogo kinachoachiwa kipite yaani HAMAS wanakivizia na kupeleka kwenye mahandaki..... https://www.timesofisrael.com/liveblog-december-17-2023/
  17. Utapika chakula gani Xmas hii?

    Wazee wa madikodiko kwema? Xmas hiyo inakuja, umejipanga kutoka na sotojo gani? Kwa upande wangu najua pilau na juice moja matata havitakosa kwenye menu yangu, vingine hivyo vitakuwa vya ziada tu ula ubweche huu lazima ufinywagwe siku hiyo. Vipi kwa upande wako, umejipanga kupika nini Xmas...
  18. R

    COVID 19 iliyotufanya tuwahudumie wapendwa wetu kama wanyama, unapitisha chakula chini ya mlango kukwepa maambukizo. Tunamshukuru Mungu

    Tunapotafakari mwaka 2023 yatubidu kumshukuru Mungu kwamba tuliishi kama binadamu. Kuna kipindi hapo miaka ya nyuma tulikatazwa kuwazika wapendwa wetu, kuwahudumia na hata kuongea nao. Tulikatazwa kwenda kijijini desemba kwa madai kwamba tunapeleka magonjwa, wazee wetu wakawa na hofu kubwa juu...
  19. Kilimo kinatesa sana siku hizi hebu wataalamu nisaidieni tatizo hili kwenye mazao ya chakula

    Zamani nakumbuka ilikuwa mchawi nguvu tu, chochote utakachopanda kinakubali na kinafika Siku hizi sasa mkulima ana vikwazo na maadui kibao! Hebu cheki mtu unalima mazao yako kisha kuna Viwavi Panya Njiwa Ndege Kware Panzi Mchwa Vibaruti Beetle Serikali Majongoo Konokono Halmashauri Mafuriko...
  20. Naomba kujua maeneo mazuri kwaajili ya chakula na kupumzika ndani ya Morogoro

    Habari za uzima ndugu zangu, ndio tunaumaliza mwaka huu kwa kishindo, baada ya kujichanga ndani ya mwaka huu, nimetenga bajeti ya Tsh. laki 5 kwaajili ya kubadilisha maandhari na kuatafakari mambo mapya kwa mwaka ujao wa 2024. Baada ya kutafuakari kwa kina nimeona niende Morogoro (wanasema mji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…