chama cha kikomunisti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Chama cha Kikomunisti cha China kinafanikiwa kupitia kikao kimoja

    Hivi karibuni, wajumbe kutoka vyama vya siasa vya vya nchi mbalimbali walifanya ziara hapa Beijing, ambapo walitembelea majumba ya makumbusho ya historia ya Chama cha Kikomunisti cha China. Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nepal, Madhav Kumar Nepal, amesema falsafa ya rais wa China Xi Jinping kuhusu...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Wang Yi, awasili Dar

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mheshimiwa Wang Yi, amewasili Dar es Salaam, Tanzania, kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kuanzia tarehe 9 hadi 10 Januari 2026. Katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es...
  3. Mi mi

    JamiiForums Tanzania 1927 Chama cha kikomunisti cha China kilianzisha jeshi lake

    Mwaka 1921 chama cha kikomunisti cha China CPC kilizaliwa rasmi. Kupitia uonezi uliokuwa ukitendwa na serikali ya Jamhuri ya China chini ya chama tawala Kuomitang KMT na ukoloni uliokuwepo China,chama cha kikomunisti cha China kilianzisha jeshi lake kuzuia hayo na kuikomboa China yote. 1927...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania DeepSeek ni AI iliyokunywa maji ya bendera ya chama cha Kikomunisti China

    Hii AI ikiulizwa masuala ya siasa za China zenye utata inapatwa kigugumuzi cha ghafla.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Chama cha Kikomunisti cha China chaendelea kuwa na mvuto kwa nchi za dunia ya tatu kutokana na msimamo mkali wa kuzingatia maadili

    Katika siku za hivi karibuni Rais Xi Jinping wa China aliongoza mikutano ya kamati mbalimbali za Chama cha Kikomunisti cha China. Kikiwa ni chama tawala cha China, na mchango wake katika kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii, vikao vya kamati hizo ambavyo ni muhimu katika utendaji wa chama...
  6. TPP

    JamiiForums Tanzania Mwanachama wa chama cha kikomunisti cha China (CPC) haruhusiwi kuwa na dini. Kwanini?

    Ndio, mwanachama wa chama cha kikomunisti cha China haruhusiwi kuwa na dini kwa kuzingatia kanuni za kimarx za chama cha CPC. BEIJING - Wanachama wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) hawapaswi kuamini dini, ambayo ni kanuni inayopaswa kuzingatiwa kwa ujasiri, alisema afisa mkuu. Chama...
  7. TPP

    JamiiForums Tanzania Je, ni rahisi au vigumu kuwa mwanachama wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC)? Tuone

    Chama cha kikomunisti cha China kilianzishwa mwaka 1921 kikiwa na wanachama takribani 50+ mpaka sasa takribani miaka 102 chama hicho kina wanachama wapatao million 96+ Je, ni rahisi au vigumu kupata mwaliko rasmi wa kuwa mwanachama wa chama cha kikomunisti cha China? Tuone. English: The...
Back
Top Bottom