Niko Mwananyamala A hapa, pa kigagula mmoja aitwa Bi Mandela (hili ni jina kificho, sio halisi) . Jamani najuta kuishi katika nyumba hii..
Kuna vimbwanga vingi vinatendeka, wakati mwingine waamka alfajiri nyumba nzima imetapakaa kinyesi, ñya mbichi kabisa.
Leo nimeenda sokoni, nimenunua bata...